GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,518
- 108,793
Je ni kweli huu ni uthibitisho tosha kwamba Kiasili Wanawake hawapendani / hawapatani? Je ni kweli kwamba kila unapoona Wanawake wanagombana sababu zinaweza kuwa nyingi ila iliyo kubwa zaidi huwa ni Kugombea Mwanaume / Bwana? Na je ni kweli kwamba 99.9% ya Watendaji ( Wafanyakazi ) wa Serikalini ni ‘ Washirikina ‘ na kwamba ‘ Ushirikina ‘ ndiyo Kipaumbele hasa katika Idara nyingi za Kiserikali?
Hawa Wanawake wawili Viongozi Mkuu wa Wilaya Bi. Sada Malunde na Mkurugenzi wa Halmashauri Bi. Wende Ng'ahara na aina ya ' Bifu ' lao wanaweza kuwa mfano mzuri na naomba tuanzie Mjadala wetu hapa.
Karibu katika Mjadala.
Nawasilisha.