Hili la mkulo la kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali linawezekana? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili la mkulo la kulipa mishahara ya wafanyakazi wa serikali linawezekana?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by segwanga, Jun 20, 2011.

 1. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Waziri katka hotuba yake ya bajeti alisema kuna siku moja mishahara ya wafanyakazi italipwa nayo haijulikani kama kuja kwa yesu vile.Tujibu maswali yafuatayo.
  1.Kama uko safarini itakuwaje?
  2.kama unaumwa uko umelazwa mbali na eneo lako la kazi itakuwaje?
  3.Kama uko masomoni nje ya nchi au mbali na sehemu yako ya kazi itakuwaje?
  Tujadiliane
   
 2. k

  kikule Senior Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama hautakuwepo sehemu yako ya kazi itakula kwako.Mshahara utarudishwa hazina na utatakiwa kufuatilia mwenyewe!
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwani huko serikalini mishahara bado inalipwa dirishani?
   
 4. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hapana mkuu mishahara inalipwa benki lakini,kwenye hotuba ya bajet waziri alisema kuna siku moja ktk mwaka wa fedha 2011/2012 mishahara italipwa siku moja na dirishani
   
 5. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  this is crap.
   
 6. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Come with a non-crap thread.Vp mkulo babu yako au unawakilisha magamba maana ukiwa muumini wa magamba unafikiria kinyumenyume
   
 7. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Wanajidai wanafanya kazi sana lakini tunaona hakuna mtendaji zero kama Hawa Ghasia utumishi. Siku hizi hata ukiamua kuangalia Bank details tu unaweza kumkamata anayeiba pesa kilaini...Technology is good...badala yake wanataka kusumbua watu kujipanga mistali kuchukua mishahara na mishahara yenyewe ndo hii ya 135,000...Mungu atusamehe maana mawaziri wengine tunaishia kuwawazia mabaya kwajinsi wanavyoshindwa kutekeleza majukumu yao. Ukiendelea ktk teknolojia hutakiwi kurudirudi nyuma namna hii...wezi wa mishahara wanajulikana na hata wahasibu tu; mtu akiacha kazi wa kwanza kujua lakini kukata mshahara wake itachukua miaka wanajilipa mshahara wake hadi waulizwe huyu yuko wapi? Haya ni matokeo ya ufisadi
   
 8. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ni kama usemi wa JK kwamba wala rushwa anawajua lkn aliwapa muda toka awamu yake mpaka sasa wajirekebishe.Pia JK anawafahamu wauza unga lakn amewapa muda wajirekebishe.Na hawa ghasia naye anawafaham wafanya kazi hewa lkn amewapa muda wajirekebishe
   
Loading...