Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 216
kuna thread kule jamvini inaema "mwanfunzi ajifungua mapacha watatu"
hivi huu si upotoshaji wa lugha? mbona inajulikana kuwa mapacha ni wawili?
mi naona ksema mapacha watatu ni sawa na kusema double tatu!!!!!!!
sasa nauliza hivi ni halali kweli kuita watoto watatu mapacha?
kama si halali neno gani mbadala litumike wanapozaliwa watatu,au zaidi......................?????????????