Hili limenitisha; Naombeni ufahamu wenu juu ya hiki Chama cha Siasa cha Hizb Ut-TahrirTanzania

Wildlifer

JF-Expert Member
May 12, 2021
1,883
5,187
Salaam WanaJF!

Nimekutana na account hii Twitter, kwa kweli imenistua sana, kuogopa na kutishika sana.
Screenshot_20210731-142150.jpg

Hapo inasema ni chama cha siasa, sasa kwanza, sijawahi sikia chama hiki, pili ninavyojuwa kuwa Sheria za Tanzania zinakataza vyama vya siasa vyenye mrengo wa kabila, imani au dini fulani. Inaonyesha ni chama kilicho 'active' maana Twitter account yake na website ziko updated!
Screenshot_20210731-141722.jpg

Screenshot_20210731-143729.jpg

Lakini, inaonyesha(kupitia website yake ni chama kilicho active).

Screenshot_20210731-143630.jpg

Screenshot_20210731-143614.jpg

Hizi hapa chini ni taarifa kuhusu chama hiki. (Kwa Mujibu wa website yake).

Hizb ut Tahrir

Hizb ut Tahrir ni chama cha kisiasa ambacho mfumo wake ni Uislamu, kwa hiyo siasa ndiyo kazi yake na Uislamu ndiyo mfumo wake. Kinafanyakazi ndani ya Ummah na pamoja nao, ili uweze kuubeba Uislamu kama kadhia yake na kuuongoza katika kurudisha Khilafah na hukmu za Allah (swt) alizoteremsha. Hizb ut Tahrir ni kundi la kisiasa na sio la kiroho. Wala sio kundi la kiusomi, kielimu au msaada. Fikra ya Kiislamu ndiyo roho ya mwili wake, msingi wake na siri za maisha yake.

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!

Lengo la Hizb ut Tahrir

Lengo lake ni kurudisha tena mfumo kamili wa Kiislamu na kulingania da’wah ya Kiislamu Ulimwenguni. Lengo hili lamaanisha kuwaregesha Waislamu kuishi maisha kamili ya Kiislamu ndani ya Dar al-Islam na ndani ya mujtama wa Kiislamu ambao kwamba mambo yote ya kimaisha yatasimamiwa kwa mujibu wa hukmu za kisheria, na kipimo ndani yake ni halali na haramu chini ya kivuli cha dola ya Kiislamu, ambayo ni dola ya Khilafah. Dola ambayo Waislamu watateua Khalifah na kumpa ahadi ya utiifu (Bay’ah) kumsikiza na kumtii kwa sharti kuwa ahukumu kuambatana na Kitabu cha Allah (swt) na Sunnah za Mtume wa Allah (saw) na kwa sharti kuwa alinganie Uislamu kama risala ya kiulimwengu kupitia da’wah na Jihad.

Chama hiki, pamoja na hayo, kinalenga kufikia muamko sahihi wa Umma kupitia fikra angavu. Pia kinafanya bidii kuurudisha tena katika nguvu na izza yake ya mwanzoni kiasi ya kuuwezesha kunyakua uwezo wa kiathari kutoka kwa dola nyenginezo na kurudi mahali pake panapo stahili kama dola inayoongoza duniani, kama ulivyokuwa mwanzoni, ulipo utawala ulimwengu kuambatana na hukmu za Kiislamu.

Pia kinalenga kuurudisha uongofu wa Uislamu kwa wanadamu na kuuongoza Umma huu katika mvutano na ukafiri, nidhamu zake na fikra ili Uislamu utawale ulimwengu mzima.

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!

Kazi ya Hizb ut Tahrir
Kazi ya Hizb ut Tahrir ni kubeba da’wah ya Uislamu ili kubadilisha hali ya mujtama fisidifu ili kuugeuza kuwa mujtama wa Kiislamu. Inalenga kufanya hivi kupitia kwanza kubadilisha fikra zilizoko leo katika mujtama kuwa fikra za Kiislamu ili fikra hizi ziwe ndio rai jumla miongoni mwa watu, ambao hatimaye zitawasukuma kuzitabikisha na kuzitekeleza. Pili chama hiki kinafanya kazi kubadilisha hamasa ndani ya mujtama kuwa hamasa za Kiislamu ambazo hazikubali chochote isipokuwa kile kinachomridhisha Allah (swt) pekee na kupinga na kuchukia dhidi ya chochote kinachomkasirisha Allah (swt). Hatimaye, chama kinafanya kazi kubadilisha mahusiano katika mujtama yawe mahusiano ya Kiislamu yanayo kwenda kuambatana na sheria na suluhisho za Uislamu. Matendo haya ambayo chama inayafanya ni matendo ya kisiasa, kwa kuwa yanahusiana na mambo ya watu kulingana na hukmu na suluhisho za kisheria, na siasa katika Uislamu ni kuangalia mambo ya watu, ima ki-rai au ki-utabikishaji au yote mawili, kulingana na hukmu na suluhisho za Kiislamu.

Kinachojitokeza katika matendo haya ya kisiasa ni kuulea Umma kwa thaqafa ya Kiislamu ili kuuyeyusha kwa Uislamu na kuutakasa kutokana na itikadi fisidifu, fikra batili na fahamu za kimakosa ikiwemo athari ya fikra na rai za kikafiri.

Kinachojitokeza katika matendo haya ya kisiasa ni mvutano wa kifikra na kisiasa. Kujitokeza kwa mvutano wa kifikra ni kupitia mvutano dhidi ya fikra na nidhamu za kikafiri. Pia hujitokeza kupitia mvutano dhidi ya fikra batili, itikadi fisidifu na fahamu za kimakosa kwa kuonyesha ufisadi na makosa yake, na kuwasilisha wazi wazi hukmu ya Uislamu kuhusiana nazo.

Ama mvutano wa kisiasa, hujitokeza katika mvutano dhidi ya mabepari makafiri, ili kuutoa Umma kutokana na kutawaliwa nao na kuukomboa kutokana na athari yao kupitia kung’oa mizizi yao ya kifikra, kithaqafa, kisiasa, kiuchumi na kijeshi kutoka katika biladi zote za Waislamu.

Mvutano wa kisiasa pia hujitokeza katika kupambana na watawala, kufichua khiyana na njama zao dhidi ya Umma huu, na kuwawajibisha na kuwabadilisha endapo watanyima haki za Umma huu, au kuacha kutekeleza majukumu yao kwake, au kupuuza jambo lolote lake, au kukiuka sheria za Uislamu.

Hivyo basi kazi yote ya chama hiki ni ya kisiasa, ima kiwe madarakani au la. Kazi yake si ya kielimu kwani sio shule, wala kazi yake haihusiani na kutoa hotuba na kuhubiri. Bali kazi yake ni ya kisiasa, ambapo fikra na sheria za Uislamu zinawasilishwa ili kuzitekeleza na kuzibeba kwa lengo la kuziasisi katika mambo ya kimaisha na ndani ya dola.

Chama hiki kinalingania da’wah kwa Uislamu ili utabikishwe, na ili itikadi yake (‘Aqeedah) iwe ndio msingi wa dola yake na msingi wa katiba na kanuni zake. Hii ni kwa sababu ‘Aqeedah ya Kiislamu ni ‘Aqeedah iliyojengeka kupitia kukinaika akili na ni ‘Aqeedah ya kisiasa ambayo kwayo ni chimbuko la nidhamu inayo tatua matatizo yote ya mwanadamu, yawe ya kisiasa, kiuchumi, kithaqafa, kijamii au kadhia yoyote nyengineyo.

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!

Njia ya Hizb ut Tahrir
Njia iliyo tabanniwa na Hizb ut Tahrir kulingania da’wah ni njia ya kisheria iliyovuliwa kutoka katika seerah ya Mtume (saw) katika utendakazi wake katika ulinganizi wa da’wah. Hii ni kwa sababu ni wajibu kumfuata yeye, kama alivyosema Allah (swt):

“Hakika nyinyi mnayo ruwaza kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa anaye mtaraji Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na akamkumbuka Mwenyezi Mungu sana.”

[Al-Ahzab: 21]

“Sema: Ikiwa nyinyi mwampenda Mwenyezi Mungu basi nifuateni mimi, Mwenyezi Mungu atakupendeni na atakufutienii madhambi yenu.”

[Aal Imran: 31]

“Na anacho kupeni Mtume chukueni, na anacho kukatazeni jiepusheni nacho.”

[Al-Hashr: 7]

Kuna aya nyengine nyingi zinazo ashiria uwajibu wa kumfuata Mtume (saw), kumfanya kiigizo na kuchukua mambo yote ya dini hii kutoka kwake.

Kwa kuwa Waislamu siku hizi wanaishi ndani ya Dar al-Kufr, kwa kuwa wanatawaliwa na sheria kinyume na zilizo teremshwa na Allah (swt), imezifanya ardhi zao kushabihiana na Makkah aliyotumilizwa Mtume (saw) kwa mara ya kwanza kama Mtume. Hivyo basi, ni muhimu kuichukua sehemu ya Makkah katika seerah ya Mtume (saw) kama mfano katika ulinganiaji da’wah.

Kwa kuisoma seerah ya Mtume (saw) mjini Makkah mpaka alipoweza kuasisi dola ya Kiislamu Madina, ni dhahiri kuwa yeye (saw) alipitia hatua za wazi, kila mojawapo yeye (saw) alikuwa akifanya matendo maalumu. Kwa hivyo chama hiki kimechukuwa kutokana nayo njia ya utendakazi wake, na hatua za matendo yake na amali zake ambazo ni sharti izitekeleze katika hatua hizi kuambatana na amali alizozifanya Mtume (saw) katika hatua hizi za kazi yake.

Kutokana na haya, chama hiki kimeifafanua njia yake katika hatua tatu:

Hatua ya Kwanza: Hatua ya kutoa thaqafa ili kuzalisha watu wanao amini fikra na njia ya chama hiki, ili waunde pote la chama.

Hatua ya Pili: Hatua ya maingiliano na Umma, ili kuufanya Umma ukumbatie na kuubeba Uislamu, ili Umma uuchukue kama kadhia yake, na hivyo basi kufanya kazi kuusimisha katika mambo yake ya kimaisha.

Hatua ya Tatu: Hatua ya kuasisi serikali, kutabikisha Uislamu kijumla na kiukamilifu, na kuubeba kama ujumbe kwa ulimwengu mzima.

Chama kilianza hatua ya kwanza katika eneo la al-Qudsi mnamo 1372 Hijri (1953 Miladi) chini ya uongozi wa muasisi wake, mwanachuoni muheshimika, mufakir, mwanasiasa shupavu, kadhi katika mahakama ya rufaa eneo la al-Qudsi, Taqiuddin al-Nabhani (Allah amuwiye radhi). Katika hatua hii, chama kilikuwa kikiwasiliana na Umma kwa kuwasilisha kwao kupitia watu binafsi binafsi, fikra na njia yake. Kila aliye kubali fikra yake msingi, chama kilikuwa kikimuandalia masomo ya umakinifu katika duara (Halaqaat) zake za masomo, ili atakaswe kwa fikra na hukmu za Uislamu zilizo tabanniwa na chama na hivyo basi kujenga kwake utambulisho ‘shakhsiya’ wa Kiislamu. Hivyo basi anaingiliana na Uislamu na kuufurahia utambuzi (Aqliyya) wa Kiislamu na hamasa za Kiislamu zinazo mpelekea kuanza kubeba da’wah kwa watu. Pindi mtu anapofika hatua hii anajipendekeza kwa chama na hivyo basi kuwa mwanachama ndani yake. Hivi ndivyo alivyo fanya Mtume (saw) katika hatua yake ya kwanza ya da’wah, iliyoendelea kwa muda wa miaka mitatu, kwa kuwaita watu binafsi binafsi na kuwasilisha kwao yale aliyoteremshiwa na Allah (swt). Aliwakusanya kwa siri wale walio muamini katika msingi wa mfumo huu. Alikuwa na hamu ya kuwafunza Uislamu na kuwasomea yale yaliyo teremshwa na yaliyokuwa yakiteremshwa kwake mpaka akawayeyusha kwa Uislamu. Alikuwa akikutana nao kwa siri na kuwafunza sehemu zilizo fichika kutoka machoni mwa watu. Walikuwa pia wakifanya ibada zao kwa kujificha. Hatimaye, da’wah ya Uislamu ikaenea mjini Makkah, na watu wakaanza kuizungumzia na kuanza kuingia katika Uislamu kwa makundi.

Katika hatua hii ya da’wah, chama kikatuliza makini katika kujenga mwili wake, kuongeza uanachama wake na kutoa thaqafa kwa watu binafsi katika halaqaat zake kwa thaqafa makinifu ya chama mpaka kilipo faulu kuunda muundo wa chama kutokana na watu walio yeyushwa kwa Uislamu, na ambao wame tabanni fikra za chama na wakaingiliana na fikra hizi na kuzilingania kwa watu. Baada ya chama kufaulu kuunda muundo wake na mujtama kuanza kukijua na kukitambua pamoja na fikra zake na yale kinacho yalingania, chama kikaingia katika hatua ya pili.

Hatua hii ni ya maingiliano na Umma kuufanya ubebe Uislamu na kuasisi katika Umma utambuzi jumla na rai jumla juu ya fikra na hukmu za Uislamu zinazo tabanniwa na chama. Ili Umma uzitabanni kama fikra zake na kujitolea kuziasisi maishani, na kusonga mbele pamoja na chama katika kazi ya kuasisi dola ya Khilafah na kumteua Khalifah ili kurudisha tena maisha kamili ya Kiislamu na kubeba da’wah ya Uislamu ulimwenguni.

Katika hatua hii chama kilipanua mipaka ya matendo yake kutoka kuwa kinawafuata watu binafsi na kuwa kina zungumza na halaiki ya watu kwa ujumla. Katika hatua hii kilikuwa kikitekeleza kazi zifuatazo:

Utoaji thaqafa ya umakinifu kwa watu binafsi ndani ya halaqaat zake kujenga mwili wa chama na kuongeza uanachama wake, na kuzalisha utambulisho ‘shakhsiya’ wa Kiislamu ulio na uwezo wa kubeba da’wah na kusonga mbele katika mvutano wa kifikra na kisiasa. Utoaji thaqafa jumla kwa halaiki ya watu katika Umma kwa fikra na hukmu za Uislamu ambazo Hizb imezitabanni, kupitia madarasa, hotuba, na mazungumzo misikitini, vituoni na sehemu jumla zinazo kusanyika watu, na kupitia vyombo vya habari, vitabu na matoleo. Haya yalifanywa ili kuunda utambuzi jumla miongoni mwa Umma na kuingiliana nao.

Mvutano wa kifikra dhidi ya itikadi, nidhamu na fikra za kikafiri, fikra za kimakosa na fahamu ghushi kwa kufichua ubatili wake, dosari na kugongana kwake na Uislamu, ili kuutoa Umma kutokana nazo na athari zake.

Mvutano wa kisiasa, unawakilishwa kwa njia ifuatayo:

Mapambano dhidi ya dola kafiri za kikoloni zilizo zitawala na kuziathiri biladi za Kiislamu. Mapambano dhidi ya ukoloni katika sura zake zote; kifikra, kisiasa, kiuchumi na kijeshi, ikihusisha kudhihirisha mipango yake, na kufichua njama zake ili kuutoa Umma kutokana na utawala wake na kuukomboa kutokana na natija yoyote ya athari yake.

Mvutano dhidi ya watawala katika biladi za kiarabu na za Kiislamu, kwa kuwafichua, kuwahisabu, kufanya kazi ya kuwabadilisha kila wanapo unyima Umma haki zake au kupuuza kutekeleza jukumu lao kwake, au kudharau lolote kati ya mambo yake, na kila wanapo kuwa kinyume na hukmu za Kiislamu, na pia kufanya kazi kuondoa tawala zao ili mahali pake kusimamisha utawala wa Kiislamu.

Kubeba maslahi ya Umma na kutabanni mambo yake kuambatana na hukmu za kisheria. Chama kimetekeleza kazi yote hii kwa kumuiga Mtume (swt) alivyo fanya baada ya Allah (swt) kumteremshia:

“Basi wewe yatangaze uliyo amrishwa, na jitenge na washirika.”

[Al-Hijr: 94]

Mtume (saw) alitangaza ujumbe wake na kuwaita Maquraish katika mlima wa Safa na kuwaambia kuwa yeye ni Mtume aliye tumilizwa kwao. Aliwalingania kumuamini. Alianza kufanya ulinganizi wake kwa halaiki ya watu pamoja na watu binafsi binafsi. Maqureish walivyo mpinga, alipambana nao, miungu yao, itikadi zao na fikra zao, akifafanua upotovu, ufisadi na dosari zake. Alizidunisha na kuzishambulia kama vile pia alivyozishambulia itikadi na fikra nyenginezo zilizokuwako. Aliteremshiwa Aya za Qur’an mfululizo juu ya kadhia hizi na zilishutumu vitendo vya Maqureish vya ulaji riba, kuzika binti zao wakiwa hai, kupunja katika mizani na uzinifu. Aya pia ziliteremshwa kushambulia viongozi na machifu wa Kiqureish, zikiwahujumu wao, fikra zao na mababu zao, na kufichua njama zao dhidi ya Mtume (saw) na dhidi ya da’wah yake na Maswahaba zake.

Chama kilikuwa wazi, na kupambana katika ubebaji wake wa fikra zake na katika ukabilianaji wake na fikra na vyama vya kisiasa batili, katika mvutano wake dhidi ya makafiri wakoloni pamoja na mvutano wake dhidi ya watawala. Hakimpaki mafuta yeyote, wala hakimsifu yeyote, wala hakifanyi tahadhari au kuzingatia usalama, namna itakavyo kuwa matokeo au dhurufu za da’wah yake. kinapambana na kila anaye pinga Uislamu na sheria zake, jambo lililo pelekea kukabiliwa na madhara makubwa na yanayotekelezwa na watawala dhidi yake; kama vile kifungo gerezani, mateso, kutolewa nchi, kufuatiliwa, wanachama kuharibiwa kazi zao, kuharibu maslahi yao, kuwapiga marufuku ya kusafiri na mauaji. Watawala hawa dhalimu nchini Iraq, Syria, Libya na biladi nyenginezo wamewaua mamia ya wanachama wake. Magereza ya Jordan, Syria, Iraq, Misri, Libya, na Tunisia yamejaa wanachama wake. Chama kilipitia yote haya kupitia kufuata mfano wa Mtume (saw). Yeye (saw) ndiye aliyekuja na ujumbe wa Uislamu kwa ulimwengu mzima. Alipambana nao kwa hali ya wazi, na kuamini haki ambayo yeye (saw) alikuwa akiilingania. Yeye (saw) alipambana na ulimwengu mzima. Alivutana na kila aina ya watu pasi na ubaguzi, bila kutilia maanani mienendo yao, desturi zao, dini zao, itikadi zao, watawala au watu wa kawaida. Hakuzingatia hata kidogo jambo jengine lolote isipokuwa ujumbe wa Uislamu. Alichukua hatua dhidi ya Maqureish kwa kuiaibisha miungu yao. Alipambana nao juu ya itikadi zao na kuwahujumu akiwa yeye peke yake, pasi na kuwa na uwezo wa kutosha au wasaidizi na pasi na kuwa na silaha isipokuwa imani yake thabiti katika ujumbe wa Uislamu ambao yeye (saw) alitumilizwa nao. Ingawa chama kimejitolea kuwa wazi katika mapambano ya da’wah yake, kimejifunga katika vitendo vya kisiasa pekee na wala hakikuvuka na kutumia silaha dhidi ya watawala au dhidi ya wale wanaopinga da’wah yake, kwa kufuata mfano wa Mtume (saw) ambaye mjini Makkah alijifunga na ulinganizi pekee na yeye (saw) kamwe hakubeba silaha mpaka alipogura mjini Madina. Na pindi watu wa Bay’ah ya pili ya Aqabah walipopendekeza kwake kuwaruhusu kuinua upanga dhidi ya watu wa Mina, aliwajibu kwa kusema: “Bado hatujaamrishwa kwa hilo”. Na Allah (swt) akamwambia (saw) kuwa na subira juu ya mateso kwani Mitume kabla yake pia walipitia hayo, ambapo Allah (swt) aliwaambia:

“Na hakika walikanushwa Mitume kabla yako. Nao wakavumilia kule kukanushwa na kuudhiwa, mpaka ilipo wafikia nusura yetu.”

[Al-An’aam: 34]

Kutotumia silaha kwa chama kujilinda au kukabiliana dhidi ya watawala haina uhusiano wowote na kadhia ya Jihad, kwa sababu Jihad ni yenye kuendelea mpaka siku ya Qiyama. Wakati wowote makafiri maadui watakapo shambulia biladi ya Kiislamu inakuwa ni wajib juu ya raia wake wa Kiislamu kumfurusha adui huyu. Wanachama wa Hizb ut Tahrir katika biladi hiyo ni sehemu ya Waislamu na itakuwa ni wajib juu yao kama ilivyo wajib juu ya Waislamu wengine, katika sifa yao kama Waislamu, kupigana na adui huyu na kumfurusha. Kunapo kuwa na Amir wa Waislamu aliyetangaza Jihad kuinua neno la Allah (swt) na kuwashajiisha watu kufanya hivyo, wanachama wa Hizb ut Tahri wataitikia mwito huo katika sifa yao kama Waislamu katika biladi hiyo ambayo mwito huo jumla wa kubeba silaha umetangazwa.

Pindi jamii ilipokosa kuitikia mwito wa chama kutokana na Umma kupoteza imani kwa viongozi wake na machifu wake ambao matarajio yake uliyaweka kwao. Dhurufu ngumu zilizo wekwa na eneo hili ili kurahisisha utekelezaji wa njama, dhulma na kukata tamaa ambako watawala wanatia dhidi ya watu wao na mateso makali wanayo tekeleza dhidi ya chama na wanachama wake, pindi jamii ilipokosa kuitikia mwito wa chama kutokana na sababu hizi chama kilianza kutafuta nusra kutoka kwa watu wenye msemo kikiwa na malengo mawili akilini mwake:

Kwa lengo la kupata hifadhi, ili kiweze kuendelea na da’wah yake huru na mateso. Kuchukua utawala ili kusimamisha Khilafah na kutabikisha Uislamu. Pamoja na kutekeleza vitendo vyote ilivyokuwa ikitekeleza, kama halaqaat za umakinifu, utoaji thaqafa jumla, ukilenga Umma na kuufanya ubebe Uislamu na kujenga rai jumla juu ya Uislamu kutokamana nacho. Kimeendelea kuvutana dhidi ya dola za kikafiri za kikoloni kwa kudhihirisha njama zao na kufichua khiyana zao, kama kinavyo endelea kuvutana dhidi ya watawala kwa kutabanni maslahi ya Umma na kuchunga mambo yao.

Chama bado kinaendelea katika kazi yake na kutaraji kuwa Allah (swt) atakikabidhi kwake na kwa Ummah wa Kiislamu nusra, mafanikio na ushindi, na wakati huo Waumini watafurahia.

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!

Fikra ya Hizb ut Tahrir
Fikra ambayo juu yake imebuniwa Hizb ut Tahrir, inayo wasilishwa katika wanachama wake na ambayo inafanya kazi kuuyeyusha Umma kwayo, ili uichukue kama kadhia yake, ni fikra ya Kiislamu, yaani, ‘Aqeedah ya Kiislamu pamoja na sheria zinazotokamana nayo na fikra zilizo jengwa juu yake.

Kutokana na fikra hii chama hiki kimechukua (tabanni) kiwango fulani kinacho hitaji kama chama cha kisiasa kinacho fanya kazi kuuleta Uislamu katika mujtama, yaani, kuuwasilisha Uislamu katika utawala, mahusiano na mambo kadha wa kadha ya kimaisha. Chama kimeeleza kila kitu kilicho tabanni kwa ufafanuzi ndani ya vitabu na matoleo yake ambao imechapisha, pamoja na dalili fafanuzi kwa kila hukmu, rai, fikra na kila fahamu.

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!

Tabbani ya Hizb ut Tahrir
Baada ya kusoma, kutafakari na kuchunguza kuhusu hali ya sasa ya Umma huu na kiwango ulichofikia, na hali katika zama za Mtume (saw), na katika zama za Makhalifah wanne walioongoka na katika zama za waliofuata baada yao, na kupitia kuregelea seerah na njia ambayo yeye (saw) alibeba da’wah kutoka wakati alipoanza mpaka alipo simamisha dola Madina. Baada ya kusoma namna ya utendakazi wake (saw) ulivyo kuwa mjini Madina na kupitia kuregelea kitabu cha Allah (swt) na Sunnah za Mtume wake (saw) na yale yaliyo ashiriwa na jumuiko la Maswahaba (Ijma’ as-Sahaba) na njia ya uvuaji hukmu za kisheria (Qiyas), na rai angavu za Maswahaba na waliofuata baada yao, na rai za mujtahidina, baada ya yote haya. Hizb ut Tahrir hatimaye ikatabanni fikra, rai na hukmu zinazo husiana na fikra na njia yake. Si chengine isipokuwa ni fikra, rai na hukmu za Kiislamu, hakuna yoyote iliyo ya kikafiri, wala inayo athiriwa na ukafiri; bali zote ni za Kiislamu na wala hazitegemei chochote isipokuwa machimbuko ya Uislamu. Chama hiki kimejifunga na njia ya tafakari katika kutamatisha fikra, rai na hukmu hizi.

Hizb imetabanni fikra, hukmu na rai ambazo ni muhimu kwake katika kuendelea na kazi ya kuregesha maisha kamili ya Kiislamu na kubeba da’wah ya Kiislamu kwa ulimwengu mzima kupitia kusimamisha dola ya Khilafah na kuteua Khalifah.

Chama hiki kimekusanya yote kilicho tabanni na yote kilicho toa katika fikra, hukmu na rai ndani ya vitabu vyake na ndani ya matoleo yake mengi kilicho chapisha na kutoa kwa watu. Hivi ni vitabu ambavyo chama kimetoa:

Nidhamu ya Uislamu
Nidhamu ya Utawala Katika Uislamu
Nidhamu ya Kiuchumi Katika Uislamu
Nidhamu ya Kijamii Katika Uislamu
Muundo wa Chama
Fahamu za Hizb ut Tahrir
Dola ya Kiislamu
Shakhsiyya ya Kiislamu (katika mijeledi mitatu)
Fahamu za Kisiasa za Hizb ut Tahrir
Rai za Kisiasa za Hizb ut Tahrir
Utangulizi wa Katiba
Al-Khilafah
Vipi Khilafah Ilivyo Angamizwa
Nidhamu ya Kuadhibu
Hukmu za Dalili
Ukanushi wa Ukomunisti wa Kimarxi
Tafkiri
Uwepo wa Akili
Fikra ya Kiislamu
Ukanushi wa Nadharia ya Dhima Katika Sheria ya Kimagharibi
Mwito wa Harara
Sera Halisi ya Kiuchumi
Hazina Katika Dola ya Khilafah

Chama pia kimetoa maelfu ya matoleo, ukumbusho na vijitabu vya kifikra na kisiasa.

Chama hiki kinapo beba fahamu na hukmu hizi kwa watu, kinazibeba kisiasa. Yaani, kinazibeba fahamu hizi kwao ili watu wazitabanni, kuzitekeleza na kuzibeba katika kuziasisi ndani ya serikali na katika mambo ya kimaisha. Hii ni kwa sababu hili ni jukumu juu ya Waislamu, kama lilivyo jukumu juu ya chama hiki kama chama cha Kiislamu, na wanachama wake kama Waislamu.

Chama hiki kinategemea katika kutabanni kwake fikra na hukmu za Kiislamu Qur’an, Sunnah, Ijma’ as-Sahabah na Qiyas pekee, kwa sababu machimbuko haya manne ndio machimbuko pekee ambayo kuthibiti kwake ni kupitia dalili zilizo katikiwa.

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!

Wametoa vitabu, ambavyo vinahuburi kuanzisha dola ya kiislam. Vitabu hivi ukiensa kwenye website yao vipo na unaweA vipakua bure.

Screenshot_20210731-145107.jpg

Katiba ya nchi yetu, imeweka bayana nchi hii haifungamani na dini yeyote. Sheria ya vyama vya siasa inakataza chama cha siasa kuwa na mlengo wa dini fulani.

Screenshot_20210731-145912.jpg

Sasa je, chama hiki Kipo nchini mwetu? Kimesajiriwa nchini mwetu? Kama hakipo, basi nadhani vyombo vya dola inabidi haraka vipige marufuku.

Vyama vyenye vya kisiasa vyenye malengo ya kidini, huwa ni hatari kwa usalama na amani ya nchi. Na kwa asili, huanza kidogo kidogo na hatimaye hukomaa na kuzaa vikundi vya kigaidi.

Mfano tazama Wikipedia juu ya Chama hiki(kwa level ya dunia na malengo yake):

Screenshot_20210731-150713.jpg

Haya ndio mambo wanayopigania

Pan-Islamism.
Islamism.
Muslim supremacism.
Caliphalism.
Salafism.
Jihadism.
Anti-secularism.
Anti-Western sentiment.
Anti-Hindu sentiment.
Anti-Christian sentiment.
Anti-nationalism.
Antisemitism.
Anti-Zionism.
Anti-democracy.
Anti-liberalism.
Anti-capitalism.
Anti-communism.
"Hizb ut-Tahrir Constitution.

Screenshot_20210731-151131.jpg
 
Ujinga sijui kwa nini hauna chanjo!!!
Ilikuwa vyema ukaenda kwa msajili wa vyama umuulize kama hizb ut tahrir kimesajiliwa ndiyo uandike huu utopolo.
Au jimboni kwako ni nani aligombea kupitia hicho chama? Acheni hizo
 
Kimesajiliwa kabisa?!
Nimeangalia kwenye orodha ya usjali wa kudumu sijakiona. Labda usajiri wa muda.

Kinachotia mashaka, ni kuwa kiko active hapa Tanzania. Huku kikiwa na malengo ya kisiasa.
Screenshot_20210731-143630.jpg
 
Ujinga sijui kwa nini hauna chanjo!!!
Ilikuwa vyema ukaenda kwa msajili wa vyama umuulize kama hizb ut tahrir kimesajiliwa ndiyo uandike huu utopolo.
Au jimboni kwako ni nani aligombea kupitia hicho chama? Acheni hizo
Mambo mengine yakiwa nje ya uwezo wako wa kuyatafakari, achana nao, sio kutoka kauli za kishenzi.
 
Ujinga sijui kwa nini hauna chanjo!!!
Ilikuwa vyema ukaenda kwa msajili wa vyama umuulize kama hizb ut tahrir kimesajiliwa ndiyo uandike huu utopolo.
Au jimboni kwako ni nani aligombea kupitia hicho chama? Acheni hizo
Wewe ukoje lakini, Kuna mtu anazuiliwa kuleta habari humu ndani mpaka umwambie aende kwa msajili???

Taarifa ya anachokileta ziko wazi hapo na ametoa source of information, au wewe ni member wa kikundi hiki???

Hili kundi ni la kufuatiliwa kwa ukaribu na haraka iwezekanavyo, itikadi hizi zinatesa dunia mpaka kesho,

Ujinga wa watu tu kicheani mwao wanaua kila kukicha eti ni thawab
 
Kanishangaza sana huyo jamaa. Ila ndio tulivyo wanadamu.

Kwa kweli, mimi nimeshakuwa muhanga wa haya mambo ya itikadi hizi. Na nimekuwa nikiyasoma kwa muda mrefu hasa nchi za wenzetu. Haya mambo huwa yaanza kama uyoga shambani, kisha yanafumuka. Inapaswa kudhibitiwa mapema, na njia ya kwanza ni jamii kupewa taarifa, na mitandao hii ni njia rahisi na ya haraka kufikisha maoni. Sasa mimi niko karibu Km 1,5000 kutoka zilipo ofisi za Msajiri, inawezekanaje kusafiri wakati ipo njia nyingine ya kuvoice out!
 
Wewe ni mkhundu tu, huna lolote!
 
Jf siku hadi siku inashangaza kwa watu unaweza kuwaona kwa maoni yao, majuzi tumepata shida sana Kanda maalum na kwa kweli serikali yetu ndiyo wanaelewa nini kilikuwa kinatokea kule, lakini haya makundi ya kiitikadi namna hii yaani ni ya kudhibitiwa kwa nguvu na kwa lazima na haraka

Nimeshangaa sana kwamba ni kundi la siasa ambazo ni kueneza dini na propaganda za dini,

Yanayotokea Mozambique, Kenya na kwingineko tunayaona, ya Kanda maalum hatuna uthibitisho but honestly, hongera sana serikali yetu kwa kilimaliza vizuri jambo lile, naamini vyombo vya usalama vilikuwa havilali kuhakikisha Tz ni salama,

Heko kwenu wana usalama
 
Sure. Mimi nimeshakuwa na experience hii ya hawa watu. Ni wa kudhibiti mapema na kwa ukatili sana.
 
Salaam WanaJF!

Nimekutana na account hii Twitter, kwa kweli imenistua sana, kuogopa na kutishika sana. View attachment 1875209

Hapo inasema ni chama cha siasa, sasa kwanza, sijawahi sikia chama hiki, pili ninavyojuwa kuwa Sheria za Tanzania zinakataza vyama vya siasa vyenye mrengo wa kabila, imani au dini fulani. Inaonyesha ni chama kilicho 'active' maana Twitter account yake na website ziko updated!
View attachment 1875213
View attachment 1875223

Lakini, inaonyesha(kupitia website yake ni chama kilicho active).

View attachment 1875224
View attachment 1875225

Hizi hapa chini ni taarifa kuhusu chama hiki. (Kwa Mujibu wa website yake).

Hizb ut Tahrir

Hizb ut Tahrir ni chama cha kisiasa ambacho mfumo wake ni Uislamu, kwa hiyo siasa ndiyo kazi yake na Uislamu ndiyo mfumo wake. Kinafanyakazi ndani ya Ummah na pamoja nao, ili uweze kuubeba Uislamu kama kadhia yake na kuuongoza katika kurudisha Khilafah na hukmu za Allah (swt) alizoteremsha. Hizb ut Tahrir ni kundi la kisiasa na sio la kiroho. Wala sio kundi la kiusomi, kielimu au msaada. Fikra ya Kiislamu ndiyo roho ya mwili wake, msingi wake na siri za maisha yake.

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!

Lengo la Hizb ut Tahrir

Lengo lake ni kurudisha tena mfumo kamili wa Kiislamu na kulingania da’wah ya Kiislamu Ulimwenguni. Lengo hili lamaanisha kuwaregesha Waislamu kuishi maisha kamili ya Kiislamu ndani ya Dar al-Islam na ndani ya mujtama wa Kiislamu ambao kwamba mambo yote ya kimaisha yatasimamiwa kwa mujibu wa hukmu za kisheria, na kipimo ndani yake ni halali na haramu chini ya kivuli cha dola ya Kiislamu, ambayo ni dola ya Khilafah. Dola ambayo Waislamu watateua Khalifah na kumpa ahadi ya utiifu (Bay’ah) kumsikiza na kumtii kwa sharti kuwa ahukumu kuambatana na Kitabu cha Allah (swt) na Sunnah za Mtume wa Allah (saw) na kwa sharti kuwa alinganie Uislamu kama risala ya kiulimwengu kupitia da’wah na Jihad.

Chama hiki, pamoja na hayo, kinalenga kufikia muamko sahihi wa Umma kupitia fikra angavu. Pia kinafanya bidii kuurudisha tena katika nguvu na izza yake ya mwanzoni kiasi ya kuuwezesha kunyakua uwezo wa kiathari kutoka kwa dola nyenginezo na kurudi mahali pake panapo stahili kama dola inayoongoza duniani, kama ulivyokuwa mwanzoni, ulipo utawala ulimwengu kuambatana na hukmu za Kiislamu.

Pia kinalenga kuurudisha uongofu wa Uislamu kwa wanadamu na kuuongoza Umma huu katika mvutano na ukafiri, nidhamu zake na fikra ili Uislamu utawale ulimwengu mzima.

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!

Kazi ya Hizb ut Tahrir
Kazi ya Hizb ut Tahrir ni kubeba da’wah ya Uislamu ili kubadilisha hali ya mujtama fisidifu ili kuugeuza kuwa mujtama wa Kiislamu. Inalenga kufanya hivi kupitia kwanza kubadilisha fikra zilizoko leo katika mujtama kuwa fikra za Kiislamu ili fikra hizi ziwe ndio rai jumla miongoni mwa watu, ambao hatimaye zitawasukuma kuzitabikisha na kuzitekeleza. Pili chama hiki kinafanya kazi kubadilisha hamasa ndani ya mujtama kuwa hamasa za Kiislamu ambazo hazikubali chochote isipokuwa kile kinachomridhisha Allah (swt) pekee na kupinga na kuchukia dhidi ya chochote kinachomkasirisha Allah (swt). Hatimaye, chama kinafanya kazi kubadilisha mahusiano katika mujtama yawe mahusiano ya Kiislamu yanayo kwenda kuambatana na sheria na suluhisho za Uislamu. Matendo haya ambayo chama inayafanya ni matendo ya kisiasa, kwa kuwa yanahusiana na mambo ya watu kulingana na hukmu na suluhisho za kisheria, na siasa katika Uislamu ni kuangalia mambo ya watu, ima ki-rai au ki-utabikishaji au yote mawili, kulingana na hukmu na suluhisho za Kiislamu.

Kinachojitokeza katika matendo haya ya kisiasa ni kuulea Umma kwa thaqafa ya Kiislamu ili kuuyeyusha kwa Uislamu na kuutakasa kutokana na itikadi fisidifu, fikra batili na fahamu za kimakosa ikiwemo athari ya fikra na rai za kikafiri.

Kinachojitokeza katika matendo haya ya kisiasa ni mvutano wa kifikra na kisiasa. Kujitokeza kwa mvutano wa kifikra ni kupitia mvutano dhidi ya fikra na nidhamu za kikafiri. Pia hujitokeza kupitia mvutano dhidi ya fikra batili, itikadi fisidifu na fahamu za kimakosa kwa kuonyesha ufisadi na makosa yake, na kuwasilisha wazi wazi hukmu ya Uislamu kuhusiana nazo.

Ama mvutano wa kisiasa, hujitokeza katika mvutano dhidi ya mabepari makafiri, ili kuutoa Umma kutokana na kutawaliwa nao na kuukomboa kutokana na athari yao kupitia kung’oa mizizi yao ya kifikra, kithaqafa, kisiasa, kiuchumi na kijeshi kutoka katika biladi zote za Waislamu.

Mvutano wa kisiasa pia hujitokeza katika kupambana na watawala, kufichua khiyana na njama zao dhidi ya Umma huu, na kuwawajibisha na kuwabadilisha endapo watanyima haki za Umma huu, au kuacha kutekeleza majukumu yao kwake, au kupuuza jambo lolote lake, au kukiuka sheria za Uislamu.

Hivyo basi kazi yote ya chama hiki ni ya kisiasa, ima kiwe madarakani au la. Kazi yake si ya kielimu kwani sio shule, wala kazi yake haihusiani na kutoa hotuba na kuhubiri. Bali kazi yake ni ya kisiasa, ambapo fikra na sheria za Uislamu zinawasilishwa ili kuzitekeleza na kuzibeba kwa lengo la kuziasisi katika mambo ya kimaisha na ndani ya dola.

Chama hiki kinalingania da’wah kwa Uislamu ili utabikishwe, na ili itikadi yake (‘Aqeedah) iwe ndio msingi wa dola yake na msingi wa katiba na kanuni zake. Hii ni kwa sababu ‘Aqeedah ya Kiislamu ni ‘Aqeedah iliyojengeka kupitia kukinaika akili na ni ‘Aqeedah ya kisiasa ambayo kwayo ni chimbuko la nidhamu inayo tatua matatizo yote ya mwanadamu, yawe ya kisiasa, kiuchumi, kithaqafa, kijamii au kadhia yoyote nyengineyo.

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!

Njia ya Hizb ut Tahrir
Njia iliyo tabanniwa na Hizb ut Tahrir kulingania da’wah ni njia ya kisheria iliyovuliwa kutoka katika seerah ya Mtume (saw) katika utendakazi wake katika ulinganizi wa da’wah. Hii ni kwa sababu ni wajibu kumfuata yeye, kama alivyosema Allah (swt):

“Hakika nyinyi mnayo ruwaza kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu kwa anaye mtaraji Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na akamkumbuka Mwenyezi Mungu sana.”

[Al-Ahzab: 21]

“Sema: Ikiwa nyinyi mwampenda Mwenyezi Mungu basi nifuateni mimi, Mwenyezi Mungu atakupendeni na atakufutienii madhambi yenu.”

[Aal Imran: 31]

“Na anacho kupeni Mtume chukueni, na anacho kukatazeni jiepusheni nacho.”

[Al-Hashr: 7]

Kuna aya nyengine nyingi zinazo ashiria uwajibu wa kumfuata Mtume (saw), kumfanya kiigizo na kuchukua mambo yote ya dini hii kutoka kwake.

Kwa kuwa Waislamu siku hizi wanaishi ndani ya Dar al-Kufr, kwa kuwa wanatawaliwa na sheria kinyume na zilizo teremshwa na Allah (swt), imezifanya ardhi zao kushabihiana na Makkah aliyotumilizwa Mtume (saw) kwa mara ya kwanza kama Mtume. Hivyo basi, ni muhimu kuichukua sehemu ya Makkah katika seerah ya Mtume (saw) kama mfano katika ulinganiaji da’wah.

Kwa kuisoma seerah ya Mtume (saw) mjini Makkah mpaka alipoweza kuasisi dola ya Kiislamu Madina, ni dhahiri kuwa yeye (saw) alipitia hatua za wazi, kila mojawapo yeye (saw) alikuwa akifanya matendo maalumu. Kwa hivyo chama hiki kimechukuwa kutokana nayo njia ya utendakazi wake, na hatua za matendo yake na amali zake ambazo ni sharti izitekeleze katika hatua hizi kuambatana na amali alizozifanya Mtume (saw) katika hatua hizi za kazi yake.

Kutokana na haya, chama hiki kimeifafanua njia yake katika hatua tatu:

Hatua ya Kwanza: Hatua ya kutoa thaqafa ili kuzalisha watu wanao amini fikra na njia ya chama hiki, ili waunde pote la chama.

Hatua ya Pili: Hatua ya maingiliano na Umma, ili kuufanya Umma ukumbatie na kuubeba Uislamu, ili Umma uuchukue kama kadhia yake, na hivyo basi kufanya kazi kuusimisha katika mambo yake ya kimaisha.

Hatua ya Tatu: Hatua ya kuasisi serikali, kutabikisha Uislamu kijumla na kiukamilifu, na kuubeba kama ujumbe kwa ulimwengu mzima.

Chama kilianza hatua ya kwanza katika eneo la al-Qudsi mnamo 1372 Hijri (1953 Miladi) chini ya uongozi wa muasisi wake, mwanachuoni muheshimika, mufakir, mwanasiasa shupavu, kadhi katika mahakama ya rufaa eneo la al-Qudsi, Taqiuddin al-Nabhani (Allah amuwiye radhi). Katika hatua hii, chama kilikuwa kikiwasiliana na Umma kwa kuwasilisha kwao kupitia watu binafsi binafsi, fikra na njia yake. Kila aliye kubali fikra yake msingi, chama kilikuwa kikimuandalia masomo ya umakinifu katika duara (Halaqaat) zake za masomo, ili atakaswe kwa fikra na hukmu za Uislamu zilizo tabanniwa na chama na hivyo basi kujenga kwake utambulisho ‘shakhsiya’ wa Kiislamu. Hivyo basi anaingiliana na Uislamu na kuufurahia utambuzi (Aqliyya) wa Kiislamu na hamasa za Kiislamu zinazo mpelekea kuanza kubeba da’wah kwa watu. Pindi mtu anapofika hatua hii anajipendekeza kwa chama na hivyo basi kuwa mwanachama ndani yake. Hivi ndivyo alivyo fanya Mtume (saw) katika hatua yake ya kwanza ya da’wah, iliyoendelea kwa muda wa miaka mitatu, kwa kuwaita watu binafsi binafsi na kuwasilisha kwao yale aliyoteremshiwa na Allah (swt). Aliwakusanya kwa siri wale walio muamini katika msingi wa mfumo huu. Alikuwa na hamu ya kuwafunza Uislamu na kuwasomea yale yaliyo teremshwa na yaliyokuwa yakiteremshwa kwake mpaka akawayeyusha kwa Uislamu. Alikuwa akikutana nao kwa siri na kuwafunza sehemu zilizo fichika kutoka machoni mwa watu. Walikuwa pia wakifanya ibada zao kwa kujificha. Hatimaye, da’wah ya Uislamu ikaenea mjini Makkah, na watu wakaanza kuizungumzia na kuanza kuingia katika Uislamu kwa makundi.

Katika hatua hii ya da’wah, chama kikatuliza makini katika kujenga mwili wake, kuongeza uanachama wake na kutoa thaqafa kwa watu binafsi katika halaqaat zake kwa thaqafa makinifu ya chama mpaka kilipo faulu kuunda muundo wa chama kutokana na watu walio yeyushwa kwa Uislamu, na ambao wame tabanni fikra za chama na wakaingiliana na fikra hizi na kuzilingania kwa watu. Baada ya chama kufaulu kuunda muundo wake na mujtama kuanza kukijua na kukitambua pamoja na fikra zake na yale kinacho yalingania, chama kikaingia katika hatua ya pili.

Hatua hii ni ya maingiliano na Umma kuufanya ubebe Uislamu na kuasisi katika Umma utambuzi jumla na rai jumla juu ya fikra na hukmu za Uislamu zinazo tabanniwa na chama. Ili Umma uzitabanni kama fikra zake na kujitolea kuziasisi maishani, na kusonga mbele pamoja na chama katika kazi ya kuasisi dola ya Khilafah na kumteua Khalifah ili kurudisha tena maisha kamili ya Kiislamu na kubeba da’wah ya Uislamu ulimwenguni.

Katika hatua hii chama kilipanua mipaka ya matendo yake kutoka kuwa kinawafuata watu binafsi na kuwa kina zungumza na halaiki ya watu kwa ujumla. Katika hatua hii kilikuwa kikitekeleza kazi zifuatazo:

Utoaji thaqafa ya umakinifu kwa watu binafsi ndani ya halaqaat zake kujenga mwili wa chama na kuongeza uanachama wake, na kuzalisha utambulisho ‘shakhsiya’ wa Kiislamu ulio na uwezo wa kubeba da’wah na kusonga mbele katika mvutano wa kifikra na kisiasa. Utoaji thaqafa jumla kwa halaiki ya watu katika Umma kwa fikra na hukmu za Uislamu ambazo Hizb imezitabanni, kupitia madarasa, hotuba, na mazungumzo misikitini, vituoni na sehemu jumla zinazo kusanyika watu, na kupitia vyombo vya habari, vitabu na matoleo. Haya yalifanywa ili kuunda utambuzi jumla miongoni mwa Umma na kuingiliana nao.

Mvutano wa kifikra dhidi ya itikadi, nidhamu na fikra za kikafiri, fikra za kimakosa na fahamu ghushi kwa kufichua ubatili wake, dosari na kugongana kwake na Uislamu, ili kuutoa Umma kutokana nazo na athari zake.

Mvutano wa kisiasa, unawakilishwa kwa njia ifuatayo:

Mapambano dhidi ya dola kafiri za kikoloni zilizo zitawala na kuziathiri biladi za Kiislamu. Mapambano dhidi ya ukoloni katika sura zake zote; kifikra, kisiasa, kiuchumi na kijeshi, ikihusisha kudhihirisha mipango yake, na kufichua njama zake ili kuutoa Umma kutokana na utawala wake na kuukomboa kutokana na natija yoyote ya athari yake.

Mvutano dhidi ya watawala katika biladi za kiarabu na za Kiislamu, kwa kuwafichua, kuwahisabu, kufanya kazi ya kuwabadilisha kila wanapo unyima Umma haki zake au kupuuza kutekeleza jukumu lao kwake, au kudharau lolote kati ya mambo yake, na kila wanapo kuwa kinyume na hukmu za Kiislamu, na pia kufanya kazi kuondoa tawala zao ili mahali pake kusimamisha utawala wa Kiislamu.

Kubeba maslahi ya Umma na kutabanni mambo yake kuambatana na hukmu za kisheria. Chama kimetekeleza kazi yote hii kwa kumuiga Mtume (swt) alivyo fanya baada ya Allah (swt) kumteremshia:

“Basi wewe yatangaze uliyo amrishwa, na jitenge na washirika.”

[Al-Hijr: 94]

Mtume (saw) alitangaza ujumbe wake na kuwaita Maquraish katika mlima wa Safa na kuwaambia kuwa yeye ni Mtume aliye tumilizwa kwao. Aliwalingania kumuamini. Alianza kufanya ulinganizi wake kwa halaiki ya watu pamoja na watu binafsi binafsi. Maqureish walivyo mpinga, alipambana nao, miungu yao, itikadi zao na fikra zao, akifafanua upotovu, ufisadi na dosari zake. Alizidunisha na kuzishambulia kama vile pia alivyozishambulia itikadi na fikra nyenginezo zilizokuwako. Aliteremshiwa Aya za Qur’an mfululizo juu ya kadhia hizi na zilishutumu vitendo vya Maqureish vya ulaji riba, kuzika binti zao wakiwa hai, kupunja katika mizani na uzinifu. Aya pia ziliteremshwa kushambulia viongozi na machifu wa Kiqureish, zikiwahujumu wao, fikra zao na mababu zao, na kufichua njama zao dhidi ya Mtume (saw) na dhidi ya da’wah yake na Maswahaba zake.

Chama kilikuwa wazi, na kupambana katika ubebaji wake wa fikra zake na katika ukabilianaji wake na fikra na vyama vya kisiasa batili, katika mvutano wake dhidi ya makafiri wakoloni pamoja na mvutano wake dhidi ya watawala. Hakimpaki mafuta yeyote, wala hakimsifu yeyote, wala hakifanyi tahadhari au kuzingatia usalama, namna itakavyo kuwa matokeo au dhurufu za da’wah yake. kinapambana na kila anaye pinga Uislamu na sheria zake, jambo lililo pelekea kukabiliwa na madhara makubwa na yanayotekelezwa na watawala dhidi yake; kama vile kifungo gerezani, mateso, kutolewa nchi, kufuatiliwa, wanachama kuharibiwa kazi zao, kuharibu maslahi yao, kuwapiga marufuku ya kusafiri na mauaji. Watawala hawa dhalimu nchini Iraq, Syria, Libya na biladi nyenginezo wamewaua mamia ya wanachama wake. Magereza ya Jordan, Syria, Iraq, Misri, Libya, na Tunisia yamejaa wanachama wake. Chama kilipitia yote haya kupitia kufuata mfano wa Mtume (saw). Yeye (saw) ndiye aliyekuja na ujumbe wa Uislamu kwa ulimwengu mzima. Alipambana nao kwa hali ya wazi, na kuamini haki ambayo yeye (saw) alikuwa akiilingania. Yeye (saw) alipambana na ulimwengu mzima. Alivutana na kila aina ya watu pasi na ubaguzi, bila kutilia maanani mienendo yao, desturi zao, dini zao, itikadi zao, watawala au watu wa kawaida. Hakuzingatia hata kidogo jambo jengine lolote isipokuwa ujumbe wa Uislamu. Alichukua hatua dhidi ya Maqureish kwa kuiaibisha miungu yao. Alipambana nao juu ya itikadi zao na kuwahujumu akiwa yeye peke yake, pasi na kuwa na uwezo wa kutosha au wasaidizi na pasi na kuwa na silaha isipokuwa imani yake thabiti katika ujumbe wa Uislamu ambao yeye (saw) alitumilizwa nao. Ingawa chama kimejitolea kuwa wazi katika mapambano ya da’wah yake, kimejifunga katika vitendo vya kisiasa pekee na wala hakikuvuka na kutumia silaha dhidi ya watawala au dhidi ya wale wanaopinga da’wah yake, kwa kufuata mfano wa Mtume (saw) ambaye mjini Makkah alijifunga na ulinganizi pekee na yeye (saw) kamwe hakubeba silaha mpaka alipogura mjini Madina. Na pindi watu wa Bay’ah ya pili ya Aqabah walipopendekeza kwake kuwaruhusu kuinua upanga dhidi ya watu wa Mina, aliwajibu kwa kusema: “Bado hatujaamrishwa kwa hilo”. Na Allah (swt) akamwambia (saw) kuwa na subira juu ya mateso kwani Mitume kabla yake pia walipitia hayo, ambapo Allah (swt) aliwaambia:

“Na hakika walikanushwa Mitume kabla yako. Nao wakavumilia kule kukanushwa na kuudhiwa, mpaka ilipo wafikia nusura yetu.”

[Al-An’aam: 34]

Kutotumia silaha kwa chama kujilinda au kukabiliana dhidi ya watawala haina uhusiano wowote na kadhia ya Jihad, kwa sababu Jihad ni yenye kuendelea mpaka siku ya Qiyama. Wakati wowote makafiri maadui watakapo shambulia biladi ya Kiislamu inakuwa ni wajib juu ya raia wake wa Kiislamu kumfurusha adui huyu. Wanachama wa Hizb ut Tahrir katika biladi hiyo ni sehemu ya Waislamu na itakuwa ni wajib juu yao kama ilivyo wajib juu ya Waislamu wengine, katika sifa yao kama Waislamu, kupigana na adui huyu na kumfurusha. Kunapo kuwa na Amir wa Waislamu aliyetangaza Jihad kuinua neno la Allah (swt) na kuwashajiisha watu kufanya hivyo, wanachama wa Hizb ut Tahri wataitikia mwito huo katika sifa yao kama Waislamu katika biladi hiyo ambayo mwito huo jumla wa kubeba silaha umetangazwa.

Pindi jamii ilipokosa kuitikia mwito wa chama kutokana na Umma kupoteza imani kwa viongozi wake na machifu wake ambao matarajio yake uliyaweka kwao. Dhurufu ngumu zilizo wekwa na eneo hili ili kurahisisha utekelezaji wa njama, dhulma na kukata tamaa ambako watawala wanatia dhidi ya watu wao na mateso makali wanayo tekeleza dhidi ya chama na wanachama wake, pindi jamii ilipokosa kuitikia mwito wa chama kutokana na sababu hizi chama kilianza kutafuta nusra kutoka kwa watu wenye msemo kikiwa na malengo mawili akilini mwake:

Kwa lengo la kupata hifadhi, ili kiweze kuendelea na da’wah yake huru na mateso. Kuchukua utawala ili kusimamisha Khilafah na kutabikisha Uislamu. Pamoja na kutekeleza vitendo vyote ilivyokuwa ikitekeleza, kama halaqaat za umakinifu, utoaji thaqafa jumla, ukilenga Umma na kuufanya ubebe Uislamu na kujenga rai jumla juu ya Uislamu kutokamana nacho. Kimeendelea kuvutana dhidi ya dola za kikafiri za kikoloni kwa kudhihirisha njama zao na kufichua khiyana zao, kama kinavyo endelea kuvutana dhidi ya watawala kwa kutabanni maslahi ya Umma na kuchunga mambo yao.

Chama bado kinaendelea katika kazi yake na kutaraji kuwa Allah (swt) atakikabidhi kwake na kwa Ummah wa Kiislamu nusra, mafanikio na ushindi, na wakati huo Waumini watafurahia.

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!

Fikra ya Hizb ut Tahrir
Fikra ambayo juu yake imebuniwa Hizb ut Tahrir, inayo wasilishwa katika wanachama wake na ambayo inafanya kazi kuuyeyusha Umma kwayo, ili uichukue kama kadhia yake, ni fikra ya Kiislamu, yaani, ‘Aqeedah ya Kiislamu pamoja na sheria zinazotokamana nayo na fikra zilizo jengwa juu yake.

Kutokana na fikra hii chama hiki kimechukua (tabanni) kiwango fulani kinacho hitaji kama chama cha kisiasa kinacho fanya kazi kuuleta Uislamu katika mujtama, yaani, kuuwasilisha Uislamu katika utawala, mahusiano na mambo kadha wa kadha ya kimaisha. Chama kimeeleza kila kitu kilicho tabanni kwa ufafanuzi ndani ya vitabu na matoleo yake ambao imechapisha, pamoja na dalili fafanuzi kwa kila hukmu, rai, fikra na kila fahamu.

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!

Tabbani ya Hizb ut Tahrir
Baada ya kusoma, kutafakari na kuchunguza kuhusu hali ya sasa ya Umma huu na kiwango ulichofikia, na hali katika zama za Mtume (saw), na katika zama za Makhalifah wanne walioongoka na katika zama za waliofuata baada yao, na kupitia kuregelea seerah na njia ambayo yeye (saw) alibeba da’wah kutoka wakati alipoanza mpaka alipo simamisha dola Madina. Baada ya kusoma namna ya utendakazi wake (saw) ulivyo kuwa mjini Madina na kupitia kuregelea kitabu cha Allah (swt) na Sunnah za Mtume wake (saw) na yale yaliyo ashiriwa na jumuiko la Maswahaba (Ijma’ as-Sahaba) na njia ya uvuaji hukmu za kisheria (Qiyas), na rai angavu za Maswahaba na waliofuata baada yao, na rai za mujtahidina, baada ya yote haya. Hizb ut Tahrir hatimaye ikatabanni fikra, rai na hukmu zinazo husiana na fikra na njia yake. Si chengine isipokuwa ni fikra, rai na hukmu za Kiislamu, hakuna yoyote iliyo ya kikafiri, wala inayo athiriwa na ukafiri; bali zote ni za Kiislamu na wala hazitegemei chochote isipokuwa machimbuko ya Uislamu. Chama hiki kimejifunga na njia ya tafakari katika kutamatisha fikra, rai na hukmu hizi.

Hizb imetabanni fikra, hukmu na rai ambazo ni muhimu kwake katika kuendelea na kazi ya kuregesha maisha kamili ya Kiislamu na kubeba da’wah ya Kiislamu kwa ulimwengu mzima kupitia kusimamisha dola ya Khilafah na kuteua Khalifah.

Chama hiki kimekusanya yote kilicho tabanni na yote kilicho toa katika fikra, hukmu na rai ndani ya vitabu vyake na ndani ya matoleo yake mengi kilicho chapisha na kutoa kwa watu. Hivi ni vitabu ambavyo chama kimetoa:

Nidhamu ya Uislamu
Nidhamu ya Utawala Katika Uislamu
Nidhamu ya Kiuchumi Katika Uislamu
Nidhamu ya Kijamii Katika Uislamu
Muundo wa Chama
Fahamu za Hizb ut Tahrir
Dola ya Kiislamu
Shakhsiyya ya Kiislamu (katika mijeledi mitatu)
Fahamu za Kisiasa za Hizb ut Tahrir
Rai za Kisiasa za Hizb ut Tahrir
Utangulizi wa Katiba
Al-Khilafah
Vipi Khilafah Ilivyo Angamizwa
Nidhamu ya Kuadhibu
Hukmu za Dalili
Ukanushi wa Ukomunisti wa Kimarxi
Tafkiri
Uwepo wa Akili
Fikra ya Kiislamu
Ukanushi wa Nadharia ya Dhima Katika Sheria ya Kimagharibi
Mwito wa Harara
Sera Halisi ya Kiuchumi
Hazina Katika Dola ya Khilafah

Chama pia kimetoa maelfu ya matoleo, ukumbusho na vijitabu vya kifikra na kisiasa.

Chama hiki kinapo beba fahamu na hukmu hizi kwa watu, kinazibeba kisiasa. Yaani, kinazibeba fahamu hizi kwao ili watu wazitabanni, kuzitekeleza na kuzibeba katika kuziasisi ndani ya serikali na katika mambo ya kimaisha. Hii ni kwa sababu hili ni jukumu juu ya Waislamu, kama lilivyo jukumu juu ya chama hiki kama chama cha Kiislamu, na wanachama wake kama Waislamu.

Chama hiki kinategemea katika kutabanni kwake fikra na hukmu za Kiislamu Qur’an, Sunnah, Ijma’ as-Sahabah na Qiyas pekee, kwa sababu machimbuko haya manne ndio machimbuko pekee ambayo kuthibiti kwake ni kupitia dalili zilizo katikiwa.

Kusambaza ni Kuunusuru Uislamu!

Wametoa vitabu, ambavyo vinahuburi kuanzisha dola ya kiislam. Vitabu hivi ukiensa kwenye website yao vipo na unaweA vipakua bure.

View attachment 1875255

Katiba ya nchi yetu, imeweka bayana nchi hii haifungamani na dini yeyote. Sheria ya vyama vya siasa inakataza chama cha siasa kuwa na mlengo wa dini fulani.

View attachment 1875248

Sasa je, chama hiki Kipo nchini mwetu? Kimesajiriwa nchini mwetu? Kama hakipo, basi nadhani vyombo vya dola inabidi haraka vipige marufuku.

Vyama vyenye vya kisiasa vyenye malengo ya kidini, huwa ni hatari kwa usalama na amani ya nchi. Na kwa asili, huanza kidogo kidogo na hatimaye hukomaa na kuzaa vikundi vya kigaidi.

Mfano tazama Wikipedia juu ya Chama hiki(kwa level ya dunia na malengo yake):

View attachment 1875258

Haya ndio mambo wanayopigania

Pan-Islamism.
Islamism.
Muslim supremacism.
Caliphalism.
Salafism.
Jihadism.
Anti-secularism.
Anti-Western sentiment.
Anti-Hindu sentiment.
Anti-Christian sentiment.
Anti-nationalism.
Antisemitism.
Anti-Zionism.
Anti-democracy.
Anti-liberalism.
Anti-capitalism.
Anti-communism.
"Hizb ut-Tahrir Constitution.

View attachment 1875261
Hawa ni wajinga wengine wanaoamini Uislam hauwezi kushamili mpaka waunde Islamic state,yaani siasa ya nchi iwe uislama na sharia zake,
Mambo ya hovyo kabisa,aliyakataa Baba wa Taifa wa Uturuki Mustafa Ataturk,sasa Hawa wapuuzi wanajiona wanaweza,ni njaa tu
 
Back
Top Bottom