Hili la wafuasi wa CHADEMA kuchangia mijadala kwa hasira na jazba ni hulka au sera ya chama?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
WanaJF,

Kwa hakika wengi wenu mnaoshiriki mijadala sehemu mbalimbali na humu JF mtakubaliana na mimi kuwa wafuasi wa Chadema wamekuwa na jazba na hasira muda wote na hali hii imesababisha wao kutoa matusi na kejeli kwa mtoa mada badala ya kujenga hoja.

Hali hii haijaanza leo kuna wadau walishawahi kuhoji hii tabia ya jazba takribani miaka zaidi ya mitano iliyopita bila kupata majibu.Rejea hapa chini.https://www.jamiiforums.com/threads/kwanini-pro-chadema-wana-hasira-kila-wakati.576286/page-2

Kwanini Wana-CHADEMA wengi wao Wana jazba?

Je hii ni hulka tu au ni sera ya chama? Nini kifanyike kurekebisha hili?

Tujadili kwa utulivu.
 
FB_IMG_1570952637609.jpg
 
Je, sera ya serikali ya ccm kutopeleka maendeleo kwenye maeneo walipochagua wapinzani wa ccm?
Swali,
" Mheshimiwa, kero yetu kubwa hapa ni uhaba wa maji"

Jibu,
" Kamwambie mmeo, diwani na mbunge wako uliyemchagua"



2181380_tapatalk_1570975358855.jpeg
 
Inategemea mtoa mada anavotafsiri hasira. Mfano jibu km hilo kalitoa kiongozi mkuu wa chama yeye kwake anaona sio hasira.

Kulingana na mtoa mada majibu ya hasira yanatoka tu upinzani. Lakin mimi naona majibu ya hasira na kejeli na matusi zaidi vinatoka kwa viongozi na wanachama wa chama tawala.

Kinachotoka kwa wapinzani na wananchi wasio na vyama ni sauti za kudai haki.
 
Naunga hoja ya mtoa mada utazani wanalipwa au wamechukuliwa wake zao, kama wanaume wenzako unawapigania kiasi hichi inatia shaka hii.

Yaani wamekuwa misukule ya viongozi wao halafu cha ajabu hata kadi ya chama tu hawana. Siasa utakiwi kuichukulia serious kiasi hicho badala yake utashindwa kufanya mambo yako ya msingi ya kuingizia kipato utakuwa mtu wakukesha humu jamiiforum kwaajili ya kuishambulia serikali na kutetea chama unachoshabikia.

Mimi nina uhakika huyu ERYTHROCYTE sijui hata kama ana uchumi mzuri au ni mwajibikaji mzuri akili yake yote imebebwa na uCHADEMA Kila nikiingia humu lazima nikutane na uzi wake au comment, na comment zake zinajulikana.
 
Hoja hujibiwa kwa hoja, CCM uwoga wao nini kama wanayafanya ni bora kwa wananchi,why wame panic kuhusu uandikishaji wa wapiga kura?

Wangekuwa wanafanya mema watu wangefurika kwenye vituo vya kujiandikisha ili kuwapigia kura za ndio. Why CCM hawaamini kuhusu uhuru wa kuwa na tume huru? Yenye watumishi wake kuanzia ngazi ya taifa hadi mitaani.

Wao wanaruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa ili kuuza sera zao ila hawa so called upinzani hadi mikutano ya ndani ni shida, au wewe middle class hulioni hili?

Our no 1 anapotukana kwenye majukwaa kwa eneo linaloongozwa na mtu wa upande wa pili wewe middle class wangu hulioni hili.

Tuendelee kujigawa now tupo kwenye hatua hata ya kuzikana imeshaanza kuwa ya kiitikadi,watu wameshaanza kuwa na hasira na matokeo yake tumeshaanza kutengeneza taifa lenye hasira na visasi.

Siku ambayo middle class watatoa vichwa vyao kutoka mchangani na kuona nini kinafanyika on ground ndio siku ambayo mkombozi TIME ataamua.
 
Naunga hoja ya mtoa mada utazani wanalipwa au wamechukuliwa wake zao Kama wanaume wenzako unawapigania kiasi hichi inatia Shaka hii.Yaani wamekuwa misukule ya viongozi wao alafu Cha ajabu hata kadi ya chama tu hawana.siasa utakiwi kuichukulia serious kiasi hicho badala yake utashindwa kufanya mambo yako ya msingi ya kuingizia kipato utakuwa mtu wakukesha humu jamiiforum kwaajili ya kuishambulia serikali na kutetea chama unachoshabikia.Me Nina uhakika huyu ERYTHROCYTE sijui hata Kama ana uchumi mzuri au ni mwajibikaji mzuri akili yake yote imebebwa na uchadema Kila nikiingia humu lazima nikutane na uzi wake au comment na comment zake zinajulikana.
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
 
Kweli kabisa, hata mimi nilipokuwa chadema nilikuwa mtu wa shari Sana

To every situation there is spiritual inspiration behind.
Misingi ya wanzilishi waliachilia uvuvio wa chuki na hasira kama tabia yakuwasaidia kueneza sera zao.
 
Huko nyuma walikuwa kama kondoo.

Viongozi wao wanauwawa akina mawazo na wengine hawakusema neno waliongea na kulalamika kwa maneno ya kirafiki.

Kama ilivyo ukuaji wa mwili, ukuaji wao pia ni process wanatoka kwenye ukondoo kuja kwenye uhalisia.

Nadhani hata wakwapua fomu, na warusha mawe kwenye misafara yao uliona baadhi walivyodhibitiwa.
 
Naunga hoja ya mtoa mada utazani wanalipwa au wamechukuliwa wake zao Kama wanaume wenzako unawapigania kiasi hichi inatia Shaka hii.Yaani wamekuwa misukule ya viongozi wao alafu Cha ajabu hata kadi ya chama tu hawana.siasa utakiwi kuichukulia serious kiasi hicho badala yake utashindwa kufanya mambo yako ya msingi ya kuingizia kipato utakuwa mtu wakukesha humu jamiiforum kwaajili ya kuishambulia serikali na kutetea chama unachoshabikia.Me Nina uhakika huyu ERYTHROCYTE sijui hata Kama ana uchumi mzuri au ni mwajibikaji mzuri akili yake yote imebebwa na uchadema Kila nikiingia humu lazima nikutane na uzi wake au comment na comment zake zinajulikana.
Kumbe sio wanachama wa vyama vya upinzani bali ni wananchi tu walioichoka CCM!
 
Kweli kabisa, hata mm nilipokuwa cdm nilikuwa mtu wa shari Sana,
To every situation there is spiritual inspiration behind.
Misingi ya wanzilishi waliachilia uvuvio wa chuki na hasira kama tabia yakuwasaidia kueneza sera zao.
Hebu weka uzi kama reference ya wewe ulikuwa mwanachama wa chama chochote cha upinzani!
 
Back
Top Bottom