Hili la Ulaya (EU) kuwa na waziri mmoja wa fedha limekaaje? EAC tujitathmini!

Cicero

JF-Expert Member
Jan 20, 2016
2,924
3,072
This is integration done right.
Kwanza walianza na "WAZIRI WA MAMBO YA NJE" (The High Representative of the Union for Foreign Affairs and Security Policy) na sasa nasikia Rais Mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron ameunga mkono pendekezo la kuundwa "WIZARA YA FEDHA YA NCHI ZA ULAYA". Waziri huyo atakuwa mwenyekiti wa baraza la mawaziri wa fedha wa EU na atakuwa na hazina yake anayoisimamia. Madeni yote ya nchi za Ulaya yatahesabiwa kuwa ni deni moja la EU (the eurozone).
Nikikaa na kuiangalia EAC yetu napata shida sana. Bado hatuna sera moja ya mambo ya nje, hatuna sera moja ya ulinzi na usalama, soko la pamoja ndio hilo tunaungaunga tu mara huyu azuie kile alafu tunaukimbilia umoja wa fedha na kuwa na benki kuu ya Afrika Mashariki. Kwa nini waafrika huwa hatuwezi kufanya kitu chochote kwa usahihi?

The European Commission put forward proposals on further euro zone integration on Wednesday as a response to the rising populist sentiment across the union.

The EU's executive body resurfaced previous proposals for a common finance minister and a new bond market to manage debt, which bundles national debts into one asset. However, such proposals, if successful, would only be fully in place by 2025, the commission's paper said.

Valdis Dombrovskis, vice-president of the European Commission, said that the EU should not wait for another crisis to deepen economic and monetary policies to strengthen the resilience of the euro area.

"We need to move forward now," Dombrovskis told reporters on Wednesday.

According to the European Commission, a fully integrated economic and monetary union would need a Treasury led by a EU finance minister, who could chair the meetings of the euro zone finance ministers – currently known as the Eurogroup.
 
EU haiwezi ungana na kuwa kitu kimoja. Historia unahukumu hilo.
Yaani German uweze kuipika chungu kimoja na France sidhani kws kweli.
 
EAC ingeweza kushirikiana kwenye maswala ya ulinzi na biashara.Kwingine bado sana.
 
EU haiwezi ungana na kuwa kitu kimoja. Historia unahukumu hilo.
Yaani German uweze kuipika chungu kimoja na France sidhani kws kweli.
Mwenyewe nilidhani hivyo ila ndio wanakoelekea huko tena kwa kasi ya ajabu sana.
Uingereza ndo ilikuwa mwiba ila sasa umeondolewa.
Nasikia kuna mpango hadi wa kuunda command center moja ya majeshi UK ndo walikuwa wanaukwamisha lakini sasa hawapo tena kwenye maamuzi ya EU.
Waache bwana wazungu watupe somo jinsi ya kuunganisha nchi huru. Sisi we always learn we never invent au discover.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
This is integration done right.
Kwanza walianza na "WAZIRI WA MAMBO YA NJE" (The High Representative of the Union for Foreign Affairs and Security Policy) na sasa nasikia Rais Mpya wa Ufaransa Emmanuel Macron ameunga mkono pendekezo la kuundwa "WIZARA YA FEDHA YA NCHI ZA ULAYA". Waziri huyo atakuwa mwenyekiti wa baraza la mawaziri wa fedha wa EU na atakuwa na hazina yake anayoisimamia. Madeni yote ya nchi za Ulaya yatahesabiwa kuwa ni deni moja la EU (the eurozone).
Nikikaa na kuiangalia EAC yetu napata shida sana. Bado hatuna sera moja ya mambo ya nje, hatuna sera moja ya ulinzi na usalama, soko la pamoja ndio hilo tunaungaunga tu mara huyu azuie kile alafu tunaukimbilia umoja wa fedha na kuwa na benki kuu ya Afrika Mashariki. Kwa nini waafrika huwa hatuwezi kufanya kitu chochote kwa usahihi?
Mkuu huwa unapigia sana Debe Suala la EAC, which is a good thing indeed.
Lakini kwa sasa nchi hizi zina kasoro nyingi ndani yake na wala usijifananishe na ule Ukanda wa Jumiiya ya Ulaya. Nadhani ni vema kujikita kwenye hizi kasoro kwanza, halafu mambo Mazuri ya EAC yatafuata.
Tuendelee kuwapa elimu watoto wetu mashuleni na majumbani mwetu umuhimu wa Muungano,
Tumeshajaribu tukashindwa, Inafikia wakati tunakiuka hata makubaliano tuliyojiwekea kwa Faida zetu wenyewe. Let us Mature first.
 
Asante mkuu.
Na wala sitoacha kupiga debe kwa sababu naamini kwamba nchi za Afrika haziwezi kufika mbali endapo zitabaki vinchi vidogovidogo.
Ifike mahali tuangalie mbele na tuwe na maono ya kutawala dunia khaaa!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama hii post itakuwa exclusively held by a Kenyan, it is not such a bad idea.

Just sayin...
 
EU haiwezi ungana na kuwa kitu kimoja. Historia unahukumu hilo.
Yaani German uweze kuipika chungu kimoja na France sidhani kws kweli.
Hamna marafiki wakubwa ulaya kama hizo nchi mbili

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Kama hii post itakuwa exclusively held by a Kenyan, it is not such a bad idea.

Just sayin...
Hahaha because Kenyans mna nini cha ziada labda?
Hapo nahisi you would go further and say iwe exclusively held by a Kikuyu.
Dhambi ya ubaguzi haijawahi acha mtu salama!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu.
Na wala sitoacha kupiga debe kwa sababu naamini kwamba nchi za Afrika haziwezi kufika mbali endapo zitabaki vinchi vidogovidogo.
Ifike mahali tuangalie mbele na tuwe na maono ya kutawala dunia khaaa!

Post sent using JamiiForums mobile app
Shukrani Mkuu, unaona mbali sana.
 
Hahaha because Kenyans mna nini cha ziada labda?
Hapo nahisi you would go further and say iwe exclusively held by a Kikuyu.
Dhambi ya ubaguzi haijawahi acha mtu salama!

Post sent using JamiiForums mobile app

Hata awe mkikuyu...maamuzi ya mambo ya fedha na uchumi wa taifa letu kamwe hatuwezi kubali isimamiwe na outsider. Ati a Ugandan or Tanzanian kutuamulia mambo kama haya?

Hainingii akilini hili. No way!
 
Sasa kweli huyu waziri atakuwa anafanya maamuzi for the benefit of the region ama itakuwa ni kila muamba ngoma kuvutia kwake?

Si atakuwa akifanya maamuzi yake kwa shinikizo ya mahitaji ya nchi yake, serikali ya nchi yake itakuwa ikimuekea pressure ati afanye maamuzi au kutekeleza sera zinazopendelea nchi atokako?

Mfano, kama waziri huyo angekuwa mtanzania, bila shaka sera zake zingehusiana na sera za kifedha ya Magufuli lakini sio matakwa ya Uhuru ama M7 ama Kagame. Hiyo sera ikifeli, sote tutakuwa taabani.

Bad idea.

Now, kama hiyo post itakuwa tu ya wakenya, haijalishi hata kama ni mkikuyu- bora tu mkenya...hapo sawa!
 
Hata awe mkikuyu...maamuzi ya mambo ya fedha na uchumi wa taifa letu kamwe hatuwezi kubali isimamiwe na outsider. Ati a Ugandan or Tanzanian kutuamulia mambo kama haya?

Hainingii akilini hili. No way!

Kumbe federation mnayotaka na common visa lazima iwe chini ya mkenya? Now I can see
 
Hata awe mkikuyu...maamuzi ya mambo ya fedha na uchumi wa taifa letu kamwe hatuwezi kubali isimamiwe na outsider. Ati a Ugandan or Tanzanian kutuamulia mambo kama haya?

Hainingii akilini hili. No way!
You Kenyans and your funny attitudes ndio mliua EAC ya kwanza na ndio mtakaoua hii ya pili.
Waziri hatakuwa independent kwenye maamuzi yake umeambiwa atakuwa mwenyekiti wa baraza la mawaziri. I'm sure atakuwa under the direction of mawaziri wa fedha wa nchi wanachama

Post sent using JamiiForums mobile app
 
You Kenyans and your funny attitudes ndio mliua EAC ya kwanza na ndio mtakaoua hii ya pili.
Waziri hatakuwa independent kwenye maamuzi yake umeambiwa atakuwa mwenyekiti wa baraza la mawaziri. I'm sure atakuwa under the direction of mawaziri wa fedha wa nchi wanachama

Post sent using JamiiForums mobile app

History has laid bare the factors that led to the collapse of the EAC1, we are in 2017, u still unashamedly parrot the same old propaganda of the then Tz Ujamaa govt that it was Kenya that destroyed that union.
Why Kenya? There was Idi Amin, there was the incompatibility of the political policies of Kenya and Tanzania, there was the unequal pace of development btwn the member countries.

Na hiyo ya kuwa na waziri moja for the whole East Africa.....hapana.
I do not think that is practicable and necessary at this point in time- when we still disagree on petty issues issues like taxation or visas and immigration.
There are the internal political challenges, aspirations and policies in each member country which are markedly diffrent from those of the other members....etc etc etc.

We still have have a lot of issues we still need to iron out; in other words, we still have a very long way to go to start operating as a true federation.
 
Back
Top Bottom