Hili la Mbowe na Zitto kupinga askari kupiga kura, ni moja ya mpango wa CHADEMA kudhoofisha na kufifisha demokrasia

Mbowe kaonesha udhaifu mkubwa sana walionao upinzani katika kukuza na kustawisha demokrasia ya nchi yetu kwa kujaribu kuweka kizuizi na pingamizi katika haki ya msingi ya watanzania kupiga kura. Askari nao ni wananchi wana haki ya msingi kumchagua kiongozi wamtakaye.
Mdhaifu kati ya anayehangaika kubadilisha sheria kila siku na anayeonyesha wasiwasi wake ni nani? Kwa nini wasitengenezewe utaratibu wakapiga kura siku ya uchaguzi?
 
Mahakama zitakubali kuzuia polisi kupiga kura siku yao pekee?

Tangu Tanzania imepata uhuru na kuanza kufanya chaguzi ilishawahi kutokea polisi wakapiga kura peke yao.

WANASHERIA,
KAMA MAHAKAMA ZA NDANI NI SHIDA, NENDENI ARUSHA AU UN.

TUWENI WAKWELI TU, HAPO KUNA JAMBO LINATENGENEZWA.

JAMANI, MIMI MWENZENU NALILIA KATIBA NA TUME HURU YA UCHAGUZI.
 
Attachments

  • IMG-20141102-WA0010.jpg
    IMG-20141102-WA0010.jpg
    56.6 KB · Views: 10
Mambo mengine ya hii nchi kwasasa hadi aibu.Kuna tishio gani lakiusalama hadi hao askari wapige kura siku yao au kuna kutapatapa mahali sasa kunatafutiwa tundu lakupumulia.Mnaangaika mno hadi mnatia kinyaa.
 
UTUMBO NA STEKI BEI TOFAUTI. KATIBA IFUATWE ACHANA NA KUJAMBA JAMBA MBELE ZA WAUNGWANA. THIS IS NONSENSE. KURA NI SIKU MOJA FULL STOP!!!!
 
Mavi ya bibi ako wee ,kwan askali hata kama kaenda kulinda anshindwa nn kupiga kula japo mwshon!
nazifuatulia siasa za kiafrika kwa karibu sana, nimefanya uchunguzi nikabaini kuwa wapinzani asili yao ni moja, ni kulalamika na kuhisi wameonewa
 
Serikali ya JMT na SMZ chini ya NEC na ZEC zimekuja na mpango maalumu wa kuwaruhusu askari wa vyombo vya ulinzi na usalama kushiriki zoezi la kupiga kura siku moja kabla ya upigaji kura wa watu wengine. Kitendo hicho kinatoa fursa kwa watu wote wenye uhalali wa kupiga kura kutumia haki yao ya msingi kupiga kura. Kura ya mtu ni siri, kwa nini wapinzani hasa Mbowe na Zitto wahofie kitendo cha askari kupiga kura?
Utetezi wa Mbowe kupingana na suala hilo unakuja na hoja zifuatazo:
  • Kukosekana kwa uhuru katika tume hizo
  • Tume hizo zinasaidia na kubeba upande mmoja( bila shaka CCM)
  • Waajiriwa wa tume ni makada wa chama( bila shaka ni CCM)
Mbowe kama mwenyekiti wa CHADEMA chama chenye wabunge na madiwani wengi baada ya CCM hakustahili kutoa hoja kama hizo ambazo zimeonyesha udhaifu mkubwa kwa viongozi wengi wa upinzani kuamini kuwa hawashindi kwa sababu hizo. Huo ni upotoshaji na uongo.
Bw. Mbowe anapingana na suala la askari kuruhusiwa kupiga kura kwa sababu anaamini hakuna uhuru katika tume hizo. Hakika hapa ndipo wapinzani wanaposhindwa kueleweka ni uhuru upi wanataka tume hizo utoe? Kama tume hizo zisingekuwa huru tusingeshuhudia mbunge hata mmoja wa upinzani akishinda ila kushinda kwa upinzani inamaanisha kuwa uhuru upo. Mchakato wa upigaji, uhesabuji na utangazaji wa matokeo ya kura upo wazi kwa mawakala wa vyama vyote. Mawakala wa vyama vyote wanasaini fomu za matokeo baada ya kuridhika na zoezi la uhesabuji kura na mshindi kutangazwa. Yote hayo yanafanyika kwa uwazi lakini kwa kuwa Mbowe na Zitto wanahofu ya kushindwa, wanaamua kupingana na suala hilo kwa nguvu zote. Kitendo cha kupinga upigaji kura kwa askari kwa kupotosha kukosekana kwa uhuru katika tume ya uchaguzi ni kitendo cha kufifisha na kudhoofisha ustawi na ukuaji wa demokrasia nchini

Pia, bw. Mbowe anadai tume za uchaguzi zinasaidia kubeba upande mmoja na bila shaka upande unaosemwa na KUB ni CCM hata kama hajausema. Kama nilivyosema awali juu ya ugumu wa tume kukibeba chama chochote ukizingatia kwamba katika zoezi la uhesabuji kura na utangazaji matokeo linasimamiwa kwa ukaribu na mawakala wa vyama vyote. Kama kuna makosa wa kulaumiwa na upinzani ni mawakala wao. Mahakama zipo huru kukata rufaa kwa mgombea ubunge na udiwani asiyeridhishwa na matokeo lakini wapinzani wamekuwa wakiyapinga matokeo mitandaoni. Kingine, wapinzani wanahisi tume inaibeba CCM kwa sababu wamezoea siasa na kampeni za mitandaoni. Hakika, kupinga askari wasipige kura kwa Imani isiyo na hakika ni kudhoofisha na kufifisha ustawi wa demokrasia.

Hofu nyingine ya Mbowe ni kuamini makada wa chama ( bila shaka ni CCM ) ni waajiriwa wa tume. Hapa bw. Mbowe kachanganya mambo mengi kwa wakati mmoja. Je, wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wakurugenzi ni waajiriwa wa tume au serikali? Lengo la Mbowe la kusema waajiriwa wa tume ni makada wa CCM aliwalenga wakurugenzi ambao ni wasimamizi tu na tume ina mamlaka ya kuteua wasimamizi wengine. Pia, hata kama ni makada, wanapokuwa wasimamizi wa uchaguzi wanafanya majukumu yao chini ya sheria za uchaguzi. Hii ya kuamini CCM inawatumia makada wake kushinda ni hofu tu waliyonayo kushindwa.

Hitimisho
Mbowe kaonesha udhaifu mkubwa sana walionao upinzani katika kukuza na kustawisha demokrasia ya nchi yetu kwa kujaribu kuweka kizuizi na pingamizi katika haki ya msingi ya watanzania kupiga kura. Askari nao ni wananchi wana haki ya msingi kumchagua kiongozi wamtakaye.
Kwa nini watangulie wao kabla ya sisi raia? Kwa nini tusitangulie sisi raia wao wakafuata? Yaani mnawaona watanzania ni wajinga sana, eti?
 
Huu si upuuzi ila ni haki ya msingi ya askari wetu na pia ni suala la msingi la ustawi na ukuaji wa demokrasia.

Kura ni siri ya MTU, hayo mambo ya vitisho na mengineyo ni hisia za kushindwa tu
Ni haki yako kikatiba kutoa maoni. Ila si.kila maoni mtu atatoa yatakubarika
 
Serikali ya JMT na SMZ chini ya NEC na ZEC zimekuja na mpango maalumu wa kuwaruhusu askari wa vyombo vya ulinzi na usalama kushiriki zoezi la kupiga kura siku moja kabla ya upigaji kura wa watu wengine. Kitendo hicho kinatoa fursa kwa watu wote wenye uhalali wa kupiga kura kutumia haki yao ya msingi kupiga kura. Kura ya mtu ni siri, kwa nini wapinzani hasa Mbowe na Zitto wahofie kitendo cha askari kupiga kura?
Utetezi wa Mbowe kupingana na suala hilo unakuja na hoja zifuatazo:
  • Kukosekana kwa uhuru katika tume hizo
  • Tume hizo zinasaidia na kubeba upande mmoja( bila shaka CCM)
  • Waajiriwa wa tume ni makada wa chama( bila shaka ni CCM)
Mbowe kama mwenyekiti wa CHADEMA chama chenye wabunge na madiwani wengi baada ya CCM hakustahili kutoa hoja kama hizo ambazo zimeonyesha udhaifu mkubwa kwa viongozi wengi wa upinzani kuamini kuwa hawashindi kwa sababu hizo. Huo ni upotoshaji na uongo.
Bw. Mbowe anapingana na suala la askari kuruhusiwa kupiga kura kwa sababu anaamini hakuna uhuru katika tume hizo. Hakika hapa ndipo wapinzani wanaposhindwa kueleweka ni uhuru upi wanataka tume hizo utoe? Kama tume hizo zisingekuwa huru tusingeshuhudia mbunge hata mmoja wa upinzani akishinda ila kushinda kwa upinzani inamaanisha kuwa uhuru upo. Mchakato wa upigaji, uhesabuji na utangazaji wa matokeo ya kura upo wazi kwa mawakala wa vyama vyote. Mawakala wa vyama vyote wanasaini fomu za matokeo baada ya kuridhika na zoezi la uhesabuji kura na mshindi kutangazwa. Yote hayo yanafanyika kwa uwazi lakini kwa kuwa Mbowe na Zitto wanahofu ya kushindwa, wanaamua kupingana na suala hilo kwa nguvu zote. Kitendo cha kupinga upigaji kura kwa askari kwa kupotosha kukosekana kwa uhuru katika tume ya uchaguzi ni kitendo cha kufifisha na kudhoofisha ustawi na ukuaji wa demokrasia nchini

Pia, bw. Mbowe anadai tume za uchaguzi zinasaidia kubeba upande mmoja na bila shaka upande unaosemwa na KUB ni CCM hata kama hajausema. Kama nilivyosema awali juu ya ugumu wa tume kukibeba chama chochote ukizingatia kwamba katika zoezi la uhesabuji kura na utangazaji matokeo linasimamiwa kwa ukaribu na mawakala wa vyama vyote. Kama kuna makosa wa kulaumiwa na upinzani ni mawakala wao. Mahakama zipo huru kukata rufaa kwa mgombea ubunge na udiwani asiyeridhishwa na matokeo lakini wapinzani wamekuwa wakiyapinga matokeo mitandaoni. Kingine, wapinzani wanahisi tume inaibeba CCM kwa sababu wamezoea siasa na kampeni za mitandaoni. Hakika, kupinga askari wasipige kura kwa Imani isiyo na hakika ni kudhoofisha na kufifisha ustawi wa demokrasia.

Hofu nyingine ya Mbowe ni kuamini makada wa chama ( bila shaka ni CCM ) ni waajiriwa wa tume. Hapa bw. Mbowe kachanganya mambo mengi kwa wakati mmoja. Je, wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wakurugenzi ni waajiriwa wa tume au serikali? Lengo la Mbowe la kusema waajiriwa wa tume ni makada wa CCM aliwalenga wakurugenzi ambao ni wasimamizi tu na tume ina mamlaka ya kuteua wasimamizi wengine. Pia, hata kama ni makada, wanapokuwa wasimamizi wa uchaguzi wanafanya majukumu yao chini ya sheria za uchaguzi. Hii ya kuamini CCM inawatumia makada wake kushinda ni hofu tu waliyonayo kushindwa.

Hitimisho
Mbowe kaonesha udhaifu mkubwa sana walionao upinzani katika kukuza na kustawisha demokrasia ya nchi yetu kwa kujaribu kuweka kizuizi na pingamizi katika haki ya msingi ya watanzania kupiga kura. Askari nao ni wananchi wana haki ya msingi kumchagua kiongozi wamtakaye.
Udhaifu upo huko CCM ambapo wanakandamiza demokrasia na kuruhusu uchakachuaji kupitia Asikari wanaolipwa mishahara inayotokana na kodi za watanzania wote tena wengi hawana vyama
 
Askari kupewa siku yao ya kupiga kura,ni sawa na kupewa siku yao ya kuichagua CCM kwa kuwa uhuru wa kuchagua kwa askari hakuna, kuna amri na amri yenyewe itakayotolewa ni kuichagua ccm hata kama hawataambiwa kwa kutamka,kupangiwa siku yao ya kupiga kura tayari ni amri ya kuichagua CCM ambayo haiwezi ikapingwa na askari yeyote.
Ni uchakachuaji wa wazi huo ni Aibu kuwafanya watanzania kuwa ni wajinga wakati wananchi wana Akili kuliko wao
 
Serikali ya JMT na SMZ chini ya NEC na ZEC zimekuja na mpango maalumu wa kuwaruhusu askari wa vyombo vya ulinzi na usalama kushiriki zoezi la kupiga kura siku moja kabla ya upigaji kura wa watu wengine. Kitendo hicho kinatoa fursa kwa watu wote wenye uhalali wa kupiga kura kutumia haki yao ya msingi kupiga kura. Kura ya mtu ni siri, kwa nini wapinzani hasa Mbowe na Zitto wahofie kitendo cha askari kupiga kura?
Utetezi wa Mbowe kupingana na suala hilo unakuja na hoja zifuatazo:
  • Kukosekana kwa uhuru katika tume hizo
  • Tume hizo zinasaidia na kubeba upande mmoja( bila shaka CCM)
  • Waajiriwa wa tume ni makada wa chama( bila shaka ni CCM)
Mbowe kama mwenyekiti wa CHADEMA chama chenye wabunge na madiwani wengi baada ya CCM hakustahili kutoa hoja kama hizo ambazo zimeonyesha udhaifu mkubwa kwa viongozi wengi wa upinzani kuamini kuwa hawashindi kwa sababu hizo. Huo ni upotoshaji na uongo.
Bw. Mbowe anapingana na suala la askari kuruhusiwa kupiga kura kwa sababu anaamini hakuna uhuru katika tume hizo. Hakika hapa ndipo wapinzani wanaposhindwa kueleweka ni uhuru upi wanataka tume hizo utoe? Kama tume hizo zisingekuwa huru tusingeshuhudia mbunge hata mmoja wa upinzani akishinda ila kushinda kwa upinzani inamaanisha kuwa uhuru upo. Mchakato wa upigaji, uhesabuji na utangazaji wa matokeo ya kura upo wazi kwa mawakala wa vyama vyote. Mawakala wa vyama vyote wanasaini fomu za matokeo baada ya kuridhika na zoezi la uhesabuji kura na mshindi kutangazwa. Yote hayo yanafanyika kwa uwazi lakini kwa kuwa Mbowe na Zitto wanahofu ya kushindwa, wanaamua kupingana na suala hilo kwa nguvu zote. Kitendo cha kupinga upigaji kura kwa askari kwa kupotosha kukosekana kwa uhuru katika tume ya uchaguzi ni kitendo cha kufifisha na kudhoofisha ustawi na ukuaji wa demokrasia nchini

Pia, bw. Mbowe anadai tume za uchaguzi zinasaidia kubeba upande mmoja na bila shaka upande unaosemwa na KUB ni CCM hata kama hajausema. Kama nilivyosema awali juu ya ugumu wa tume kukibeba chama chochote ukizingatia kwamba katika zoezi la uhesabuji kura na utangazaji matokeo linasimamiwa kwa ukaribu na mawakala wa vyama vyote. Kama kuna makosa wa kulaumiwa na upinzani ni mawakala wao. Mahakama zipo huru kukata rufaa kwa mgombea ubunge na udiwani asiyeridhishwa na matokeo lakini wapinzani wamekuwa wakiyapinga matokeo mitandaoni. Kingine, wapinzani wanahisi tume inaibeba CCM kwa sababu wamezoea siasa na kampeni za mitandaoni. Hakika, kupinga askari wasipige kura kwa Imani isiyo na hakika ni kudhoofisha na kufifisha ustawi wa demokrasia.

Hofu nyingine ya Mbowe ni kuamini makada wa chama ( bila shaka ni CCM ) ni waajiriwa wa tume. Hapa bw. Mbowe kachanganya mambo mengi kwa wakati mmoja. Je, wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wakurugenzi ni waajiriwa wa tume au serikali? Lengo la Mbowe la kusema waajiriwa wa tume ni makada wa CCM aliwalenga wakurugenzi ambao ni wasimamizi tu na tume ina mamlaka ya kuteua wasimamizi wengine. Pia, hata kama ni makada, wanapokuwa wasimamizi wa uchaguzi wanafanya majukumu yao chini ya sheria za uchaguzi. Hii ya kuamini CCM inawatumia makada wake kushinda ni hofu tu waliyonayo kushindwa.

Hitimisho
Mbowe kaonesha udhaifu mkubwa sana walionao upinzani katika kukuza na kustawisha demokrasia ya nchi yetu kwa kujaribu kuweka kizuizi na pingamizi katika haki ya msingi ya watanzania kupiga kura. Askari nao ni wananchi wana haki ya msingi kumchagua kiongozi wamtakaye.
Nakubaliana na wewe wana hofu ya kushindwa
 
idadi ya watanzania wanaolipa kodi kwa kiasi kikubwa ni wale wasio na vyama wala itikadi yeyote wakifuatiwa na watanzania wapinzani huku CCM wakiwa ni wa mwisho kwenye ulipaji kodi, cha ajabu CCM ndiyo wafujaji wa pesa za umma na pia wachakachuaji wakubwa kisha kuja na mada ndefu zisizo na Tija.
 
Swali ni moja .
Askari anayeitetea CCM wazi wazi.
Atakwenda kuipigia Kura CHADEMA?
 
Hii ni mada ya kijinga ya mwezi huu.
Hao Askari ni ndugu zetu pia tena tunaishi nao uraiani mipango yote ya wizi huwa tunajuzwa na ndiyo maana wapinzani wameona ni Bora kuzuia huo wizi wenu wa mchana
Asikari wana miaka minne hawajaongezwa mishahara wala posho, na mikopo imesitishwa huko jwtz wanaishi kwa shida, wanazuiliwa maofisini makambini mpaka saa 12 jioni, hawalipwi over time lakini wanafanyishwa kazi mpaka Gizi linaingia, Mioyoni hawaipendi CCM kwa 100% lakini kwa kuwa ni chama Dola huzuga kukipenda kiunafiki hata kwenye kura watawapigia upinzani lakini CCM watazichakachua tu hilo halina ubishi
 
Back
Top Bottom