Stephen Ngalya Chelu

JF-Expert Member
Oct 31, 2017
7,620
16,365
Je, Yanga itaendeleza ubabe wake wa kutokufungwa? Ama Ihefu watavunja mwiko?

Tuungane pamoja katika huu uzi...

Kikosi cha wenyeji, Ihefu SC
Screenshot_20221129-153419.jpg



Kikosi cha wageni, Yanga.
Screenshot_20221129-153335.jpg



UPDATE: MANENO YA MAKOCHA KABLA YA MECHI

"Mechi ya leo inaweza kuwa ni mechi ngumu kuliko watu wanavyofikiria" Cedrick Kaze, Kocha msaidizi wa Yanga.

"Yanga ni timu kubwa, tunaiheshimu" Kocha wa Ihefu.

15:54 Timu zimeshaingia uwanjani.

00' Mpira umeshaanza

02' Ihefu wanafanya shambulizi, Diara anakamata mpira

07' Bangala Gooooooal

13' Mauya anafanya makosa jirani goli, ihefu wanashindwa kutumia nafasi.

15' Yanga wanapata free kick nje kidogo ya penati box. Mchezaji wa Ihefu anapata kadi ya njano.

16' Ihefu wanafanya shambulizi, Diara anakamata mpira.

22' Ihefu wanapoteza nafasi ya wazi kabisa hapa.

35' Ihefu wanapata kona

36' Dickson Job anapata kadi ya njano kwa kucheza rafu.

37' Goooooooaaal Ihefu wanapata goli

45' Half time. Ihefu 1 - 1 Yanga

2 Half Ihefu 1 - 1 Yanga

61' Gooooooooal Ihefu wanapata goli la pili

90' Full time Ihefu 2 - 1 Yanga
 
Utopolo imebebwa hili goli, bangala alikuwa clear offside
Mpira sijabahatika leo kuangalia lakini mechi iliyopita Yanga walikataliwa goli halali kabisa na kuambiwa kuwa ni offside.

Tufikie wakati tukubali tu kuwa Tanzania haina wamuzi makini kama kweli leo Yanga imepata goli ambalo ni la offside.. maana kubebwa habebwi Yanga pekee bali kila timu ikiwepo Simba wamenufaika kwa maamuzi mabovu ya waamuzi.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom