Hili nalo liwe ktk maajabu ya msingi yanayopatikana tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili nalo liwe ktk maajabu ya msingi yanayopatikana tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by CHAMVIGA, Oct 9, 2012.

 1. CHAMVIGA

  CHAMVIGA JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 7,694
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ukiachilia mbali mlima kilimanjaro ambao umeingizwa ktk maajabu yanayopatikana Tanzania, serikali ingeingiza na hili la wanafunzi zaidi ya 5000 waliomaliza std 7 na wamechaguliwa kujiunga na secondary na hawajui kusoma na kuandika bila shaka tungeshinda.
   
 2. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Karibu sana jf mkuu.
   
 3. CHAMVIGA

  CHAMVIGA JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 7,694
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  thxs braza
   
 4. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 600
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  haha................................
   
 5. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ajabu jingine Raisi anaeishi mda mrefu nje kuliko nchini kwake aki2mia mabilion ya pesa na ku-upload picha zake na kina Beckham, 50Cents, Steven Segal, B.Boys n.k huku nchi ikiwa ya 3 kwa umaskini. Hili ajabu kama sio #1 bac #2
   
 6. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  hili nalo neno!
   
 7. majuto mperungu01

  majuto mperungu01 Senior Member

  #7
  Oct 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ajabu jingine kiumbe anaejiita Dr K na huku hajasoma master
   
 8. P

  PJS Senior Member

  #8
  Oct 10, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jingine ambalo lingeingizwa ni Polisi wa Tanzania kuua raia nadhani tungepata zawadi
   
Loading...