Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,641
- 93,337
Siyo samaki pekee kuna mambo mengi sn wanatudharauKwa ajili ya samaki tu??
Mi sio mzanzibar ila hao sato na sangara hunilishi!
Yani niache kupochoa changu ,kolekole , koana , tasi and the likes nianze kulansmaki hawana hata ladha, !!! samaki gani hakubali nazi !
Na hizi tetesi kuwa ziwa limekuwa contaminated na zebaki za kwenye migodi ndo kabisaaaa sitaki hata kuwaona , maana kanda ya ziwa ipo juu kwa kansa , kwa sababu ya zebaki.