Hili la polisi kuharibu mali za chadema limekaaje limekaaje (angalia video hii) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili la polisi kuharibu mali za chadema limekaaje limekaaje (angalia video hii)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by samirnasri, Jan 6, 2011.

 1. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jana moto uliwaka mjini arusha baada ya polisi kuvamia maandamano ya chadema na kutumia nguvu katika kuzuia maandamano hayo. Kilicho nishangaza ni kitendo cha polisi kupiga hadi watu waliokua wakiendesha magari na kuvunja vioo vya magari hayo. Nilikua sifahamu kama mtu anaweza kuandamana akiwa anaendesha gari mimi nilifikiri jamaa huyo alikua akijaribu kujiokoa kwa kuondoka eneo la vurugu lakini gari hilo liliambulia kipigo kutoka kwa polisi. Hebe cheki picha hiyo ujionee mwenyewe na jinsi mke wa dr slaa alivyodhalilishwa. [video]vurugu-arusha[/video]
   
 2. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  dead link
   
 3. Tekelinalokujia

  Tekelinalokujia JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wapi?
   
 4. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ulimbukeni wa polisi na shule ndogo.
   
Loading...