Hili la ongezeko la umeme ni wapi wanasiasa wanaipeleka nchi yetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili la ongezeko la umeme ni wapi wanasiasa wanaipeleka nchi yetu?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by poet, Jan 4, 2011.

 1. p

  poet Member

  #1
  Jan 4, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tamko la shirika la umeme nchini kuongeza gharama za umeme kwa asilimia 18 lililopigiliwa msumari na Rais wetu wakati wa hotuba yake ya kuuga mwaka ni pigo kubwa kwa wananchi na hasa wale wa chini( last consumer). ikiwa miongoni mwa malengo ya serikali ni kuhakikisha kuwa wananchi wengi wanafikiwa na huduma ya umeme at the same time wanapandisha gharama za umeme sijui ni planns zipi wanazotumia kufikia hayo malengo yao.
  Vipi na ongezeko la bei za bidhaa kutokana na kupanda kwa gharama za umeme? je viwanda vitakubali kupata hasara au mzigo atabebeshwa mtumiaji bidhaa wa mwisho?
  Je maisha bora kwa kila mtanzania yatafikiwa ikiwa kuna hatari ya inflation rate kuongezeka? Naomba mnisaidie ufanunuzi labda ni hofu yangu ya wapi tunakoelekea.
   
 2. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Umeme juu, gas juu, mafuta juu na nauli juu mwaka huu ni mgumu mno kwa watanzania wajiandae na kupanda kwa bei za vyakula tutajuta kuijua serikali ya CCM chini ya JK
   
 3. KUNANI PALE TGA

  KUNANI PALE TGA Senior Member

  #3
  Jan 4, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  haya mkuu,na leo bei za internet pia zishapanda,despite of having the so called fibre optic cable.duniani bei za vitu hivi vinashuka due to ukuaji wa technology,lakini kwetu sisi tunaelekea zama za mawe.soon utaona watu wakitengeneza moto kwa kutumia nyasi na vijiti.take my words.kuna nchi the whole year hulipi zaidi ya dola 50 kwa unlimited internet,na umeme hauzidi elfu 30 ya kitanzania hapo umetumia ac na majiko ya umeme.but only this can happen in the land of wonders called tanzania.
   
Loading...