Hili litasaidia sana: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) watoa semina mafunzo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
594
500
Semina ya uelewa kwa Wanafunzi na Wakufunzi kutoka Vyuo Vikuu 12 vinavyotambuliwa na TCU vilivyopo Jijini Dar es Salaam; kuhusu majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), mwongozo kwa watumiaji wa huduma na bidhaa za mawasiliano, usalama mtandaoni na kuhamasisha uanzishwaji na uendelezaji wa klabu za dijitali (digital clubs) zitakazowezesha elimu kuhusu usalama mtandaoni.

Semina hiyo imetolewa na TCRA kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, Kitengo cha uchunguzi wa makosa ya kimtandao, leo tarehe 22/11/2021 katika Makao Makuu ya TCRA.
IMG_20211122_203344_144.jpg
 

MUTUYAMUNGU

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
522
1,000
MAZUZU HAYO. TATIZO PAYPAL SIO SEMINA UCHWARA.

WATU WANALIA KIHUSU PAYPAL MIAKA YOTE. WENZETU KENYA WALITURUHUSU MUDA MRRFU TU.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom