Hili la mkubwa wa kitengo kutua jengo jeupe

Escaper

JF-Expert Member
Nov 11, 2018
1,780
3,232
Kuhusu kilichojiri siku ya jana haya hapa ni mawazo yangu,

Kwanza msichokijua tu he is no longer an asset.

Hiyo inaitwa piga nikupige kuna mawili jiwe anayoweza kufanikiwa/kujiharibia

1(a).Atumie nguvu yake kumvua uanachama Mango
2(b). Atumie genge la DAB kumdhuru Mango

Baada ya hayo mawili juu kuna matokeo haya

1(b).Kijani kama wakileta umbumbumbu baada ya tendo 1(a) kutokea wakaa kimya basi hakutakuwa na Kijani ila ni nguo za kijani na picha ya kumuenzi muasisi wa taifa. Na jiwe halitotoka jumba jeupe mpaka kufa.

2(b) Hapo imani ya wananchi pamoja na Kijani wenyewe watalipuka na huenda ukawa mwisho wa utawala wa jiwe, ila hili litaweza kutokea iwapo utaifa utawekwa mbele na woga utaachwa kando.

HITIMISHO:
Iwapo 1(a) au 2(a) kimoja wapo kikatekelezeka harafu kusiwepo na na nguvu ya ukinzani 1(b) au 2(b)
Basi tutambue kuanzia 2015 Rasmi Tanzania itakuwa nchi ya majuto na historia itasomwa vizazi na vizazi..
 
Nimekupata mkuu
 
Ni mawazo ya mwanaharakati tu,mwenye haki kikatiba kusema bila kuvunja sheria,
 
Mambo ya tare 7 December 2018 yamesha kuwa historia?
 
Back
Top Bottom