Anapoambiwa unafanya vibaya anakasirika na kutoa maamuzi yasiyo sahihi!! Hatulii akafiri kwanza kwa utulivu!! Mfano kulikuwa na sababu gani Wema Sepetu kukimbilia CHADEMA kama kweli hakuwa na hatia?Kulikuwa na sababu gani Lowasaa kukimbikia CHADEMA kama hakuwa na hatia? Kwa sababu sisi Watu weusi ndivyo tulivyo hatutulii tukafikiri kwa utulivu utashaanga naye Mh Nape naye atamfuata Wema Sepetu!! Kama huna hatia kwa nini ukimbie??
Fikiri kwanza, tulia kwanza, wewe ni kijana muda bado ungali ulipo labda kama kuna mtu unamtumikia na unaona umri unamtupa? Msisahau kuwa utawala wa nchi unatoka mbinguni!! Mtawala awe mzuri awe mbaya ni Mungu kamweka!!
Upingana naye unapingana na Mungu mwenyewe!! Je waweza kumsaidia Mungu? Tujenge nchi yetu tuachane na wanasiasa wanaotetea matumbo yao!! Ni opportunistic!!! Hawazii watoto wao wala wajukuu zao!! Wao ni matumbo kwanza!!
Kila mtu anaweza kukosea!! Nape hebu tulia usipanic!! Leo yawezekana kujaeleweka lakini kesho waweza kueleweka