Sikutambua
Member
- Nov 16, 2014
- 46
- 4
Jamaa Mmoja Alikuwa Akipiga Story Na Rafiki Zake Kuhusu Masuala Ya Malove, Yeye Alidai Kuwa Bado Anawaogopa Sana Wanawake Japo Anamchumba Na Ndiye Wa Kwanza Kwake Ktk Maswala Hayo Hata Yeye Bado Anamwogopa. Vijana Kuweni Makini Kabla Ya Kuingia Kwenye Ndoa Mtakuja Kuumbuka!