Hili la mwanamke kubeba jeneza ndo mila za Kiafrika au usasa?

Mbona hata askari wa kike akifariki ana bebwa na askari wenzie wa kike wa cheo chake
53b379f6-9ae8-4c37-8174-9c9d46c742eb-jpg.437265
Kwahiyo Mzee Ndesapesa alikua wa kike?
 
Tuache kujitoa ufahamu ni lini kwenye familia zetu jeneza lilibebwa na wanawake


Acha kukariri maisha huenda weew ni ile dini hata wanawake hawaangalii maiti hata kwenda makaburini. KUna mama mmoja nurse alikufa waliobeba maiti ni manurse wenzake........... vile vile askari wa kike akifariki hufanya hivyo mwanakwaya pia sasa cha ajabu kipi?
 
Back
Top Bottom