Hili lijamaa limenighadhabisha sana. Nimepatwa na kichaa cha hasira

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,743
Jamaa nlisoma naye miaka ya nyuma A level na baadaye UDSM. Tulikuwa watu wakaribu mpaka home alikuwa anatambulika na wazazi. Akawa na kazi baadaye yalitokea ya kutokea akapoteza kazi, akawa anafanya biashara za magari.

Mwaka jana tu mwezi wa 10 alikuja kwangu nimkopeshe mil 6.5 akaongezee kutoa gari zake tatu bandarini, akatoa ili auze anirudishie pesa yangu. Aliweza rudisha Mil 2.5 bado Mil 4.

Leo mara ya tatu naonana naye toka Corona ipambe moto. Lijamaa halina habari kabisa, halivaa mask, halina sanitizer, bado linapuyanga tu mjini na bar as if nothing is going on. Linasahau kuwa nalidai Mil 4, angalau li-take care lisije kufa, wala halijali.

Nimejaribu kila mara kuliambia kuwa lijilinde. Kimoyo moyo nataka kuliambia kuwa lijilinde lisije likafa halijamaliza deni but nanyamaza.

Sasa leo nmekwazika sana maana nmeona kabisa jamaa linafanya makusudi, maybe ili life na deni langu. Limetoka kwake limepanda public transport halijavaa mask. Limekuja town tuonane halina mask wala sanitizer.

Linapuyanga tu mjini. Naliuliza kuwa si bora basi lingetumia private transport linajibu tu: "Gari moja anatumia wife nyingine ipo service" Wapi mask, wapi sanitizer? Linakenua tu meno.

Nimeghadhibika sana maana naona pesa yangu inaweza zikwa na mtu hivi hivi. Sijui limerogwa? Ningejua nisingelikopesha pesa zangu.
 
Dah we jamaa bana uko na situation kama yangu Mimi kuna mdeni yupo jiji LA makonda yaani namdai pesa ndefu kila siku nampigia simu nijue hali yake nakumsihi awe makini na corona inaua Ila apambane arudishe hela yangu mapema nashida huku mkoa duh yaani roho juu juu na hii korona akipata tu kwishney karantini na najua silipwi na katika Maombi yangu namuombea mdeni asipatwe na Corona.
 
Jamaa nlisoma naye miaka ya nyuma A level na baadaye UDSM. Tulikuwa watu wakaribu mpaka home alikuwa anatambulika na wazazi. Akawa na kazi baadaye yalitokea ya kutokea akapoteza kazi, akawa anafanya biashara za magari.

Mwaka jana tu mwezi wa 10 alikuja kwangu nimkopeshe mil 6.5 akaongezee kutoa gari zake tatu bandarini, akatoa ili auze anirudishie pesa yangu. Aliweza rudisha Mil 2.5 bado Mil 4.

Leo mara ya tatu naonana naye toka Corona ipambe moto. Lijamaa halina habari kabisa, halivaa mask, halina sanitizer, bado linapuyanga tu mjini na bar as if nothing is going on. Linasahau kuwa nalidai Mil 4, angalau li-take care lisije kufa, wala halijali.

Nimejaribu kila mara kuliambia kuwa lijilinde. Kimoyo moyo nataka kuliambia kuwa lijilinde lisije likafa halijamaliza deni but nanyamaza.

Sasa leo nmekwazika sana maana nmeona kabisa jamaa linafanya makusudi, maybe ili life na deni langu. Limetoka kwake limepanda public transport halijavaa mask. Limekuja town tuonane halina mask wala sanitizer.

Linapuyanga tu mjini. Naliuliza kuwa si bora basi lingetumia private transport linajibu tu: "Gari moja anatumia wife nyingine ipo service" Wapi mask, wapi sanitizer? Linakenua tu meno.

Nimeghadhibika sana maana naona pesa yangu inaweza zikwa na mtu hivi hivi. Sijui limerogwa? Ningejua nisingelikopesha pesa zangu.
Hongera mkuu kwa kudaka idea za watu huko twitter.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😅😅😅😅😅😅
 
Hizi viporo za kande iliyochacha huko karantini.

Coronavirus Sucks!
 
Kama una makaratasi ya mkopo usihofu unaweza kwenda kudai kwenye msiba.
 
Kwa hiyo issue ni deni au mask na sanitizer?

Back
Top Bottom