Hili la wahaya kushirikiana mke mbona ndiyo nasikia kwa mara ya kwanza!!

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Wandugu,

Leo nimeipata stori ambayo imeniacha mdomo wazi mpaka napoandika thread hii. Eti enzi zile jamaa wa kihaya akioa mke na bahati mbaya au nzuri akisafiri, wadogo zake wa tumbo moja wakizidiwa ni ruksa kupata huduma kwa shemeji yao bila wasiwasi. Jamaa aliyetumegea hii stori anasema kwamba haka katabia ndiyo kaliwapukuta wahaya wengi sana wakati UKIMWI ulipopiga hodi mkoa wa Kagera. Haya wataalam wa makabila na wahaya original, mnasemaje? Je, kuna ukweli wowote kuhusu suala hili?
 
nahisi umerogwa na mganga wako na una mtamani mke wa kaka/mdogo wako pole sana maana tabia hizi hazipo enzi hizi kabisa
 
Dume la mbegu unafikiria Ngono! yawezekana huna akiri ya kupambanua! issue za kusikia bila kuthibitishwa ni ujinga! mbona UKIMWI umeenea sehemu nyingi ya nchi na wala sehemeu nyingine si wahaya!! Mbeya, Iringa, na kwingineko ukimwi unatisha! ulianzia Ulaya na kule ni wahaya?! wamasai na tabia zao za kusimika mikuki nje ujue ndani anafanya shuguli nao ni wahaya! Ukimwi umewaumbua wengi, watu walidhani wahaya ndo wahuni kumbe kuna zaidi yao wanafanya kimyakimya na sasa wanaangamia! JITAHIDI KUWA MPEMBUZI! otherwise utaonekana mjinga mbele ya wana JF!
 
Kila unachosikia jitahidi kukifanyia utafiti kwanza ku-establish facts kabla hujaweka thread yako humu jamvini. Inawezekana unachosema ni kweli lakini ulipaswa utupatie data angalau kidogo. Anyway, let's wait others to share their opinions.
 
Hivi Makete nako ni kwa wahaya?? Hebu acheni mambo hayo bana wahaya wahaya hamchoki hebu waacheni basi aaakkkk inachosha
 
Banyaishaija na Banyaikazi hebu tushushe munkari kidogo maana naona mada hii inapeperusha presha ya wadau juu hadi 200/120 tutakufa bure tu. Inaelekea mtoa mada kafanya utafiti na ana data zake,hivyo basi tumwombe mtoa mada amwage empirical evidence,atwambie kati ya wahaya kadhaa waliofariki kwa HIV idadi kadhaa waliambukizwa na shemeji zao,atakuwa ametusaidia,vinginevyo tusipasuke vichwa 'no research no right to talk'.
 
Dume la mbegu unafikiria Ngono! yawezekana huna akiri ya kupambanua! issue za kusikia bila kuthibitishwa ni ujinga! mbona UKIMWI umeenea sehemu nyingi ya nchi na wala sehemeu nyingine si wahaya!! Mbeya, Iringa, na kwingineko ukimwi unatisha! ulianzia Ulaya na kule ni wahaya?! wamasai na tabia zao za kusimika mikuki nje ujue ndani anafanya shuguli nao ni wahaya! Ukimwi umewaumbua wengi, watu walidhani wahaya ndo wahuni kumbe kuna zaidi yao wanafanya kimyakimya na sasa wanaangamia! JITAHIDI KUWA MPEMBUZI! otherwise utaonekana mjinga mbele ya wana JF!

mh!!!!!
 
Banyaishaija na Banyaikazi hebu tushushe munkari kidogo maana naona mada hii inapeperusha presha ya wadau juu hadi 200/120 tutakufa bure tu. Inaelekea mtoa mada kafanya utafiti na ana data zake,hivyo basi tumwombe mtoa mada amwage empirical evidence,atwambie kati ya wahaya kadhaa waliofariki kwa HIV idadi kadhaa waliambukizwa na shemeji zao,atakuwa ametusaidia,vinginevyo tusipasuke vichwa 'no research no right to talk'.

Well said hizo familia akiweka idadi yake nitamuelewa lakini kwa sasa sitakubali na wala sikubaliani na hicho kitu mimi hata kumsogelea sijui shemeji sijui nani siwezi watuache wahaya wahaya wahaya haaaa???
 
wewe hujui huyasemayo...hii ilikuwa musoma na wala si uhayani....kwa wahaya ni mwiko tena mkubwa mtu kutembea na shemeji yake.....fanya utafiti kabla ya kuandika... Na wala hili halina uhusiano na suala la Ukimwi.... Pepo mbaya amekuingia tu wewe
 
Hapo sasa unataka kuharibu mdogo mdogo basi
 
Wandugu,

Leo nimeipata stori ambayo imeniacha mdomo wazi mpaka napoandika thread hii. Eti enzi zile jamaa wa kihaya akioa mke na bahati mbaya au nzuri akisafiri, wadogo zake wa tumbo moja wakizidiwa ni ruksa kupata huduma kwa shemeji yao bila wasiwasi. Jamaa aliyetumegea hii stori anasema kwamba haka katabia ndiyo kaliwapukuta wahaya wengi sana wakati UKIMWI ulipopiga hodi mkoa wa Kagera. Haya wataalam wa makabila na wahaya original, mnasemaje? Je, kuna ukweli wowote kuhusu suala hili?
Akanwa kenshoni kalambaza nyinako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom