MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,225
- 50,368
Nimeona msemaji wa ikulu Kenya akitolea ufafanuzi kuhusu hili suala la madaktari kutokea Tanzania, baadhi ya mambo aliyogusia, kwamba
- Kenya hakuna madaktari kitaa wasiokua na ajira, kila kijana anayemaliza chuo kwenye hiyo taaluma anaajiriwa moja kwa moja (sijui ukweli wa hili).
- Taaluma ya udaktari kwenye nchi za Afrika mashariki huwa huwa imeanishwa kwamba ukipata cheti cha udaktari Tanzania au Kenya hutahitaji mtihani wowote wa ziada kuajiriwa kwenye nchi ya jirani.
Hivyo kwa maoni yangu binafsi, ni bora taaluma zingine zikawekwa sawa kiasi cha kuwafanya wajiamini na kuwa na uwezo wa kuvuka mpaka na kufanya kazi bila mitihani au usumbufu.