Hili la mapacha limekaaje...?

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Jan 7, 2010
1,508
216
kuna thread kule jamvini inaema "mwanfunzi ajifungua mapacha watatu"

hivi huu si upotoshaji wa lugha? mbona inajulikana kuwa mapacha ni wawili?

mi naona ksema mapacha watatu ni sawa na kusema double tatu!!!!!!!

sasa nauliza hivi ni halali kweli kuita watoto watatu mapacha?

kama si halali neno gani mbadala litumike wanapozaliwa watatu,au zaidi......................?????????????
 
nadhani kweli kuna kosa katika kusema mapacha watatu ilitakiwa iwe "Mwanafunzi ajifungua watoto watu ..sio mapacha watatu vile wote tunajua mapacha ni wawili tu
 
lengo la lugha ni kuwasiliana. Kama umeelewa, haujibu mtihani, na si tungo tata basi kazi iendelee..
 
Katika hali ya kawaida inaeleweka vizuri tu, lakini kwa vile umeitundika kwenye jukwaa la lugha, hapo utata unakuwa wazi.
 
ukisema pacha watatu kwa kiswahili halisi inamaanisha watoto sita, pacha ni pair moja, kwa hiyo pacha watatu ni idadi ya watu sita.
Si kila pair (jozi) lazima iwe katika uwili zipo jozi au pair zingine katika tatu na kuendelea. Neno pacha maana yake ni zaidi ya kimoja vyenye kufanana.

Soma habari hii hapa chini:

Bi Mariam ajifungua pacha watatu

watoto+watatu.jpg

Pichani ni Bi Mariam Rajab mkazi wa Mwanayamala 'A' Dar es Salaam, ni miongoni mwa akina dada waliojaaliwa watoto usiku wa tarehe 24/12/2008. Mariam amejifungua pacha watatu katika Hospitali ya Mwananyamala na yupo katika mtihani mzito wa juu ya kuwalea watoto hao watatu ambao mmoja kati yao ni wa kike...
 
Pichani ni Bi Mariam Rajab mkazi wa Mwanayamala 'A' Dar es Salaam, ni miongoni mwa akina dada waliojaaliwa watoto usiku wa tarehe 24/12/2008. Mariam amejifungua pacha watatu katika Hospitali ya Mwananyamala na yupo katika mtihani mzito wa juu ya kuwalea watoto hao watatu ambao mmoja kati yao ni wa kike...​

mkuu hapa tuanzungumzia kiswaili sanifu na si vinginevyo.

habari ya gzetini haiwezi kuwa ushahidi wa usahihi wa lugha kwan nayo hufanya makosa mengi sana ya lugha. ungetusaidia sana kama ungetumia reliable references kutetea hoja yako kuwa "mampacha si lazima wawe wawili"

je, umepita kwenye kamusi? inasemaje?
 
nadhani kweli kuna kosa katika kusema mapacha watatu ilitakiwa iwe "Mwanafunzi ajifungua watoto watu ..sio mapacha watatu vile wote tunajua mapacha ni wawili tu
first lady vipi tena mama!? naamini ulitaka kusema watoto watatu!
 
Si kila pair (jozi) lazima iwe katika uwili zipo jozi au pair zingine katika tatu na kuendelea. Neno pacha maana yake ni zaidi ya kimoja vyenye kufanana.

Soma habari hii hapa chini:

Bi Mariam ajifungua pacha watatu

watoto+watatu.jpg

Pichani ni Bi Mariam Rajab mkazi wa Mwanayamala 'A' Dar es Salaam, ni miongoni mwa akina dada waliojaaliwa watoto usiku wa tarehe 24/12/2008. Mariam amejifungua pacha watatu katika Hospitali ya Mwananyamala na yupo katika mtihani mzito wa juu ya kuwalea watoto hao watatu ambao mmoja kati yao ni wa kike...
Twins n.
  • One of two offspring born at the same birth.
  • One of two identical or similar people, animals, or things; a counterpart.
  • twins Mineralogy. Two interwoven crystals that are mirror images of each other.
  • A twin-size bed.
adj.
  • Being two or one of two offspring born at the same birth: twin sisters.
  • Being two or one of two identical or similar people, animals, or things: twin cities; a twin bed.
  • Botany. Of or relating to structures, such as flowers, that occur in pairs.
  • Consisting of two identical or similar parts: a twin lamp fixture.

v., twinned, twin·ning, twins. v.intr.
    1. To give birth to twins.
    2. Archaic. To be one of twin offspring.
  • To be paired or coupled.
v.tr.
  • To pair or couple.
  • To provide a match or counterpart to.
Triplets n.
  • A group or set of three of one kind.
  • One of three children born at one birth.
  • A group of three lines of verse.
  • Music. A group of three notes having the time value of two notes of the same kind. Also called tercet.
  • Physics. A multiplet with three components.
  • Genetics. A unit of three successive nucleotides in a molecule of DNA or RNA that codes for a specific amino acid; a codon or anticodon.
 
Huyu mkuu alitakiwa apewe adhabu ya ban japo ya masaa.Watu wanasema kwenye kiingilishi huku hakuna shida,issue iko kwenye kiswaz,hao triplets kiswaz unawaitaje?Thats the question mkuu.
 
Yamekuwa hayo kumbe uwale wa kiswaenglish anyway tuna kitengo kizuri cha kiswahili pale chuoKikuu cha mlimani mwenye mawasiliano anaweza tujuza siyo kukimbilia kutoa adhabu wakati umesomea shule za CCM ambazo unajadili kiswahili huku unaandika kiswainglishi.

Safi sanaa kwa coments zako
 
mkuu hapa tuanzungumzia kiswaili sanifu na si vinginevyo.

habari ya gzetini haiwezi kuwa ushahidi wa usahihi wa lugha kwan nayo hufanya makosa mengi sana ya lugha. ungetusaidia sana kama ungetumia reliable references kutetea hoja yako kuwa "mampacha si lazima wawe wawili"

je, umepita kwenye kamusi? inasemaje?
Basi mkuu angalia hii tovuti hapa chini utapata maana ya triplets:

Kamusi Project
 
Back
Top Bottom