Hili nalo ni Kaburi ati!!

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
925
Na hapa napo tabu kweli sisi ambao tulizaliwa katika nyumba za udongo, tukaishi kwenye nyumba za udongo..na hata mababuri yetu si shaka ni mwendo huo huo wa udongo,.... hukumu sijui ipoje bana kama marehemu anaruhusiwa kutembelewa na kupiga na "brin' brin" kaburini kama hivi...

attachment.php



attachment.php




attachment.php


E Bwana kama wewe ungehesabu maovu......
 

Attachments

  • funny-gipsy-grave.jpg
    funny-gipsy-grave.jpg
    38.9 KB · Views: 695
  • gipsy-grave.jpg
    gipsy-grave.jpg
    42.7 KB · Views: 607
  • hilarious-gipsy-grave.jpg
    hilarious-gipsy-grave.jpg
    36.6 KB · Views: 589
kuna toilet kweli? alafu naona kama juu papo wazi!
Sipati picha elninho ikiteremka.
 
Yaelekea huko hamna vibaka wafukua makaburi

Mkuu umenena, ingekuwa ni Kinondoni hapo kesho yake lingekuwa jeupeeee!! Hadi marehemu anavuliwa suti!! Na mashada ya maua kama hujachoma moto kidogo kuyanyaua ujue ni biashara hiyo!!!
 
Yaani wa Bongo wezi??? wewe Pearl si upo Tanzania na wewe Mwizi? Mimi ninachojua wabongo sio wezi wazungu ndo wezi
 
Hii sas ni kufuru iliyopindukia. Kweli mwisho wa Dunia umefika sasa. kesheni Muombe Maana hamjui siku wala saa atakayokuja Mwana wa Adamu.

Roho i radhi lakini Mwili ni dhaifu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom