Kati ya kero zinazonisumbua au majors majipu katika nchi hii yetu ni hawa jamaa wanaodai wanaweza kusupply umeme na uwezo huo hawana (TANESCO).Kwa sasa naona hadi kero kuwasikia wakitajwa,mda huu naandika hii sms wao hawapo hewani na kusababisha vitoto vya watu kulia sababu joto,yaani maeneo ya huku Chanika mpaka Gongolamboto siku hizi mnakata umeme kwa siku hata mara 9 au 10,visingizio mnavyotoa siku nenda siku rudi ni kutoa mitambo ya zamani,kuunganisha gasi n.k.
Hivi zama hizi za Magufuli za ukweli na uwazi hata aibu hamuoni kwanini msiseme kuna mgao au declare mmeshindwa kazi tujue moja,au kama mnakata tujue kuanzia mda huu hadi mda huu lakini ninyi mnakata from morning to midnight sijui maeneo mengine hapa Dar labda kuna afadhari,lakini huku kwa sasa wametimiza zaidi ya mwezi kwa mtindo huu wanaoufanya na kuwasababishia watumuaji hasara kwa kuunguza vitu vyao, nani atavilipa?
Raisi JPM NA WAZIRI SM hili linakera sana jamani jipu hili mbona hata usaa halitaki kuweka tujue labda limeiva?
TANESCO YOUR SO BORED MBADILIKE