Hili ndio basi la najmunisa lililotekea kwa moto leo morogoro. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili ndio basi la najmunisa lililotekea kwa moto leo morogoro.

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 25, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  1
  [​IMG].

  [​IMG].

  [​IMG](Stori kutoka issamichuzi.blogspot.com)
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  tayri washaanza kutoa kafala na je zile fire extinguisher zilishindwa kuzima moto nini..
   
 3. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Basi litumialo Diesel kuungua kiasi cha kushindwa kutoa mizigo??

  Hizi ni Dieal za mamilioni ya Insurance kama zile za miaka ya 1990 na 1980
   
 4. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hilo ni bus aina ya scania marcopollo,insurance watakoma kulipa hapo!
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ndio Tanzania yetu hiyo!
   
 6. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Matatizo ya used bus!
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,966
  Trophy Points: 280
  Hawajui hata kuzitumia.
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Nimesafiri namabasi ya kampuni hii mara nyingi sana na nilichokishuhudia ni speed ambayo kama roho yako nyepesi si ajabu ukajisaidia nguoni mwanzo mpaka mwisho wa safari,si ajabu injini ilichemka kiasi cha kulipuka na hawakuwa na vifaa vya kuzimia moto..
   
 9. r

  rubby Senior Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mikataba. washindwe
   
Loading...