Hili la Masanja Mkandamizaji Kugeukia Muziki wa Injili Nalo si "Usanii"!!!???

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,140
13,215
Awali mkandamizaji alikua anaimba muziki wa injili kwa kujiiba-iba lakini inavyoonekana sasa baada ya kutemwa TBC Kimkataba MM ameamua kujikita mazima, huku ikionekana kabisa yuko kibiashara zaidi kwa jinsi nilivyomuona akitumbuiza Tanga kupitia TBC

Sijui wanajamvi mnasemaje....
 
Kuna mwimbaji yeyote wa nyimbo za gospel ambaye hayupo kibiashara nchi hii?
Nitajieni hata mmoja.
 
Unapokuwa mwimbaji wa nyimbo za injili 1 kuhubiri injili 2 jinsi gani utapata pesa kwa ajili huduma.
 
Duuu! Jamani anatumia kipaji chake kumtukuza muumba wake na pia kumuwezesha kuishi unataka awe kibaka?
 
Aprin nadhan inabid nikupe maziwa utapike hizo pilitoni za usingiz ulizomeza
maana inaonesha umelala fofofo kbs na mambo yanavoenda nchi hii
hata hilo nalo kuliskia mbado??
Bado kijana mudogo eeeh...??!!
 
Duuu! Jamani anatumia kipaji chake kumtukuza muumba wake na pia kumuwezesha kuishi unataka awe kibaka?

jaman watanzania wanataka mtu awe vp? Mtu akijituma shida akiiba ndo kabisaa. Lipi jema kwa watz
 
Back
Top Bottom