Hili la mawaziri tena Mr President alikosea au alishauriwa vibaya

dansmith

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
2,305
2,094
Wakati akitangaza na kumalizia kutangaza baraza la mawaziri alisema atakuwa na jumla ya mawaziri 34 ila nikihesabu wapo 34 je alikosea?alidanganya umma? Au alishauriwa vibaya?
 
Sorry wapo 35 hii site inachanganya Santa tutaizoea tuuu
Wakati akitangaza na kumalizia kutangaza baraza la mawaziri alisema atakuwa na jumla ya mawaziri 34 ila nikihesabu wapo 34 je alikosea?alidanganya umma? Au alishauriwa vibaya?
 
Wakati akitangaza na kumalizia kutangaza baraza la mawaziri alisema atakuwa na jumla ya mawaziri 34 ila nikihesabu wapo 34 je alikosea?alidanganya umma? Au alishauriwa vibaya?

Kosa liko wapi, kwani 34 siyo sawa na 34?: Wewe wasema kuwa "alisema atakuwa na jumla ya mawaziri 34 ila nikihesabu wapo 34 je alikosea" Nakushangaa!!!! Jamani ndiyo maana ilizaniwa kuwa kipaumbele kiwe ni: Elimu, Elimu, Elimu
 
planned 35, achieved 34.
i don't know?!! labda ameghairi. au ni makadirio yake yamefikia hapo
 
Last edited:
Hivi Kabla ya kuanzisha uzi muuliza swali huwa hupitii ulichoandika kujirithisha kama kina mantiki? sasa 34 na 34 vinatofauti? Shule zifunguliwe tu hawa watoto wa shule warudi shule huenda jamii forum ikarudi kwenye ubora wake!!!!!!!!!!
 
Hivi Kabla ya kuanzisha uzi muuliza swali huwa hupitii ulichoandika kujirithisha kama kina mantiki? sasa 34 na 34 vinatofauti? Shule zifunguliwe tu hawa watoto wa shule warudi shule huenda jamii forum ikarudi kwenye
Usiandike kama popoma hauoni nimerekebisha hapo chini ungesoma kwana nimesema alisema 34 na wapo 35 kichwa ww
 
[QUOTkamwambie shangazi yako soma vizuri hapo juu nilirekebisha mapema lijf lenyewe soi rafiki nilisema 34 kwa 35 usikurupuke kenge wwdogo, post: 14974338, member: 8430"]Kosa liko wapi, kwani 34 siyo sawa na 34?: Wewe wasema kuwa "alisema atakuwa na jumla ya mawaziri 34 ila nikihesabu wapo 34 je alikosea" Nakushangaa!!!! Jamani ndiyo maana ilizaniwa kuwa kipaumbele kiwe ni: Elimu, Elimu, Elimu[/QUOTE]
Wewe kamwambia
 
Naona Unajua kutafuta makosa kuliko solution. Unataka kuonyesha Rais Magufuli ni muongo au washauri wake hawafai. Kama ni 35 au 34 ni sawa kwani wanafanya kazi ya kujenga taifa. Kafanya kazi tujenge taifa.
 
Back
Top Bottom