Hili la Raisi kuingilia muswada wa habari linahitaji mjadala, hatavunja katiba?

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Sote tunajua ya kuwa Muswada wa sharia ya habari umewasilishwa bungeni kwa mara ya pili na waziri wa habari, ndugu Nape Nnauye.

Kumekuwa na tuhuma kuwa raisi anaingilia Bunge, yeye amekuwa hapendi ushauri wa wengine wakiwamo wabunge. Ikumbukwe kuwa kamati ya bunge ya huduma za jamii chini ya Mwenyekiti wake ndugu Peter Serukamba ilikwisha fanya kazi yake ya kupitia mapendekezo kuwezesha muswada kujadiliwa bungeni.

Sasa kwa hili jambo, raisi akiingilia haitakuwa ameingilia bunge?

Karibuni kwa maoni yenu.
 
Back
Top Bottom