Hili la Mbowe kukusanya Mabilioni kwa njia ya kadi ni njia nyingine ya kuwakamua wanachama damu

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,061
Habarini wananzengo,

Najua wote tunajua Mbowe amekuja na mkakati wa kuongeza mapato chamani kwa kile alichokiita kwa kutumia kadi za kielekroniki.

Sina tatizo kabisa na hilo ila tatizo langu ni moja kabla kamanda Mbowe hajaanza kukusanya haya manoti kwa makamanda wa chama, atusaidie tujue mchanagnuo wa masuala yafuatayo:

Mpaka sasa tangu 1995 CHADEMA inapokea mabilioni kutoka serikali ya CCM kama ruzuku ambayo ni kodi ya wananchi yanakwenda wapi.Imefikia wakati ambao hata kwenye majimbo mliyopewa hamchimbi hata visima mnachofanya ni kukodi chopa na kununua mafuta ya chopa na kuwatoa kina Lema kwa kesi zakujitakia.

Sabodo amefadhili chamaa weeee mpaka amechoka, pesa zinatunisha akaunti ya Mbowe tu na kusaidia familia yake yake mpaka sasa hata ofisi mmeshindwa kujenga kwa kuwa mmepanga kwenye jengo kitega uchumi cha Mtei

CDU na Conservative wametoa misaada weee Mbowe anakula tu.Hakuna asiyejua pesa za conservative kuanzisha Tanzania Daima ambalo ni gazeti la Mbowe.

Sadaka za kwenye mikutanao zinaliwa tu.God help!!!!

Tunaombaufafanuzi isije kuwa ni mbinu ya kulipa madeni yenu.
 
Attachments

  • chaggaofisi.jpg
    chaggaofisi.jpg
    19.6 KB · Views: 70
  • lumumba.jpg
    lumumba.jpg
    30.8 KB · Views: 67

Wajinga ndio waliwao !
 
ukitaka kujua akili ya mtu,mpe nafasi ya kusema au kutenda.(and if you cant say something good about somebody just shut up)LUCKY DUBE
 
Ni kitu gani hasa kimekuuma kwa hilo?? CCM wanaiba toka serikalini au mwadhani hatulijui hilo?? nakuomba utuache wanachadema kwa hiari zetu tukichangie chama chetu kwani mapambano haya yanamwisho, ivi visima kinachimba chama uko kilipochaguliwa?? na kama ni ivyo basi CCM ilokuwa madarakani since uhuru wakiwa na wabunge sehemu zote basi nchi hii ingekuwa na visima kote

Najua CCM kwenu michango si muhimu zaidi uhakika mlonao wa kuiba serikalini hasa tukikumbuka mloyafanya katika sakata la ESCROW, EPA, na kadhalika nyingi tu
 
Tuliochagua wabunge wa ukawa tunajuta.
Mpaka sasa hamna mabadiliko yoyote ni wizi kwa kwenda mbele!!!

Leo chadema ndio mtetezi na kimbilio la mafisadi wa kila aina!!!
 
Habarini wananzengo,

Najua wote tunajua Mbowe amekuja na mkakati wa kuongeza mapato chamani kwa kile alichokiita kwa kutumia kadi za kielekroniki.

Sina tatizo kabisa na hilo ila tatizo langu ni moja kabla kamanda Mbowe hajaanza kukusanya haya manoti kwa makamanda wa chama, atusaidie tujue mchanagnuo wa masuala yafuatayo:

Mpaka sasa tangu 1995 CHADEMA inapokea mabilioni kutoka serikali ya CCM kama ruzuku ambayo ni kodi ya wananchi yanakwenda wapi.Imefikia wakati ambao hata kwenye majimbo mliyopewa hamchimbi hata visima mnachofanya ni kukodi chopa na kununua mafuta ya chopa na kuwatoa kina Lema kwa kesi zakujitakia.

Sabodo amefadhili chamaa weeee mpaka amechoka, pesa zinatunisha akaunti ya Mbowe tu na kusaidia familia yake yake mpaka sasa hata ofisi mmeshindwa kujenga kwa kuwa mmepanga kwenye jengo kitega uchumi cha Mtei

CDU na Conservative wametoa misaada weee Mbowe anakula tu.Hakuna asiyejua pesa za conservative kuanzisha Tanzania Daima ambalo ni gazeti la Mbowe.

Sadaka za kwenye mikutanao zinaliwa tu.God help!!!!

Tunaombaufafanuzi isije kuwa ni mbinu ya kulipa madeni yenu.

Kwani wanapewa tsh. Ngapi na serikali??
 
Chadema wako Kama haya makanisa ya kileo, hayataki kujenga makanisa wanaokota sadaka ilhali watu wananyeshewa kwenye mahema!
 
Tuliochagua wabunge wa ukawa tunajuta.
Mpaka sasa hamna mabadiliko yoyote ni wizi kwa kwenda mbele!!!

Leo chadema ndio mtetezi na kimbilio la mafisadi wa kila aina!!!
Watanzania wanafiki kama nyie mnalaana ya kizazi chenu. Mnajitoa akili for da sake ya matumbo yenu au kujipendekeza. Ww unauliza wabunge wa upinzani et wamefanya nini. Ulikuuwa unataka wafanye nini wakati serkal yako mpaka sasa imeshindwa peleka hta dawa hosptaln zaidi ya kufanya maigizo tu apa.
 
mtoto wa kiume kuwa mmbea namna hii huwa haipendezi!!
Una uhakika gani misaada ya sabodo ilitunisha mfuko wa mbowe na sio chama?

Na hujalazimishwa kuchanga hiyo pesa baki kwa nyumbu wenzio lumumba ambako mnagawana 10 millions za chama
 
Kwa nini wewe hunaga hoja kila siku ni kutukana tu mitusi hivi darasani ulikuwa unapata ngapi kwenye hesabu .maana ni kilaza full .Jaribu hata siku moja tu wewe ukatoa hoja.Pia huwezi jua matumizi ya chadema wewe ni mtu mdogo sana sie tunajua pesa zinaenda wapi.
 
Hii ndo tanzania.nn mnchogombania watanzania?ni ccm na chadema?!!.hebu ninyi wa ccm n wachadema jichunguzen na tafakarin kunakitu mtangundua haafu mtajijiu kwann nimesema hii ndo tanzania
 
Mbowe anatumia mbinu za 'kinabii'..kuwaibia wafuasi wake....ngoja aendelee kuwauzia 'vyeti vya msamaha'.
Zile million kumi ni mbinu gani? halafu watu kama nyinyi mmeishia kupewa kofia,tisheti na kanga!!
achana na chadema
 
Tuliochagua wabunge wa ukawa tunajuta.
Mpaka sasa hamna mabadiliko yoyote ni wizi kwa kwenda mbele!!!

Leo chadema ndio mtetezi na kimbilio la mafisadi wa kila aina!!!

hypocrisy at its climax.. wewe kada wa CCM tangia lini ulichagua mbunge wa UKAWA?

************* ACHA UNAFIKI
 
Ni kitu gani hasa kimekuuma kwa hilo?? CCM wanaiba toka serikalini au mwadhani hatulijui hilo?? nakuomba utuache wanachadema kwa hiari zetu tukichangie chama chetu kwani mapambano haya yanamwisho, ivi visima kinachimba chama uko kilipochaguliwa?? na kama ni ivyo basi CCM ilokuwa madarakani since uhuru wakiwa na wabunge sehemu zote basi nchi hii ingekuwa na visima kote

Najua CCM kwenu michango si muhimu zaidi uhakika mlonao wa kuiba serikalini hasa tukikumbuka mloyafanya katika sakata la ESCROW, EPA, na kadhalika nyingi tu
Yaani wewe una justify wizi kwa kumtaja mwizi mwenzio? Jitetee kwanza uliyetuhumiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom