Hili nalo ni tatizo kubwa_dada zetu inabidi walielewe.

Nipe mimi huyo yaani napendac sana kuitwa baby, sweet, honey, my best one nk
 
Me pia majina ya baby, honey, sweetie, etc hua yananikera. Me niitetu Tasia.....
 
hupendi kuitwa majina ya kitoto wakti mwingine mapenzi yanafanya mtu anatenda mambo ya kitoto.......wifi ana shida bana anadumisha mahusiano kama unakereka mwambie apunguze kidogo
 
ndio maana nimesema kwa upande mwingine inawezekana anafanya kwa nia njema kabisa ya mapenzi ,..lakn upande wa pili ikawa ni issue
Mapenzi ni kitu cha ajabu hasa kwa dada zetu. Wengine wanapenda mwanaume anayevaa kata k, wengine wanapenda mwanaume wa marasta na mwingine anapenda awe anamwita mpenzi wake majina ya kitoto na kinyuki. Kama ilivyo kwa akina sie kupenda walio na mkorogo au wenye wowowo kubwa kiasi tunawatesa wenzetu kwa kujidunga sindano ili nyama ifutuke ili wowowo lipatikane. Sasa kama anapenda akuite sukari, asali, mtoto n.k ukawa hutaki, hivyo jua ukikataa atatafuta wa kumwita ili roho yake isuuzike. Ushauri: Mapenzi ni nipe nikupe. Mtaka cha uvunguni sharti ainue matanda. Jitahidi kufurahia hizo sms ili ukirudi mambo yanajipa (raha ya mwanaume)
 
hupendi kuitwa majina ya kitoto wakti mwingine mapenzi yanafanya mtu anatenda mambo ya kitoto.......wifi ana shida bana anadumisha mahusiano kama unakereka mwambie apunguze

kidogo

ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa_shikamoooo da Blakiwoman,..ila naomba umfikishie huu ujumbe wifi yako bhana,..mimi nikimwambia atanuna
 
ahahahahahahahaaaaaaaaaaaaa_shikamoooo da Blakiwoman,..ila naomba umfikishie huu ujumbe wifi yako bhana,..mimi nikimwambia atanuna

ukimfikishia wewe itapendeza tena mwalike dinner siku hiyo uwe na raha zaidi usimkaripie wala hatachukia atakuelewa
 
ukimfikishia wewe itapendeza tena mwalike dinner siku hiyo uwe na raha zaidi usimkaripie wala hatachukia atakuelewa

sauti yangu inakwaruza_hata kama naongea kwa upole utafikiri ninagomba,..ndio maana nimeomba msaada bhana.
 
Back
Top Bottom