Hili Nalo Neno

Sikutambua

Member
Nov 16, 2014
46
4
Jamaa Mmoja Alikuwa Akipiga Story Na Rafiki Zake Kuhusu Masuala Ya Malove, Yeye Alidai Kuwa Bado Anawaogopa Sana Wanawake Japo Anamchumba Na Ndiye Wa Kwanza Kwake Ktk Maswala Hayo Hata Yeye Bado Anamwogopa. Vijana Kuweni Makini Kabla Ya Kuingia Kwenye Ndoa Mtakuja Kuumbuka!
 
ndugu yangu una usingizi kwa heshima na taadhima naomba ulale

SASA HAPO NENO LIKO WAPI
 
Au kapiga kinywaji chenye kimea zaidi........ndugu yetu ki ukweli tunakuomba usikie tamko........ulale......
 
Ninyi ndio vijana ambao mkioa mnachanganya kati ya mbunye na kwapa kisa vyote vina sharubu....

Jamaa Mmoja Alikuwa Akipiga Story Na Rafiki Zake Kuhusu Masuala Ya Malove, Yeye Alidai Kuwa Bado Anawaogopa Sana Wanawake Japo Anamchumba Na Ndiye Wa Kwanza Kwake Ktk Maswala Hayo Hata Yeye Bado Anamwogopa. Vijana Kuweni Makini Kabla Ya Kuingia Kwenye Ndoa Mtakuja Kuumbuka!
 
Jamaa Mmoja Alikuwa Akipiga Story Na Rafiki Zake Kuhusu Masuala Ya Malove, Yeye Alidai Kuwa Bado Anawaogopa Sana Wanawake Japo Anamchumba Na Ndiye Wa Kwanza Kwake Ktk Maswala Hayo Hata Yeye Bado Anamwogopa. Vijana Kuweni Makini Kabla Ya Kuingia Kwenye Ndoa Mtakuja Kuumbuka!

Kwanu Ni Lazima Kila Neno Uanze Na Herufi Kubwa?
 
Jamaa Mmoja Alikuwa Akipiga Story Na Rafiki Zake Kuhusu Masuala Ya Malove, Yeye Alidai Kuwa Bado Anawaogopa Sana Wanawake Japo Anamchumba Na Ndiye Wa Kwanza Kwake Ktk Maswala Hayo Hata Yeye Bado Anamwogopa. Vijana Kuweni Makini Kabla Ya Kuingia Kwenye Ndoa Mtakuja Kuumbuka!

Acha kutumia mayai ya kuku wa kisasa
 
Tangu walivoamua kufanya masihara na elimu yetu, kuichezea mitaala kila asub, wakachakachua na vitabu vya kiada na ziada, kila kukicha nawasikitikia vijana wetu!
 
Back
Top Bottom