Hili neno la Kiswahili linaleta maana au? Sijaweza kulielewa bado

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Sep 21, 2019
5,689
8,925
Mfano: kwa lugha ya malkia ukisema.

"I want to eat you"

Labda unamwambia kuku mfano

Ni sahihi kusema nataka nikukule?

Hilo neno nikukule naona halileti mtiririko mzuri

Kwenu wataalamu wa Lugha
 
Kiswahili ni lugha yenye busara na mantiki. Huwezi kumwambia second party hayo maneno, kimantiki. Wanaotaka kula kitu fulani, mathalani chakula, huwa hawakiombi ruhusa, bali wanakichukua na kukifakamia moja kwa moja.

We never ask food for permission to eat it. We simply extend our hand, scoop out our share and carry on the exercise.

Ndiyo maana tafsiri sahihi ya maneno kama hayo haimantikiki. This is why, ^I want to marry you,^ Kiswahili kinatofautisha mwoaji na mwolewaji: ^Nataka nikuoe,^ ^Nataka niolewe na wewe.^
 
Thanks
 
Mfano: kwa lugha ya malkia ukisema.

"I want to eat you"

Labda unamwambia kuku mfano

Ni sahihi kusema nataka nikukule?

Hilo neno nikukule naona halileti mtiririko mzuri

Kwenu wataalamu wa Lugha
Hata kwa kiingereza ina ukakasi. Ni katika mazingira gani utaitumia hiyo sentensi? Haileti maana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom