Hili limenitisha; Naombeni ufahamu wenu juu ya hiki Chama cha Siasa cha Hizb Ut-TahrirTanzania

It's very unfortunate umetafsiri hivyo. Nilidhani nikiweka taarifa zao kamili, pengine hoja yangu ingekuwa kamili zaidi.
umetoa taarifa isiyo kamili kwa makusudi ili kupotosha umma. Kwanini hukusema Hizb ipo Marekani, Uingereza, Canada, Uturuki, Falme za Kiarabu, na ulimwengu mzima. Kama ni hatari hizo nchi zilizoendelea ktk intelijensia zingekuwa zimeshaifungia
 
Kanishangaza sana huyo jamaa. Ila ndio tulivyo wanadamu.

Kwa kweli, mimi nimeshakuwa muhanga wa haya mambo ya itikadi hizi. Na nimekuwa nikiyasoma kwa muda mrefu hasa nchi za wenzetu. Haya mambo huwa yaanza kama uyoga shambani, kisha yanafumuka. Inapaswa kudhibitiwa mapema, na njia ya kwanza ni jamii kupewa taarifa, na mitandao hii ni njia rahisi na ya haraka kufikisha maoni. Sasa mimi niko karibu Km 1,5000 kutoka zilipo ofisi za Msajiri, inawezekanaje kusafiri wakati ipo njia nyingine ya kuvoice out!
uwoga wako usiulazimishe kwa kuchafua au kuzungumza vitu usivyovijua. Au kuwa na uhakika navyo
 
Hawa ni wajinga wengine wanaoamini Uislam hauwezi kushamili mpaka waunde Islamic state,yaani siasa ya nchi iwe uislama na sharia zake,
Mambo ya hovyo kabisa,aliyakataa Baba wa Taifa wa Uturuki Mustafa Ataturk,sasa Hawa wapuuzi wanajiona wanaweza,ni njaa tu
Hizb haina mpango wa kuanzisha Dola Tanzania, soma vizuri uelewe
 
I see the problem now. Hakuna anayepinga Watu kuwa waislamu wako. Tunachoeleza hapa ni hatari ya kuzalisha ugaidi kwa vikundi kama hivi kueneza kutaka kushamirisha uislam kutumia Siasa. Huwezi tumia siasa za nchi yetu kulazimisha Ukhalifa, then tukae kimya. That's impossible!
wasiwasi wako ni wa bure tu, uliwahi kusikia wamefanya tukio lolote la uvunjifu wa amani nchini? Au ndiyo unaongea tu ili mradi una uhuru wa kuongea
 
Ujinga sijui kwa nini hauna chanjo!!!
Ilikuwa vyema ukaenda kwa msajili wa vyama umuulize kama hizb ut tahrir kimesajiliwa ndiyo uandike huu utopolo.
Au jimboni kwako ni nani aligombea kupitia hicho chama? Acheni hizo
Hata kama hakijasajiliwa, hakiwezi kujiuza kisirisiri kuwa ni chama cha siasa
 
SINA MUDA NA KUSOMA YOTE HAYO MAANDISHI
NINA MUDA WA KUJILIPA SAWA SAWA NA NITAKAVYO TENDEWA.
NI KISU KWA KISU, BOMU KWA BOMU, PANGA KWA PANGA, JAMBIA KWA JAMBIA JINI KWA JINI.

UKIJIONA UNA HAKI YA KUTOA ROHO KWA JINA LA MUNGU WAKO, UISAHAU UNA HAKI YA KUTOLEWA ROHO VILE VILE

"Mtendee kama yeye alivyotenda, umlipe mara mbili zaidi kwa matendo yake" UFUNUO WA YOHANA 18:6
 
SINA MUDA NA KUSOMA YOTE HAYO MAANDISHI
NINA MUDA WA KUJILIPA SAWA SAWA NA NITAKAVYO TENDEWA.
NI KISU KWA KISU, BOMU KWA BOMU, PANGA KWA PANGA, JAMBIA KWA JAMBIA JINI KWA JINI.

UKIJIONA UNA HAKI YA KUTOA ROHO KWA JINA LA MUNGU WAKO, UISAHAU UNA HAKI YA KUTOLEWA ROHO VILE VILE

"Mtendee kama yeye alivyotenda, umlipe mara mbili zaidi kwa matendo yake" UFUNUO WA YOHANA 18:6
sisi tunahamasisha amani na kulipa uovu Kwa wema
 
Mtoa post unadhihirisha ulivyo si mweledi na huna Nia nzuri kama mpaka website yao unayo kwanini usiwasiliane nao au kuwauliza unachotaka badala yake umekurupuka na kuanza kutoa tuhuma zisizo na kichwa wala miguu
 
Ujinga sijui kwa nini hauna chanjo!!!
Ilikuwa vyema ukaenda kwa msajili wa vyama umuulize kama hizb ut tahrir kimesajiliwa ndiyo uandike huu utopolo.
Au jimboni kwako ni nani aligombea kupitia hicho chama? Acheni hizo
Kafanya vibaya kuuliza ndugu?
 
Tanzania haina dini, haina vyama vya kisiasa venye mifumo ya kidini, sidhani kama kimesajiliwa, nadhani ni vyama babu vinavyoanzishwa kwa minajili ya kupata fedha toka nje!
 
Back
Top Bottom