Hili la Wachaga kutoajiriwa Serikalini na Taasisi za Umma awamu ya tano, Mbowe anadanganya umma?

Status
Not open for further replies.
JPM analindwa na BARAKA za watu wengi sana tena sana and it's world wide, hio laana yako haina mashiko.

By the way Nenda youtube angalia kampeni zake huko kwa wachagga 2020 hio chuki unayomtengenezea haina njia ya kupenya
Mjaa Laana makubwa yule baraka apewe na nani.
Ametesa na kuua watanzania, Mwendawazimu yule.
 
Mtoa mada, ni vizuri ukaweka ushahidi wa wachaga walioajiriwa ili tuamini ni kweli Mbowe anadanganya umma.
Ushahidi autoe wapi kenge la kijani hilo.

Ipo wazi Mwendawazimu aliwachukia na kuwatenga Wachaga tena sana .
Na alifadhili kampeni iliongongozwa na BASHITE aliejiita mkuu wa Wakuu waMikoa yote
 
Rais akiendelea kuchukulia poa upinzani wa namna hii, tutakuja kuvuna tunachokitaka. Hakuna kitu kibaya kama ukabila na udini, kiongozi wa kisiasa anapoanza mada za ukabila sijui malengo yake ni nini?
Hivi kuna wanyakyusa wangapi hawakuzjiriwa kipindi cha awamu ya tano? Wakinga, wabena, wanyamwanga nk... Mbona tunatafuta mada za kipuuzi. Serikali imuangalie huyu Mbowe vizuri.. uhuru una mipaka

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Ilikua tetesi Sasa ni Rasmi kwamba Agenda kuu ya Chadema ni kutetea maslahi ya wachaga.
 
WACHAGGA hawataki ajira, wao wapo kibiashara na ndio maana huwa hawana muda na mambo ya autumishi .
Kwahiyo Mbowe analalamika nini ?

Hizo biashara mtakuwa mnauziana wachagga kwa wachagga?

Chukulieni hili jambo ni lazima, watanzania ni waongeaji sana lakini kuna mambo ni wakimya ila wanaona.

Endeleeni kupalilia huu uchagga
 
Wewe unanuka kisusio na mbege. Ukishiba unawaza kuiba tu
Hilo lipo wazi wachaga wengi Japo si wote Wana asili ya uwizi wakiwa ktk Taasisi za umma, tribalism sehemu za kazi na kuwekana Kabla ya ajira zote kuingizwa utumishi,Wachaga wengi ni wakwepa kodi kwa kutumia ndugu zao waliopo TRA,TPA n.k

Wachaga wengi wanapenda biashara haramu kuanzia bangi,mirungi,mali za wizi,ujambazi,kuua (cc wanawake wa kimachame) na hata DHULMA.
Hili lipo miaka nenda rudi
 
Nasema kwa dhati kabisa naomba iwe ni uongo kuwa ulisema wachaga wasipate ajira kwenye taasisi yoyote ya umma.

Kama uliwahi kusema hivyo nakuhakikishia hutopumzika kamwe. Dhambi hii itaitafuna jamii yako iliyobakia. Nasema jamii yako itatafunika sana aslani...
Damu za watu zinamtafuna huko aliko
 
Lete takwimu wewe kenge wa kijani, unakimbiza makalio unapeleka wapi.
Ushahidi huu hapa ajira za serikali 2020.
===
===
Kwenye orodha ya walimu walioajiriwa, kupitia pdf iliyo kwenye link hapo juu kuna ushahidi wachagga walioajiriwa na serikali ya awamu ya tano. Ukisearch jina la Massawe (mchagga) unakuta kuna wachagga kumi na tano wameajiriwa. Ukisearch jina la Mushi(Mchagga) unakuta walimu 26 wameajiriwa. Kimaro (12), Silayo (9), na Minja (4). Hizi ni surnames chache za watanzania wenzetu wanaoishi mkoa wa Kilimanjaro. Na ninyi mwaweza kutumia surnames nyingine kubaini hili. Hii ni kwa upande wa ajila za ualimu, hatujaingia kwenye ajira zenye uhakika wa masurufu ya maana ambapo utawakuta watanzania wenzetu hawa huko ambazo zilitolewa serikali.

Kwa hiyo, ni upofu wa mawazo wa Mtanzania mwenzetu Freeman Mbowe kuibuka na tuhuma za kizushi kama hizi. Asamehewe tu!
 
Ana wafuasi wake hao huwaambii kitu, hata akiwaomba taako wanampa.
Kwenye utawala wa magufuli kimei amestaafu na kwenda kwenye siasa akapitishwa namwenyekiti wa chama huyu huyu magufuli akashinda, na sasa ni mbunge.

Lakini nyumbu na mchungaji wao, wanapandana tu.
Alafu wao wanataka sisi tujiajiri kwa kipi?
 
JPM analindwa na BARAKA za watu wengi sana tena sana and it's world wide, hio laana yako haina mashiko.

By the way Nenda youtube angalia kampeni zake huko kwa wachagga 2020 hio chuki unayomtengenezea haina njia ya kupenya
🙏🙏🙏
 
Nilishawambia hicho ni chama cha kuwatete wachagga Tanzania ..sio chama cha kisiasa hicho..hata wanaharakati wengi wa hichi chama ni wachagga..wanaukabila wa kishamba sana
Naanza kuelewa elewa kidogo,hawa jamaa mimi nawakubali kwa hustle zao za maisha,ila siwakubali kwa kupenda sana kuwekana madarakani kiupendeleo,hii inaleta picha kwamba kiongozi mkubwa kama Raisi akitokea kwao inawezakana ikawa ndio anguko kamili la nchi hii,kwani watajirasimilishia kila
 
Nasema kwa dhati kabisa naomba iwe ni uongo kuwa ulisema wachaga wasipate ajira kwenye taasisi yoyote ya umma.

Kama uliwahi kusema hivyo nakuhakikishia hutopumzika kamwe. Dhambi hii itaitafuna jamii yako iliyobakia. Nasema jamii yako itatafunika sana aslani....
Kumpa mchaga huongozi ni sawa nakuuza nchi nyinyi hamuaminiki ata kidogo, pili nyinyi ni wa binafsi sana tatu mnatabia yakuwekana wekana sana yaan undugunization.
 
Sio mkaskazini?
Utakua imekula maharage ya mbeya sio bite. Allegations zako ni uchagga vs wengine Sasa baada ya kuvimbiwa unasema kaskazini na kusema mama Mghwira ni mtu wa Kaskazini.

Ukila maharage ya mbeya lazima utoe gas ya sulphur dioxide (aka rotten eggs smell)
 
Duuh, sasa kama Mpare wachagga mnawachukulia Chasaka, makabila mengine si ndio mnayaona takataka kabisa?
Mjita hawezi kuwa mngoreme au mzanaki. Hivyo hivyo mchaga ni kabila na mpare ni kabila hata Kama wanaishi mkoa mmoja. Tuheshimu Hilo.

Maswala ya utani wa jadi utabikia palepale
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom