Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili la Mnyika kwa Mwigulu ni bora niliamua kuacha siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Avanti, Jul 12, 2012.

 1. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Tanzania yetu inavyoenda ni fedheha sana kuitwa fisadi ama kuhusishwa katika tuhuma za ufisadi ambazo hukufanya. Ukweli Mwigulu akiwa kama mbunge wa jimbo langu ambaye sikumpigia kura sikuwa na sababu kubwa sana ya kuvutiwa naye kama ilivyo kwa Mnyika ambaye nilimpigia kura hapa Dar kwa sababu ya mimi kuwepo hapa kama mpiga kura. Ikumbukwe kuwa mimi na MwanaCCM ila nilimpigia Mnyika kura. Kilichonikera ambacho kinanifanya nirudie msimamo ambao tayari nimeuweka wa kutompigia tena kura Mnyika ni pale aliporopoka tuhuma kuhusu Mwigulu. Ninamfahamu Mwigulu pamoja na kutovutiwa naye ila ni ukweli dhahiri hakuhusika na ufisadi wa EPA. Nimejichukulia kama siku hiyo mimi ndiyo ningekuwa Mwigulu, kwanza ningesimama na kumjibu Mnyika kwa kumtusi kwa hasira ambazo ningekuwa nazo. Mpaka sasa nafikiri ningeshatwangana naye kabisa. Kuna wakati street justice ni suluhu. Ila bahati iliyopo mimi sio Mwigulu.

  Avanti.
   
 2. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jihadhari sana unavyomtetea Nchemba, na kama umeoa ndo kabisaa,jamaa hatari yule,labda kama mlikuwa nae BOT tutakuelewa!
   
 3. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kutohusika ama kuhusika kwa Nchemba EPA ukweli ano yeye moyoni mwake na sio mwingine yeyote.Naamini mnyika hakukurupuka Nchemba kama hakuhusika kwa nini anababaika kila siku?si asubiri mchakato uishe na ijulikane nani mkweli! nimetahadhalisha mapema yakikukuta,usije jamvini kuomba huruma!
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  nashukuru mi sio mkazi wa sehemu aliyetokea huyo nchemba kwa sababu huyu jamaa ni selfish and attention seeker badala ya kutumia mda wake kuwawakilisha wananchi wake bungeni yeye anatumia mda kugombana na wabunge wa upinzani..kama hana hoja awe anatulizana
   
 5. k

  kygrykos Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 6. Mwigulu Nchemba

  Mwigulu Nchemba Verified User

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 323
  Likes Received: 756
  Trophy Points: 180
  Avanti nakushukuru sana. Kina Thomso wanaosubiri kupapasa ndio waone mh mnyika alikurupuka ngoja kamati ikae. You people you limiting you thinking capacity bila umhimu ama kwa kutokuijua BOT au kwa kutokujua mwanafunzi wa chuo ni nani nchini. Mwanachuo kuiba BOT? SIWAELEWI. HIVI MNDANGANYA MPAKA NAFSI ZENU? ETI NAHANGAIKA! I NEED TO SET A AN EXAMPLE WATU WAACHE KUTUHUMU KILA MTU.
   
 7. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,933
  Likes Received: 670
  Trophy Points: 280
  ha haaa haaa .... yaani umewafanya wana-jf wajinga kama Avanti .... umempa nini Avanti ?

  njaa mbaya sana
   
 8. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mnyika amechemka big tyme biiiigggg tymmmeeee
   
 9. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  kuitumikia CCM unakuwa sehemu ya ufisadi wa CCM.
   
 10. K

  Kapwani JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  at last amepatikana mnyiramba anayeweza kuongea hata kama anayoyaongea hayavutiii...nilikuwa naumia sana kuona kule nitokako wabunge huwa wamekaa kama wamepigwa bumbuazi la moyo ......nalaila kiula ulikuwa una ni boa wewe .....angalau kuna mnyiramba 1 controvesho chini ya jua

  liwalo na liwe
   
 11. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Join Date : 11th July 2012
  Posts : 2
  Rep Power : 0
  Likes Received0
  Likes Given0
   
 12. H

  Honolulu JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 5,654
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Huyo Mwigulu amekutuma umtetee hapa!!? Au unapima upepo? Kama unaona Mwigulu anaonewa kwa nini usiende mahakamani? Povu la nini??
   
 13. t

  tweve JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 696
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  karibu jamii forums bwana mdogo mwigulu
   
 14. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hata umepakaziwa lakini huna mvuto katika siasa na kwa jinsi siasa za nchi zinavyokwenda inawezekana kabisa ulishiriki maana hata JK ukimwambia ataje aliwaruhusu kurudisha fedha hawezi kuwataja.
   
 15. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Mbona umehamaki kuliko kumwaga argument?? Hoja yako iko wapi?...Sasa wewe na Mnyika unayemlaumu mnatofautiana??
   
 16. T

  Tayseer JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Napenda sana kuona hoja dhaifu kama hii kuweza kushuhulikiwa kwa haraka wajua ili kuweza kubaini ni jinsi gani kiti kinatumia nguvu za chama kwa kuwa huko nyuma kuna ushahidi mwingi tuu umesha letwa na kiti mpaka hivi leo kimekalia lakini hili la mnyika nimeona kiti kimekimbia sana kuleta matokeo.

  lakini nini tunajifunza kwenye hili hata kama Mnyika alikuwa amekosea ila kuna haya yafuatayo yapo kwenye bunge hili
  1. pale ukweli unapothibitika basi kiti huwa hakitoi taarifa
  2.kiti kipo chini ya chama fulani na si watanzania
  3.kiti kinatumika vibaya kwa manufaa ya chama na si taifa
   
 17. B

  Blessing JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umetumwa na magamba kusema au una skuli kabisa ebo nipishe wafisadi wakubwa
   
Loading...