Hili la Majizzo kuzaa na Salma Msangi halijakaa sawa

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,577
Kweli majizo ni hatari baada ya kuzaa na mobeto sasa ameenda kuzaa na salma msangi.
Na juzi kwenye 40 ya mtoto mzee mzima alitimba
Ndio maana lulu ameamua kuwa mlevi tuu
 
Jinsi ulivyoandika utakuwa kama vile ya jana kuwaona wana furaha wapenzi hao imekuchomaaaa haswa
 
Na matukio ya jana ya siku ya kuzaliwa Majizzo. Wewe ndio shida haswa unauliza huku unaandika upupwu juu

IMG_0026.JPG
IMG_0026.JPG
 
Majizo ameonyesha unafki wa wanaume wengi


Na Salma kwanini kuzaa na mchumba wa mtu.,mhh🙌🏽
 
Back
Top Bottom