Hili limekaaje wadau, Hebu nipeni ushauri kuhusu hili jambo la ndoa

Hapo ndio utajua waliosema simba akizidiwa hula hata nyasi walimaanisha nini. Kifupi ni kwamba hakukupenda sema alikuwa anashida na akaona wewe uko tayar kumsaidia bila kujali dini wala kabila lako akaomba msaada. So next time be careful
Ila mna akili za ajabu maana ""alinitafuta anajutia na anataka tupashe kiporo""
Ila mi moja ya slogan zangu MKE WA MTU SUMU.

Maana wanawake wa siku hizi akikupenda wengi ni kwamba wanashida aidha ya hela au .......

Hapa ndio maana Zero IQ anakula sanaa papuchi..
Ngoja mabaharia waendelee kuvua hizo chupi..

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Kuoa sio lazima ni hiari ila usiwe muhuni vile vile jifunze kutenda wema na kwenda zako/vile vile maisha ni wewe sio walezi wako!cha muhimu waheshimu na wasaidie wanapohitaji msaada/wanandoa wanaruhusiwa kumiliki Mali binafsi pia!zingatia kwenye mapenzi ya Sasa usiingie kichwa kichwa utaumia

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Ila mna akili za ajabu maana ""alinitafuta anajutia na anataka tupashe kiporo""
Ila mi moja ya slogan zangu MKE WA MTU SUMU.

Maana wanawake wa siku hizi akikupenda wengi ni kwamba wanashida aidha ya hela au .......

Hapa ndio maana Zero IQ anakula sanaa papuchi..
Ngoja mabaharia waendelee kuvua hizo chupi..

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
😂😂😂relax
 
Kama alizaliwa nao haina shida sio kosa lake na unaweza kuwa nae tu maana usipozaa nae wewe nani mwingine atampa hata katoto...tena usingejutia huyo hachepuki zaidi yako wewe na ungepata maendeleo makubwa
Nioe UKIMWI bro..!!!

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Kwanza naomba kukiri kwamba "UNA TAKO ZURI" Mahondaw sio umbo hapana "TAKO" hata kama dp uliyoweka sio ww .
Ok kuhusu kuoa mdau sioni kama ni issue kubwa sana kwa kuwa hakuna sehemu yyte kwenye dini yyte umefosiwa kuoa so ww angalia kwanza kama moyo wako na akili zimekubaliana ndiyo uoe mkuu vinginevyo utantesa huyo mwanamke .
Na kuhusu walenzi we endelea kuwapiga kalenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amen.

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
pamoja na utamu wako lakini bado akakuacha
Alisema hawezi kuolewa na mkristo ila sasa hivi anataka mahaba ya mkristo...!!!
Ila mimi hapana ""MKE WA MTU SUMU""

Ndoa ngumu...!!!

Sasa eti mi naoa halafu mke wangu anaanza kukumbuka ma x wake halafu wanalana, pia usiku ananiletea na Mimi papuchi ile ile nakula... Jamaniii iiiiii bagosha..!!!

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Ahahahah eti ajari
Wanasema nimsubiri atakae nipenda ndio nioe... Sasa ndio namsubiri anipende tu kama ajali..!

Maana nikimpenda Mimi atanitesa na kujishaua..!!!

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
 
Alisema hawezi kuolewa na mkristo ila sasa hivi anataka mahaba ya mkristo...!!!

Ndoa ngumu...!!!

Sasa eti mi naona mke wangu anaanza kukumbuka ma x wake halafu wanalana, pia usiku ananiletea na Mimi papuchi ile jle nakula... Jamaniii iiiiii bagosha..!!!

#YNWA

Wrote from Anfield...!!!
Wewe usioe mwaya.
 
Ukiwaza kwamba ukioa mkiacha mke atadai mali na mtagawana na huku umechuma mwenyewe .hutaoa.Piga moyo konde na uoe.
 
Back
Top Bottom