MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,746
- 48,385
Nimeona propaganda machine wa CCM humu wanapishana kila mmoja mbioni aidha kuanziasha uzi au kutoa comments kuhusu hili la mkopo wa Mchina, halafu hawasemi kimoja waeleweke tatizo lao nini haswa, mara Mchina anachukua bandari ya Mombasa, mara amegoma hataki reli, yaani wenyewe wamechanganyikiwa kama nyumbu huku wakiongoza wengine wanaowasadiki.
Sikujua hili la mkopo wa Mchina huwa linawaumiza kiasi hiki
Naomba tuwekane sawa kwa kutumia facts
- Mchina tayari alitoa mkopo ambao umefanikisha mikondo miwili ya reli
- Mkondo wa kwanza Mombasa hadi Nairobi 500 km
- Mkondo wa pili Nairobi hadi Naivasha 120km hii inazindulia Agosti
- Mombasa hadi mpakani mwa Uganda ni 900km na tayari reli imefanikishwa 620km
- Kwa mtu mwenye akili anajua kilichosalia kitafanywa tu
- Mchina alitoa hela za reli ya Nakuru hadi Uganda ikarabatiwe upya
- Hii reli itaunga kwenye SGR, hivyo mwisho wa siku usafiri wa reli hadi Uganda kwa kutumia SGR bado upo
- Ni kwamba mizigo itakua inachana mbuga kwa kasi ya SGR kwa 620km za kwanza
- Kisha inapokezwa kwa reli ya zamani ambayo inakarabatiwa
- Hapo tutakua tunaendelea kulipa mkopo wa sasa hadi pale itakua nafuu kupokea mkopo wa kipande kilichosalia
- Ifahamike Mchina aligomea masharti ya rais Uhuru, sio kwamba alikataa kutoa mkopo, ila Uhuru alitaka Mchina agharamikie SGR kwenye mahesabu yake ya ule mkanda wake wa Belt and Road, kwa kifupi aliombwa atoe nusu ya hela kama ruzuku na nusu kama mkopo usiokua na riba
Sasa tuje kwenye upande wa pili kwa CCM wanaokesha humu wakisema sema kuhusu SGR na mkopo wa Mchina
- Reli yenu na Mturuki ni 200km hata sio nusu ya tulichofanikisha
- Reli yenyewe bado hata sijui mko asilimia ngapi kule maporini
- Bado hamna cha kuonyesha zaidi ya mapicha mapicha tu ya vibarua wakichimba chimba na mataluma ambayo mnalaza
- Nakumbuka rais Uhuru kwa hatamu ya kwanza alikua amekamilisha 500km wakat anakwenda kuomba kura kwa ajili ya hatamu ya pili
- Hapo Tanzania CCM kasafu ka 200km bado hamjafikia hatua za kukatumia kuomba kura na miaka mitano inaisha
- Bahati yenu Watanzania wapo wapo tu, wao hupiga kura kwa mihemko ya kuona pushup za wagombea, ingekua wanahoji maendeleo, sidhani kama mngefaulu kurudi, maana hadi hapo hamna kimoja mumesimamisha kikaonekana zaidi ya makelele ya kuhamia Dodoma na korosho
- Uchumi wenu takwimu zinaonyesha umeshuka kasi, sijui Kikwete alikua anawezaje kwa kweli, yule angeendelea kuwa rais huko naona mngeanza kutukaribia, ila kwa sasa pengo limepanuka yaani hadi hata mkipewa Uganda iwe nchi moja ya TanzaGanda bado mtakua nyuma yetu