Hili la Membe kuombwa radhi na magazeti linanipa shaka!!!!!!!!!

Sarya

Senior Member
Nov 6, 2009
151
41
Nimekuwa nikifuatilia sana swala la Membe kutaka kuombwa radhi na baadhi ya magazeti kwa kumnukuu vibaya eti yeye hakusema kuwa polisi walikiuka maadili ya kazi yao kwenye maandamano ya amani hapa Arusha.
Kwa lugha rahisi ndo kusema kuwa Membe anatuambia kuwa polisi walifanya kazi yao vizuri na kitaalam kuua raia wema na hata raia wa nchi jirani ya Kenya.
Nilikuwa namwamini sana huyu bwana kama viongozi wachache ndani ya Serikali na CCM kama (mtarajiwa) ambaye hajafisadika na mwenye element za kusimamia anachokiamini.
Hata kama tungesema kuwa magazeti yamemnukuu vibaya, nadhani ilikuwa ndo ukweli kuwa polisi hawakutenda inavyotakiwa na kwa yeye kuunga mkono ingemmpa credibility na kujipambanua kutoka kwenye ombwe na uoza wa uongozi ndani ya nchi yetu. Au tuseme kuwa, kwasababu Mkwere naye haeleweki na mpaka sasa hajaomba radhi na yeye ameona asije kuwa kimbelembele kama ilivyokuwa kwa wenzake Werema na Kombani kutofautiana na bosi wao.
But this is shemfull kwa mtu kama yeye.
Naomba kuwasilisha!!!!!!!!!
 
wewe ulikuwa unamwamini membe kwa lipi? kila siku ni mtu wa kutoa matamshi tata tu, unakumbuka alishawahim sema nini kuhusu mahakama ya kadhi? serikali hii haina watu serious wale walio serious wanatengwa na ni wakuhesabika huyu membe hayumo kwenye hao.
 
Membe ni mnafki fulani ambae hana tofauti na mkwere, alivyo na ufinyu tutamwona 2015 akitaka kuwa raisi
 
Back
Top Bottom