Hili neno DUDE Linavuma sana siku hizi mwanzilishi ni nani

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
DUDE DUDE DUDE
Mara limeamshwa
Mara kaliamsha dude

Nani mwanzilishi wa hili jina na kwanini alilisema na alikuwa anazungumzia nini mpaka akalitamka hili neno DUDE

Linavuma sana na wengine wanalitumia sivyo ndivyo
 
ni la mda mrefu sana..hilo dude yani fanya mfano joka lenye vichwa sita...au dibwana la aina yoyote kubwaa..got it?
haya sasa ukiliona dude kama hilo utalichokoza ama utalipita kimya?
je ukilichokoza maybe kwa kulichapa fimbo c litaamka kwa hasira?..and what is next...ni vurumai

sasa pata picha ..ni kama vile kumpandisha hasira mtu..kwa kulichokoza
watoto wa mjini wnakwambia umeliamsha dude
 
kitu chenye maumbile makubwa na chenye nguvu ya ajabu. Waanzilishi ni wahenga.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom