Hili ndio Gundu haswaa

Huo upuuzi huwa sina nikiwa safarini, kwanza hata kuongea na abiria mwenzangu lazima Vetting ifanyike.
Endeleza huo upuuzi ipo siku utakuja lia na kusaga meno,wewe si jiwe wala chuma unasafiri na matatizo chungu nzima kwa kuwa tu u mwanadamu,taka amani na watu ulionao kwa wakati huo hujui nini chaweza kutokea mbele safarini,badilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wa Dar mnatia kinyaa sana....
Yaani bites tu ndio zimeku shupaza jishipa la shingo, na haukuona umeridhika ukaamua ukuje umuandikie dada wa watu thread kabisa.....
Ujue nyie ndio mnao sababisha anaume wa ukweli tunadharaulika humu.... Gad'dem it....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endeleza huo upuuzi ipo siku utakuja lia na kusaga meno,wewe si jiwe wala chuma unasafiri na matatizo chungu nzima kwa kuwa tu u mwanadamu,taka amani na watu ulionao kwa wakati huo hujui nini chaweza kutokea mbele safarini,badilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuwaza Shida ndio maana mnapata shida kwa kukaa kuwaza shida.

Sina muda wa kuongea na mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom