Vijana kujibizana bila staha na wazee wastaafu ni aibu kwa Taifa letu

Wanajimwambafai mkuu. Wakikua wataacha
"Kinyungu, ama kweli-Leo nimeona clip moja Hapi Mh. RC wa Iringa anajibizana na JK na anamwambia ati awaachie Tanzania yao! Hapi!
Wasifu
Bw Ally Salum Hapi
Mkuu wa Mkoa
Work in progress......

Jakaya Mrisho Kikwete
4th President of Tanzania
In office
21 December 2005 – 5 November 2015
Vice PresidentAli M. Shein (2005–10)
Mr. Mohamed Bilal (2010–15)
Prime MinisterEdward Lowassa (2005–08)
Mr. Mizengo Pinda (2008–15)
Preceded byBenjamin William Mkapa
Succeeded byJohn Magufuli
6th Chairperson of the African Union
In office
31 January 2008 – 2 February 2009
Preceded byJohn Kufuor
Succeeded byMuammar al-Gaddafi
11th Minister of Foreign Affairs
In office
27 November 1995 – 21 December 2005
Preceded byJoseph Rwegasira
Succeeded byAsha-Rose Migiro
7th Minister of Finance
In office
7 August 1994 – 2 November 1995
Preceded byKighoma Malima
Succeeded byMr. Simon Mbilinyi
Member of Parliament
for Chalinze
In office
26 November 1995 – 20 January 2005
Succeeded byRamadhani Maneno
Personal details
Born7 October 1951 (age 68)
Msoga, Tanganyika
NationalityTanzanian
Political partyCCM (1977–present)
TANU (before 1977)
Spouse(s)Salma Kikwete (m. 1989)
ChildrenEight
ResidenceMsoga, The United Republic Of Tanzania
Alma materThe University of Dar es Salaam
Tanzania Military Academy
ProfessionEconomist
Twitter handlejmkikwete
Military service
AllegianceUnited Rep. of Tanzania
Branch/serviceTanzanian Army
RankLieutenant Colonel
 
Unashangaa kujibizana? Mkuu wa mkoa alimchapa kibao mzee warioba na amepata madaraka makubwa sana, inaelekea wazee wamejisahau kwenda na KASI YA AWAMU YA TANO.
 
Unashangaa kujibizana? Mkuu wa mkoa alimchapa kibao mzee warioba na amepata madaraka makubwa sana, inaelekea wazee wamejisahau kwenda na KASI YA AWAMU YA TANO.
Hilo la kibao ni habari za kutunga halina ukweli wowote.

Tabia ile ile ya kukuza habari za kutunga.
 
Unashangaa kujibizana? Mkuu wa mkoa alimchapa kibao mzee warioba na amepata madaraka makubwa sana, inaelekea wazee wamejisahau kwenda na KASI YA AWAMU YA TANO.

Ile laana ya kumchapa vibao Warioba itawalamba Makonda na wote waliomtuma; Sitta ameishatangulia mbele ya haki , lakini hawa wengine waliobaki ndio hizo laana zinawatafuna mpaka wote waishe!!!
 
Baba yao ndio mwenye kustahili lawama. Kama yeye anawaheshimu walio muwezesha kumpa ofisi basi alipaswa kuwatandika wanae anaowateua wasipokuwa na adabu!
Sasa kunyamaza kwake hiyo mitoto nunda inajua anawaunga mkono
 
wazee ndo wameyasababisha haya....tuliambiwa kiranja mkuu aliletwa na wazee.
 
"Kinyungu, ama kweli-Leo nimeona clip moja Hapi Mh. RC wa Iringa anajibizana na JK na anamwambia ati awaachie Tanzania yao! Hapi!
Wasifu
Bw Ally Salum Hapi
Mkuu wa Mkoa
Work in progress......

Jakaya Mrisho Kikwete
4th President of Tanzania
In office
21 December 2005 – 5 November 2015
Vice PresidentAli M. Shein (2005–10)
Mr. Mohamed Bilal (2010–15)
Prime MinisterEdward Lowassa (2005–08)
Mr. Mizengo Pinda (2008–15)
Preceded byBenjamin William Mkapa
Succeeded byJohn Magufuli
6th Chairperson of the African Union
In office
31 January 2008 – 2 February 2009
Preceded byJohn Kufuor
Succeeded byMuammar al-Gaddafi
11th Minister of Foreign Affairs
In office
27 November 1995 – 21 December 2005
Preceded byJoseph Rwegasira
Succeeded byAsha-Rose Migiro
7th Minister of Finance
In office
7 August 1994 – 2 November 1995
Preceded byKighoma Malima
Succeeded byMr. Simon Mbilinyi
Member of Parliament
for Chalinze
In office
26 November 1995 – 20 January 2005
Succeeded byRamadhani Maneno
Personal details
Born7 October 1951 (age 68)
Msoga, Tanganyika
NationalityTanzanian
Political partyCCM (1977–present)
TANU (before 1977)
Spouse(s)Salma Kikwete (m. 1989)
ChildrenEight
ResidenceMsoga, The United Republic Of Tanzania
Alma materThe University of Dar es Salaam
Tanzania Military Academy
ProfessionEconomist
Twitter handlejmkikwete
Military service
AllegianceUnited Rep. of Tanzania
Branch/serviceTanzanian Army
RankLieutenant Colonel
Yataka moyo
Yajayo yanafikirisha
 
Ni kwamba hufahamu hili au umeamua tu kupinga na kujaribu kumuosha aliyefanya hili tukio?
Huyu jamaa kanywa maji ya bendera ila jina lake la Burundi huenda ni mojawapo ya wale wakimbizi wa Burundi wamepewa Uraia analipa fadhila
 
Kama Baba anatukana tena natangaza "wakati mwingne Kabudi namwita mpumbavu" je watoto watashindwa kifuata nyayo za Baba?.
 
Huyu jamaa kanywa maji ya bendera ila jina lake la Burundi huenda ni mojawapo ya wale wakimbizi wa Burundi wamepewa Uraia analipa fadhila
Ndo ujinga wa kuja mjini uzeeni unajikuta umepitwa na mambo kibao..asitukumbushe mzee wetu alivyokula makofi ya mgongo mwaka ule
 
Back
Top Bottom