Hili Ndilo lile Kanisa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054

Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa

SINEMA imefika patamu, serikali imepanga kuwaonesha waandishi wa habari mkanda wa video wa mtandao haramu wa viongozi wa dini wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.

Wakati tukio hilo likisubiriwa kwa hamu, Uwazi linakuwa la kwanza kulitaja kinagaubaga kanisa ambalo linaundwa na viongozi wanaojihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya.
 
Serikali inaonesha mkanda kwa waandishi wa habari badala ya kuwafikisha watuhumiwa kwenye vyombo vya haki? Hii kweli serikali ya mazingaombwe!
 
Waache kuwafunga maisha wauaji wanakuja kumfunga Askofu. Serikali legelege na mambo yake ndivyo yalivyo. Walikuwa wapi mpk wanaingiza madawa hp nchini? Mipaka ilikuwa wazi? Kama siyo issue zao chama cha magamba ndiyo nini sasa.
 
Kama wana ushahidi kama hilo kanisa linajihusisha na madawa ya kulevya wawakamate wahusika sio kuwaonyesha waandishi wa habari. Kwani waandishi ndio mahakama? Wapelekwe mahakamani.

Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa

SINEMA imefika patamu, serikali imepanga kuwaonesha waandishi wa habari mkanda wa video wa mtandao haramu wa viongozi wa dini wanaojihusisha na biashara ya madawa ya kulevya.

Wakati tukio hilo likisubiriwa kwa hamu, Uwazi linakuwa la kwanza kulitaja kinagaubaga kanisa ambalo linaundwa na viongozi wanaojihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom