Hili ndilo jedwali ambalo CHADEMA hawataki lionekane

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,725
2,000
Walioojiwa ni 2,000 tu je walitumia njia gani kupata hiyo sample? na hao watu ni kutoka maeneo gani ya nchi hii? Duh!! hapo ni kujitekenya na kucheka wenyewe lengo kumfurahisha mtu ili tonge liende kinywani.

Huu ni upuuzi uliopitiliza nchi ina watu wasiopungua 50mil eti unatoa majibu kwa utafiti wa sample ya watu 2,000.
 

Mkwaruu

JF-Expert Member
Mar 13, 2017
2,946
2,000
Kama ndo hivyo sawa hofu ni ya nini kuwa na tume huru si tuko vizuri tunaogopa nini basi ni uwanja uwe wazi watu wacheze majibu yapatikane kwa uhuru sio uhuru kwa timu moja alafu useme tuko sawa ktk uwanja uliojimilikisha mwenyewe ndo maana tu waoga kuondolewa wenye mali yao
 

the glassroof

JF-Expert Member
Apr 25, 2017
247
500
Naona kwenye wajinga wengi wasio na elimu ndipo wakereketwa wa ccm walipojazana
Na ukishindwa kuwawin hao elimu yako haikusaidi lolote. Soko la siasa ni watu, na kundi kubwa kwa taifa letu ni hilo. Be focused ni rahisi kuwateka mind zao. Cheza na matukio and short term plan. Period!
 

Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
8,969
2,000
Na ukishindwa kuwawin hao elimu yako haikusaidi lolote. Soko la siasa ni watu, na kundi kubwa kwa taifa letu ni hilo. Be focused ni rahisi kuwateka mind zao. Cheza na matukio and short term plan. Period!
Dah mi siasa hainipi kula na wala sipo kwenye siasa. Pole wewe ambaye siasa ndiyo maisha yako
 

hexacyanoferrate

JF-Expert Member
May 15, 2014
1,205
2,000
Chadema wamezidiwa kila idara, mbowe na mashinji wanafanya kazi nzuri!
Mnategemea hivyo viripoti vya twaweza? Mmeishiwa isee! Kwanza wananchi si kwamba wanamkubali mkuu wa kaya, bali wanamuunga tu mkono na siyo CCM. Twaweza wanafanya tafiti za hovyo. Tena eti wanafanya tafit muda huu mkuu wa kaya anapambana na wezi wa madini, mbona hawakufanya hivyo before?
Ha ha ha ha. Sasa waache waendelee kujidanganya kuwa 2020 watashika dola kiulaini.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom