Hili la Mkuu wa Wilaya wa Biharamuro Bi. Malunde na Mkurugenzi wa Halmashauri Bi. Ng’ahara litufikirishe zaidi ya hapo

uvugizi

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,220
2,000
hao wote unaweza kukuta wana matatizo ya wanaume ... kisaikolojia mwanamke mwenye furaha huwa hachelewi kuolewa na kama ana mume huwa hayupo sana katika migogoro
 

Johnson Fundi

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
978
1,000
Nashauri sana suala la UTEUZI liangaliwe sana. Mfano zamani Wakuu wa wilaya au Wakurugenzi waliokuwa wanateuliwa katika nyadhifa hizi walikuwa wanatoka katika Utumishi wa Umma tena mwenye uzoefu wa si chini ya miaka kumi. Mkurugenzi akiteuliwa anatokana na Wakuu wa Idara katika Halmashauri. Wale wanaojua kabisa Serikali za Mitaa. Wako Wakuu wa Idara ya Elimu, Ardhi, Maendeleo ya Jamii, Maji, Waweka Hazina, Afisa Utamaduni, Afisa Mipango, Afisa Utumishi hawa wanajua Serikali za Mitaa per se na hao ndiyo wangestahili kuteuliwa. Naishauri mamlaka ya uteuzi kuliangalia suala hili ili huku chini kuwe na Watendaji wenye uwezo, waadilifu, uzoefu n.k.
wangekusikiliza tungeenda mbele nusu inchi, TUOMBE MUNGU WAPITE HUMU WACHUKUE USHAURI
 

Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,668
2,000
Je ni kweli huu ni uthibitisho tosha kwamba Kiasili Wanawake hawapendani / hawapatani? Je ni kweli kwamba kila unapoona Wanawake wanagombana sababu zinaweza kuwa nyingi ila iliyo kubwa zaidi huwa ni Kugombea Mwanaume / Bwana? Na je ni kweli kwamba 99.9% ya Watendaji ( Wafanyakazi ) wa Serikalini ni ‘ Washirikina ‘ na kwamba ‘ Ushirikina ‘ ndiyo Kipaumbele hasa katika Idara nyingi za Kiserikali?

Hawa Wanawake wawili Viongozi Mkuu wa Wilaya Bi. Sada Malunde na Mkurugenzi wa Halmashauri Bi. Wende Ng'ahara na aina ya ' Bifu ' lao wanaweza kuwa mfano mzuri na naomba tuanzie Mjadala wetu hapa.

Karibu katika Mjadala.

Nawasilisha.
Kuna wilaya mkoa wa Mbeya na DC na DAS walikuwa wanagombea wanaume nadhani wachimbaji, wakatumbuliwa wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
12,645
2,000
Je ni kweli huu ni uthibitisho tosha kwamba Kiasili Wanawake hawapendani / hawapatani? Je ni kweli kwamba kila unapoona Wanawake wanagombana sababu zinaweza kuwa nyingi ila iliyo kubwa zaidi huwa ni Kugombea Mwanaume / Bwana? Na je ni kweli kwamba 99.9% ya Watendaji ( Wafanyakazi ) wa Serikalini ni ‘ Washirikina ‘ na kwamba ‘ Ushirikina ‘ ndiyo Kipaumbele hasa katika Idara nyingi za Kiserikali?

Hawa Wanawake wawili Viongozi Mkuu wa Wilaya Bi. Sada Malunde na Mkurugenzi wa Halmashauri Bi. Wende Ng'ahara na aina ya ' Bifu ' lao wanaweza kuwa mfano mzuri na naomba tuanzie Mjadala wetu hapa.

Karibu katika Mjadala.

Nawasilisha.

Ndiyo maana barabara tokea wilaya yao kwenda zingine ziko kwenye hali zilivyo.

Kwa hali kama hii watoto kama wale wa Njombe katu hawawezi kuwa salama.
 

kirengased

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
4,446
2,000
Ni Mpumbavu tu pekee kama Wewe ndiyo usiyejua kuwa kuna ' Mzozo ' mkubwa kati ya hao Watendaji tajwa Wawili wa Serikali na ni taarifa ambayo ipo kila mahala iwe Mitandaoni au hata katika Vyombo vingine vya Habari na hata hapa Mtandaoni JamiiForums pia ipo na imezungumzwa mno hivyo sijaelewa unavyotaka nieleze zaidi unataka nini. Siku nyingine ukijijua huna ' Akili ' na huwezi Kufikiri kama ' Critical Thinker ' nakuomba acha kuwa unafungua ' threads ' zangu kwani hutozielewa. Mpuuzi mkubwa Wewe!
Matusi hata umejifunza insta bilashaka?!! Ungemuignore ungeshinda zaidi!!
 

kirengased

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
4,446
2,000
Huwa napenda sana na mno kukutana na Members ' very Intelligent ' na Wajenga Hoja wazuri kama Wewe hapa Jamvini JamiiForums. Hongera Mkuu nimekukubali na umeandika vyema na ukweli mtupu. Sasa Kazi Kwao Wahusika.
Asante ujue mi nishida
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom