Hili limenitisha; Naombeni ufahamu wenu juu ya hiki Chama cha Siasa cha Hizb Ut-TahrirTanzania

Mtoa post unadhihirisha ulivyo si mweledi na huna Nia nzuri kama mpaka website yao unayo kwanini usiwasiliane nao au kuwauliza unachotaka badala yake umekurupuka na kuanza kutoa tuhuma zisizo na kichwa wala miguu
Hajakurupuka , tulia hivo hvo kijana, apa ni Tanzania sio IS
 
Hizo ni sarakasi na propaganda za Watawala wa Dunia wa sasa katika kuleta utengano kwenye Jamii na ulimwenguni.

Remember. Divide and Rule.
 
Wadau samahani naomba kujua namna gan naweza badili jina , nimeshindwa kuanzisha Uzi , atakae ona hii comment please naomba nisaidie
 
KATIKA UISLAAM HAKUNAGA CHAMA CHA SIASA...KWAHIYO HAO NI WAHUNI KAMA WAHUNI WENGINE TU WANAOJINASIBISHA NA UISLAAM NA UISLAAM HAUWATAKI...
 
Back
Top Bottom