Hili la Maalim Seif kupatikana na maambukizi ya COVID19 linatia ukakasi. Ni aibu kubwa kwa Serikali yetu

Kwanza kabisa limewashtua watu wengi sababu kwa mujibu wa muongozo utoji taarifa ni Rais,Waziri Mkuu au Waziri wa Afya, kwanini hawajatupa taarifa kuwa kuna maabukizi ya Covid 19 hapa nchini?

Ok fine, kama kiongozi wa Serikali ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar amepata Covid 19,je muuza vitumbua huko forodhani Zanzibar? Je, haiwezi kuwa imeshavuka mpaka Dar es salaam maana kuna muingiliano mkubwa wa watu kati ya Zanzibar na Dar es salaam.

Kwanini Serikali ya Rais Magufuli haitaki kutupa ukweli kuwa kuna maambukizi ya Covid 19? Mnataka yaliyotokea Brazil yatokee hapa Tanzania? Maana kama kuna maambukizi kwanini tusiambiwe ukweli ili tuchukue tahadhali kwa hali ya juu?

Watanzania tuchukue hatua kujilinda maana tutapukukutika kama njugu. Maana kama viongozi wakubwa wanapata maambukizi halafu Serikali inafanya siri,je sisi makabwela tukipata maambukizi tutaweza kutoboa?
Mkuu piga nyungu acha kulalamika...
 
Mkuu, JokaKuu nisieleweke vibaya - nilimaanisha kutoonyesha umakini /tahadhali za kujikinga na gonjwa hili in General, binafsi nikiangalia mikusanyiko ya watu kwenye mikutano na ufunguzi/uzinduzi wa projects halafu watanzania wachache tu wanao vaa barakoa wengi wao ni wenye asili ya kihindi au Kiarabu, nikiona watu wanapuuzia kujiwekea tahadhali halafu wameshonana kwenye ufunguzi/uzinduzi wa projects au mikutano mengine vinyweleo vya mwili wagu unisisimuka, najiuliza hivi hawa Watanzania wenzangu wanajua kwamba wanajiweka kwenye harms way bila ya kujitambua?

You can also feel kwamba baadhi ya viongozi wetu wanasita kuvaa barakoa kwa kuogopa kwamba wakivaa labda umma au viongozi wenzao watawafikiliaje kwamba wanataka kutangazia Dunia kwamba kumbe Tanzania ugonjwa huu bado hupo - kwani hata ikijulikana hivyo kuna aibu gani kuchukua tahadhali, mbona viongozi wa Merikani,Uingereza,Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya na Afrika wanavaa barakoa wanapo kuwa kwenye mkusanyiko wa watu - iweje taifa letu lichukulie vitu kana kwamba bado ni business as usual - binafsi siungi mkono lockdown, lakini tahadhili ziwe reinforced by Wizara ya afya na ma RC wa mikoani.

Tanzania sio kisiwa don't you forget that, tusijidanganye hapa, ukweli wa mambo ni kwamba hakuna vitual Cocoon or Eskimo Gigloo yenye uwezo wa kulinda Taifa letu lisihadhillike peke yetu Dunia nzima, maombi/sala vinasaidia lakini tusivichukulie kana kwamba ni cure all like Panadol/Asprin, Wahaya tuna msemo: "MUNGU MBELA NAIWE OBA ITAILEO AGAWE" kwa maneno mengine Mungu uwasaidia wale tu ambao uonyesha juhudi za kujisaidia wawo wenyewe kwanza, not anything in between.

Haingii akilini kwamba majirani zetu: Kenya, Uganda,Kongo DRC,Rwanda,Burundi,Msumbiji,Ushelisheli,Malawi, Zanzibar na Pemba nchi zote hizo ziwe na hali mbaya ya maambukizi, sisi ndio tuwe exceptional - something is dead wrong down the line - the sooner we rectify the situation the better na wala Dunia haita tucheka kwamba mbona Tanzania walijifanya hakuna ugonjwa wa KOVID - sasa kiko wapi? Tusifike huko tafadhali. Maoni yangu.

..asante kwa ujumbe huu wa ufafanuzi.

..samahani sikukuelewa vizuri ktk post yako ya awali, lakini hapa nimekuelewa vizuri kabisa.
 
Tatizo la wabongo ndio hili,mtu akisema ukweli mnaleta tafsiri zenu za kitoto.
Cool down Kaka usihamaki relax you will be fine usitokwe povu bure. Ni hivi Bro! Kila mtu anaamini kile ambacho kwa upande wake ni sawa na sahihi, kitu ambacho kwa upande wa mwingine kinaweza kupingwa na kuonekana si sawa na pengine kikatazamwa kama ni uongo au uzushi tu

Kama ambavyo unaamini katika utawala uliopo ambao kwako ni sahihi same way mimi ni muumini wa upinzani ambao kwangu mimi ndio sahihi na kwamba utawala uliopo ni wa kidhalimu na umejaa ubabaishaji mkubwa maisha ni mtazamo na kila mtu ana mtizamo wake

Nakupa muda kidogo wa kujikaza kisabuni japo dalili zinaonyesha ushaanza kulegea kwa sababu mnaemuamini anadhihiri kuwa hafai mbele ya macho na masikio yenu

Karibu kundini japo huku kwenye kundi letu wote tumekatwa mguu mmoja, kwa hiyo ili uwe mwanakikundi ni lazima ukatwe mguu mmoja ili ufanane na sisi lakini pia wenzio wapate kukuona na kisha wajue kuwa wewe sio mwenzao tena kwa sababu huna mguu mmoja

Huku kwenye kundi letu hatutaki wanafiki ndio maana lazima ukatwe mguu kwanza ... nina imani kubwa sana kama Taifa mpaka mwezi July 2021 tukijaaliwa kuwa hai zaidi ya 80% ya watanzania hasa wale buku saba wote tutakua tumekatwa mguu mmoja na kulia kilio kimoja cha kumpinga mdhalimu na matendo yake yasiyo jali utu wa mtu

Karibu sana bwana Chagu wa Malunde karibu kwa mikono miwili nimefurahi sana kuona akili yako inaanza kuelewa na huenda soon ukawa ni mmoja miongoni mwetu ikiwa tu utakubali kukatwa mguu wenzio wakuone una mguu mmoja karibu sana boss!!!

MAENDELEO YANA CHAMA ILA SIO CCM!!!
 
Ngoja nicheke.
 
Ngoja nicheke.
... usicheke sana cheka kidogo tu maana kicheko kikizidi huzaa kelele zinazo ashiria kilio ukizingatia mpaka sasa gari limeacha njia haijulikani tunaelekea wapi nahofia sana ikiwa gari litatumbukia mtoni maana binafsi sijui kuogelea sijui we mwenzangu labda umevaa life jacket mwenzetu

Usiku mwema
 
Kwanza kabisa limewashtua watu wengi sababu kwa mujibu wa muongozo utoji taarifa ni Rais,Waziri Mkuu au Waziri wa Afya, kwanini hawajatupa taarifa kuwa kuna maabukizi ya Covid 19 hapa nchini?

Ok fine, kama kiongozi wa Serikali ambaye ni Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar amepata Covid 19,je muuza vitumbua huko forodhani Zanzibar? Je, haiwezi kuwa imeshavuka mpaka Dar es Salaam maana kuna muingiliano mkubwa wa watu kati ya Zanzibar na Dar es salaam.

Kwanini Serikali ya Rais Magufuli haitaki kutupa ukweli kuwa kuna maambukizi ya Covid 19? Mnataka yaliyotokea Brazil yatokee hapa Tanzania? Maana kama kuna maambukizi kwanini tusiambiwe ukweli ili tuchukue tahadhali kwa hali ya juu?

Watanzania tuchukue hatua kujilinda maana tutapukukutika kama njugu. Maana kama viongozi wakubwa wanapata maambukizi halafu Serikali inafanya siri,je sisi makabwela tukipata maambukizi tutaweza kutoboa?
wacha kuwahadaa watu, wazri mkuu uingereza, yule wa kanada, viongozi mbalimbali wa marekani wameripotiwa kuugua kwa vile wanakutana na watu mbalmbali. Kuna ajabu ipi huyu kuugua covid 19?
 
kuugua sio aibu wewe hii, sasa ingekua kipindupindu ndio ungesema aibu kwakua kipindupindu ni kula mavi freshi, hilo la maalim napingana na wewe kabisa hakuna aibu hapo maana hata wewe huwezi kujua utaupatia wapi huo ugonjwa, kaugua Trump aliyekua Rais wa Dunia (Marekani) hata waziri Mkuu wa Uingereza kaugua sembuse sisi huku wakata nyasi?
 
Back
Top Bottom