Hili la Serikali Kuomba Lisu afutiwe dhamana linalenga kuhalalisha uovu wa kumtesa Mbowe?

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
2,000
Dunia lazima itambue na Wadanganyika lazima waamke usingizini itoshe huu umbumbumbu wetu.

Nimefanya tafakuri kidogo juu ya ile Cenema iliyochezwa na Serikali pale mahakamani ili kuiaminisha dunia kwamba haingilii muhimili wa mahakama nikaishia kuihurumia Tanzania.....Swali! Wanafanya hivi kwa lengo gani? Kwanini wanatumia nguvu kuutafuta wema?

Serikali iliamua kabisa kwa makusudi kutengeneza picha huku ikifahamu wazi kwamba, italaumiwa upande mmoja lakini itajisafisha upande mwingine....... Swali lingine! Wanafanya haya kwa kumuhofia Lisu au kwa kuhofia kile alichokisema Duniani?? Na kama ndivyo ina maana na wao ziara za lisu huko wanapopaogopa kwenda ZINAWATOA JASHO JAPO HAWASEMI HADHARANI.....

TAHADHARI......WAKUBWA TAMBUENI KWAMBA DUNIA YA SASA SI ILE YA ZIDUMU FIKRA ZA MTUKUFU STON....KATIKA 100 WATAKAO WASHINGILIA MNAPOFANYA MAZINGAOMBWE.......MMOJA MWEREVU ATAWAPINGA NA WALE WAJINGA WATAKAPOGUNDUA umuhimu wa upinzani wa mwerevu, wataungana naye!!!!!!!!!!!HAPO MTALIA NA KUSAGA MENO....

HITIMISHO: PUMZIKA KWA AMANI RUGE......MAIGIZO NI MENGI.....PROFESA J ALIIMBA AKASEMA,,,,,WANATANGAZA AMANI HUKU NYUMA "WAMEFICHA MAPANGA" MUNGU NDO ANAJUA......LISU KAPIGWAJE RISASI.....NA RUGE KAFAKAFAJE WAKATI ALISHAJIANDAA NA TAMASHA LA FIESTA.....Mwanzo Madactari walisema ni Uchovu tu wa kaxi Nyingi. R.I.P. Kama kuna haki yako Mungu ataipigania
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
80,188

Tumeonya mara nyingi kwamba shetani hana rafiki .
 
Fedor von Bock

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
2,238

Vincent Laswai wa Kibo Palace na Trast Bureau de changes yuko matatani? - JamiiForums
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,385
2,000
Walilenga kunyutrolaizi athari za Mbowe kuwekwa ndani mpaka leo ili waseme "mahakama iliyomlindia Lissu dhamana yake ndiyo hiyohiyo iliyomuadhibu Mbowe kwa kuvunja dhamana yake"
 
BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,051
2,000
Nadhani kwa matendo yanayofanywa na utawala huu, wanatamani ikiwezekana wapinzani wote wafe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom