Hili linaloendelea Chuo cha Taifa cha Usafirishaji siyo sawa

unacheka unamana gani

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
483
470
Mmeamkaje wakuu? Yaani mafunzo ya vitendo(field) yanaanza tarehe 11 mwezi huu wa saba, ila mpaka muda huu wanafunzi hawajapata/hawasa-sign fedha/malipo yao ya 'field'.

Huu tuuite ni uzembe au? Kuna vijana wamenipa habari hizi, na ninawafahamu. Wahusika(najua baadhi wanaweza kusoma makala haya), lishughulikieni hili.

Yaani chuo kimefungwa ila vijana hawajapata malipo yao ya field bado, badala yake mnawaambia wawe karibu na maeneo ya chuo wakisubiri jumbe za uthibitisho?

Rekebisheni hili, tena kwa uwazi tafadhali!
 
Back
Top Bottom