PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 878
- 955
Semina ya uelewa kwa Wanafunzi na Wakufunzi kutoka Vyuo Vikuu 12 vinavyotambuliwa na TCU vilivyopo Jijini Dar es Salaam; kuhusu majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), mwongozo kwa watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano, usalama mtandaoni na kuhamasisha uanzishwaji na uendelezaji wa klabu za dijitali (digital clubs) zitakazowezesha elimu kuhusu usalama mtandaoni.
Semina hiyo imetolewa na TCRA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Kitengo cha uchunguzi wa makosa ya kimtandao, leo tarehe 22/11/2021 katika Makao Makuu ya TCRA.
Semina hiyo imetolewa na TCRA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Kitengo cha uchunguzi wa makosa ya kimtandao, leo tarehe 22/11/2021 katika Makao Makuu ya TCRA.