Hili ndilo gari linalotumiwa na Rais wa Marekani

Hofstede

JF-Expert Member
Jul 15, 2007
3,577
1,107

The Cadillac One has only just been unveiled, but it already has two nicknames: 'Obamamobile' and 'The Beast'. And it's ironic that just after Obama advocated a bailout for GM after years of building big, fuel-inefficient cars that nobody wanted, he's now had it build the ultimate one for himself.

Still, President Obama will be a targeted man come January 20th, when he's inaugurated as US President. So, the Cadillac One is shod in three-inch thick bulletproof glass and eight-inch think armour plating, and is hermetically sealed to protect him from a chemical weapons attack. It has a 10-disc CD changer, though, so it's not all doom-and-gloom.

There's a night vision camera in the front, and shotguns and tear gas cannons are stored in the flanks. There's even a few bottles of Obama's blood in there in case he needs an emergency transfusion - though who'll perform the operation is unclear.

The petrol tank is filled with a foam that prevents it from exploding along with a panic button in the Presidential quarters, as well as a satellite phone linking the car directly to the Whitehouse. The tyres are Kevlar reinforced and puncture-resistant, too, and cover wheels that can still work even of the tyres are blown off.

That said, it's never getting anywhere particularly fast, as it has a 0-60mph time of 15 seconds and 8mpg fuel consumption, so at the equivalent of about £300,000 it probably provides the worst price-to-performance ratio


obamamobile[1].jpg

obamamobile[2].jpg

obamamobile[3].jpg

obamamobile[7].jpg

obamamobile[4].jpg

obamamobile[5].jpg

obamamobile[6].jpg
 
Sasa hiyo hapo kwenye parade ndo yenyewe au? Maana parade yake bado....au hiyo ni ya Bush..?
 
Sasa hiyo hapo kwenye parade ndo yenyewe au? Maana parade yake bado....au hiyo ni ya Bush..?

Nyani my friend nyani- mi nildhani umeshatuliza mzuka wa ki McCain, mambo yote soma hayo maelezo na kitu chake kina 000.000 au hujui kuwa kuna Rehesal inafanyika LOL!.
 
Kama ile ya bush ila hii wameiongezea madoido ya kiulinzi ni balaaa saanaa duu haya weeé
 
Hii imeonekana leo maeneo maeneo....mzee hakawii...dah!!
 

Attachments

  • Van.jpg
    Van.jpg
    38.5 KB · Views: 171

Re: "Obamamobile" aka "The Beast": Gari la Rais wa 44 Marekani

The word THE BEAST is more graphic and malicious and un appropriate to use. YOU CAN'T PROVE TO ME THAT OBAMA IS THE BEAST and/or HIS MOBILE. HE IS NOT EVEN THE PRESIDENT YET.

WICKED HEADING/TITLE.
 

Re: "Obamamobile" aka "The Beast": Gari la Rais wa 44 Marekani

The word THE BEAST is more graphic and malicious and un appropriate to use. YOU CAN'T PROVE TO ME THAT OBAMA IS THE BEAST and/or HIS MOBILE. HE IS NOT EVEN THE PRESIDENT YET.
WICKED HEADING/TITLE.

Haya ndiyo matatizo ya kuvumuka na kuchangia kwa kusoma heading na bila kuanalyse unajump into conclusion ya yale unayofikiria wewe. Go back to the article and read it, and remember here I am talking about the Car as a machine for transportation not " OBAMA" as a Human

May be check Beast for more understanding why they nicknamed it "The Beast"
 
Walioona msafara wa obama wataona namna msafara ulipita kwa speed ya kawaida sana tofauti na ile speed tuliyozoea anapopita JK, our president normally huwa ana cruise at an average of 120kmh.

Ile speed ikanifanya nitafute habari zaidi, niliyoyaona yamenishangaza, kumbe


  1. Maximum speed ya limo ya obama ni 60mph tu, sawasawa na kilimita kama 97 kwa saa. hii gari haina ujanja wa kwenda hata 100km kwa saa, hata boda boda inaweza kwenda speed kuliko hii gari
  2. ina uzito unaokadiria kukaribia tani 9
  3. matumizi ya mafuta ni 8mpg, kwa lugha ingine inahitahi lita 35.31 ili kutembea kilomita 100, hii ni sawa na lita 1 kwa kila kilomita 2.8
  4. vioo vyote havifunguki isipokua pale kwa dereva kwa mbele. gari iko 100% sealed
  5. Vioo vya dirishani vina thickness ya inchi 5 wakati milango ni nchi 8.
  6. kutokana na unene wa madirisha na milango, obama hawezi kusikia chochote kinachoendelea nnje, spika zimewekwa ili kunasa sauti za nje
  7. gari ina night vision kamera zinazomuwezesha dereva kuendesha usiku bila hata kuwasha taa
 
So what? will it help tanganyika with our poverty?
We ni kihiyo kweli - unapewa facts ambazo huna, hivi shuleni ulipopita wewe ni mangapi ambayo unaweza ku apply kwa maisha yako ya sasa, mambo mengine ni for general knowledge kama hapo juu mkuu amezama kwenye net kukata kiu yake ya info, amekuletea na wewe unaulizia msosi, ukitaka msosi nenda shambani ukalime kwanza, for your info - we are in abject poverty because of our ignorance
 
Nafikiri mleta hoja ulitaka kuhoji kwanini speed ya motorcade ya rais wa Tz ni more than 120, na je kuna umuhimu wa speed yote hiyo?

Pengine speed ya motorcade ya Obama uliiona ulipokuwa umesimama wewe kuwa haikuzidi 100kph kwasababu ya barabara yenyewe haitulii kama za US, na hivyo madereva waliona sio salama kuendesha zaidi ya 100kph wakizingatia kuwa priority ni usalama wa Mr. President. Hivyo sio kweli gari kama zile zilingane speed na pikipiki za bodaboda.

Kuhusu speed ya motorcade yetu, nakumbuka lilishajadiliwa sana humu. Watu wakahitimisha kuwa hatuna idadi kubwa ya maadui inayohitaji speed yote hiyo (more than 120kph), na zaidi sana wakasema ni kutafuta sifa tu uswahilini.
 
Back
Top Bottom